Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Serekali inapanga Bei kwa kukuzuia isipande ndo maana kipindi Cha magufuli Ali ban export Bei ikawa stable na ikawa haipandiHakuna Bei elekezi kwenye chakula.
Serikali inacho weza kufanya nikuingiza mzigo sokoni kutoka kwenye akiba yake.
Na hii mara nyingi inahusu mahindi.
Kufunga mipaka sio ufumbuzi.Serekali inapanga Bei kwa kukuzuia isipande ndo maana kipindi Cha magufuli Ali ban export Bei ikawa stable na ikawa haipandi
Wafanyabiashara/cartels ndo watu hatari kwenye hili swala lazima ufahamu hilo
Unajua mwaka huu mvua zilikua chache karibia nchi nzima na kupelekea mavuno kupunguaKufunga mipaka sio ufumbuzi.
Hii inatakiwa kua hatua yamwisho kabisa na kuwe na viashilia vya upungufu wa chakula
Nakuhakikishia kama mbinu za kupunguza mfumko wa Bei nihizo Kila mwaka kutakua na upungufu.
Mimi ni mkulima na ninavyoongea mpunga wangu upo Ubaruku ghalani, sasa sijui katika sample yako ya hao wasionufaika na kupanda kwa bei na mimi nimo au lah. Na ata hao wakulima wenye mtaji mdogo hakuna aliyeuza gunia la mpunga chini ya 80,000 mwaka huu wakati mwaka jana gunia kipindi cha mavuno lilifika mpaka 35,000
Ipo hivi, baada ya mavuno wakulima wengi wadogo kutokana na mahitaji na wengine madeni huuza mpunga wao ili wapate pesa za kuendesha maisha yao. Hii haimaanishi kwamba nyakati zote huuza kwa hasara. Isipokuwa faida ambayo wanaonunua kwa wakulima wanaipata ni kutokana na wengi wanakuwa na financial muscle, wanaweza kutunza mpunga wao muda mrefu kusubiri uhaba na bei zipande ili na wao wauze kwa faida.Una tani ngani ghalani? Nimenunua tani 170 Ifakara,lakini sijaona sura ya mkulima hata mmoja kati ya wote nilionunua kwao.