Serikali boresheni mishahara ya Walimu wa nchi hii

Sema walimu waikatae Kwa Ile CWT pale ndio Kuna tatizo. Then ualimu usiwe kitu cha holela. Wenzenu Wana leseni, bila leseni huwezi kuwa mfamasia, bila leseni huwezi kuwa Engineer I mean kupata kazi, bila leseni huwezi kuwa Daktari, bila leseni huwezi kuwa wale sijui CPA Gani huko, bila leseni huwezi kuwa Wakili (reg.no.)

Nyie mnakwama wapi? Kwanini msivunje CWT mkaanzisha Board ya Walimu as a Professional entity?
Ambacho hujua na pengine mleta mada akuweka sawa sana. Viwango vya mishahara serikalini ni karibu sawa vikiwa na tofauti ya elfu 5 au 10 tu. Na wala CWT sio uchawi wa mishahara. Ualimu unaonekana kwakuwa wao ni Majority, kuwafanya mfano ni Rahisi sana.

Na kingine ni vile walimu hawana chakuiba huko shuleni ndio maana huwaoni kwenye ripoti za CAG.

Maafisa kilimo
Afisa maendeleo
Wahasibu wa serikali
Wanasheria wa serikali
Na wengine wengi
Wanaoajiriwa na Degree ya kwanza wooote wanacheza na laki 7 mpk 750. Kabla ya makato.

Tofauti inakuja kuwa yule muhasibu pale halimashauri mkurugenzi anaweza amka asbh akaitisha kikao cha kazi na wakagawana allowance ya laki moja moja. Kesho akaiba kwa kalamu elfu 50, kesho kutwa akapitisha malipo fulani badhirifu akapata 80 elfu. Ndani ya wiki nje ya mshahara katengeneza 230000/

Yule afisa mifugo kaamka asbh kaingia machinjioni kapewa elfu 30 kugonga mhuri kuridhia mfugo uliochinjwa, kesho tena atapewa 30 elfu na kilo 3 za nyama, wiki nzima atatengeneza 180 elfu nje ya mshahara.

Kule kuna mtendaji wa kijiji yeye mshahara ni mdogo zaidi ya mwalimu wa cheti, lakini pale kwenye kijiji anahonga mihuri tsh 3000, ana kesi za kijiji watu wanapigwa faini za kutosha, kwa wiki anatengeneza laki 2 nje ya mshahara.

Ndugu yangu mwalimu anaenda kazini jumatatu hadi ijumaa, hana hata kitu cha shilling 5 cha kuiba, akikomaa sana atengeneze nyumbani (barafu) ice-cream za maji akauze mia mia ndio arudi nyumbani na sh elfu 2 kama faida.

Shuleni hakunaga semina wala vikao vya allowance. Ukikaa kikao ni matako yako kuumia kwenye bench za shule ndio allowance yako. Huwezi iba chaki [emoji3][emoji3] utamuuzia nani?

Hapo ndipo tofauti ya ualimu na kazi zingine, mleta mada kasema walimu wengi wanatoka familia masikini maana ni masikini tu wanaruhusu watoto wao kusoma ualimu.

Hapa ndipo tunasema "They're poor because they were Poor".
 
Tuliwaambie walimu waendelee kusibilia Hadi kipindi Cha kusimamia uchaguzi Ndiyo nyongeza Yao Huwa wanaipata.
 
Wafuatao ni viongozi ambao wamewahi kuwa walimu; Ongeza list yako. Ila ni kipindi cha Nyerere walimu ndio waliheshimika zaidi na graph ikaanza kuporomoka exponentially

1. J.K Nyerere
2. A.H Mwinyi
3. J.P Magufuli
4. K.Majaliwa
5. J. Mhagama
6. D. Biteko

List ni ndefu sana. Baada ya kuingia kwenye siasa mwalimu hakukumbukwa. Nafikiri ualimu kwa nchi yetu kuna shida kubwa. Sio kada ya kusomea kabisa.
 
Yaani mtu upate three ya mwisho advance ukaenda ualimu miaka mitatu uje ulipwe sana na mtu aliyepata division one au two ya mwanzo aliyeenda kusoma udaktari miaka mitano plus mmoja wa intern?..hell no
Hoja yako haina mashiko,msukuma ana division one ngapi??

Profesa pale main campus mwnye digrii 4 analipwa 4mpk 5m na makato juu.
Taletale sidhani hata cheti Cha form 6 km anacho ,anakunja 12 bila makato,

Tz nzima hakuna mwalimu wa digrii mwenye cheti Cha form 4 chenye division kuliko nyie madaktari kuanzia daktari Msukuma mpk daktari wa mihogo.
 
Unaishi dunia gani huo mfumo ukishqbadilika miaka mingi sana. Saizi mtu wa chini kwenda ualimu ni Division 3 kwenye cheti. Lkn hilo sio tatizo kada nyingi wanaenda failure

Mfano uhasibu unaweza anza cheti mtu mwenye D nne tu, au uandishinwa habari na utangazaji. So hoja yako haina nguvu
Kama unadhani Division 3 ni pass sahihi sawa lakini kumbuka bado kuna waalimu wengi sana wa Division 4 na UPE hawajastaafu.

Pia kuna hoja nyingine ambayo serikali husimamia ingawa kwa kificho nayo ni idadi ya waalimu ni wengi kalinganisha na kada nyingine.

Kuongeza mishahara au posho kwa waalimu ni mzigo mzito ambao serikali haipo tayari kubeba kwani kwa kufanya hivyo itabidi ipunguze kutoka kada nyingine zikiwemo za wanasiasa wenyewe. Wanasiasa hawawezi kukubali kupunguza maslahi na marupurupu yao kwa hiari.
 
Hoja yako haina mashiko,msukuma ana division one ngapi??

Profesa pale main campus mwnye digrii 4 analipwa 4mpk 5m na makato juu.
Taletale sidhani hata cheti Cha form 6 km anacho ,anakunja 12 bila makato,

Tz nzima hakuna mwalimu wa digrii mwenye cheti Cha form 4 chenye division kuliko nyie madaktari kuanzia daktari Msukuma mpk daktari wa mihogo.
wanasiasa wanalipwa vizuri sehemu kubwa tu ulimwenguni..ni upumbavu kulinganisha mshahara wa wanasiasa na wanataaluma.
 
Tatizo linaanzia pale wengi wanaochukuliwa kuwa waalimu ni wale ambao matokeo yao ya kidato cha nne na sita ni udhaifu!

Utaratibu ungebadilishwa uwe kama vyuo vikuu ambavyo huchukua waliofaulu vizuri (cream) tu. Vinginevyo wataendelea kunyanyasika na hawawezi kijinasua kwa kuwa wanafahamu ukweli kuwa wao ni dhaifu katika masomo wanayofundisha!
Sio kweli boss, kuna jamaa ana Division 1 O' level na A' level akashindwa kusoma Udaktari kwa ajili ya Umaskini tu. Mkopo nao ukapelekwa kwenda chuo cha UALIMU hivyo akawa hana namna.

Umaskini ndio tatizo kubwa.
 
Ni kweli kuna exceptions! Bodi ya mikopo ya elimu ya juu inatakiwa kufanyiwa overhaul! Kuna kijana pia kakosa kabisa mkopo kisa O level alisoma private wakati mfadhili wake alikuwa shangazi yake.
 
Nani anaeweza tetea maslahi na haki zake katika wafanyakazi wa nchi hii ukiwaondoa hao walimu? Madaktari? Sio waliogoma wakachukuliwa wanajeshi kwenda kutibu, wengine wakang'olewa kucha bila ganzi? Hii yako sio hoja ni makasiriko tu
Nimesema hapo Walimu wasimame kutetea japo kuna Divide and Rule.
 
Yaani mtu upate three ya mwisho advance ukaenda ualimu miaka mitatu uje ulipwe sana na mtu aliyepata division one au two ya mwanzo aliyeenda kusoma udaktari miaka mitano plus mmoja wa intern?..hell no
Huo ndio ujinga mlionao au DHARAU kwa Walimu.

Kwenye Kada ya Ualimu kuna one tena Kali tu na hizo two. Mtu aliamua aende kwenye UALIMU kwa sababu ya shida na umaskini tu.
 
Ambacho hujua na pengine mleta mada akuweka sawa sana. Viwango vya mishahara serikalini ni karibu sawa vikiwa na tofauti ya elfu 5 au 10 tu. Na wala CWT sio uchawi wa mishahara. Ualimu unaonekana kwakuwa wao ni Majority, kuwafanya mfano ni Rahisi sana.

Na kingine ni vile walimu hawana chakuiba huko shuleni ndio maana huwaoni kwenye ripoti za CAG.

Maafisa kilimo
Afisa maendeleo
Wahasibu wa serikali
Wanasheria wa serikali
Na wengine wengi
Wanaoajiriwa na Degree ya kwanza wooote wanacheza na laki 7 mpk 750. Kabla ya makato.

Tofauti inakuja kuwa yule muhasibu pale halimashauri mkurugenzi anaweza amka asbh akaitisha kikao cha kazi na wakagawana allowance ya laki moja moja. Kesho akaiba kwa kalamu elfu 50, kesho kutwa akapitisha malipo fulani badhirifu akapata 80 elfu. Ndani ya wiki nje ya mshahara katengeneza 230000/

Yule afisa mifugo kaamka asbh kaingia machinjioni kapewa elfu 30 kugonga mhuri kuridhia mfugo uliochinjwa, kesho tena atapewa 30 elfu na kilo 3 za nyama, wiki nzima atatengeneza 180 elfu nje ya mshahara.

Kule kuna mtendaji wa kijiji yeye mshahara ni mdogo zaidi ya mwalimu wa cheti, lakini pale kwenye kijiji anahonga mihuri tsh 3000, ana kesi za kijiji watu wanapigwa faini za kutosha, kwa wiki anatengeneza laki 2 nje ya mshahara.

Ndugu yangu mwalimu anaenda kazini jumatatu hadi ijumaa, hana hata kitu cha shilling 5 cha kuiba, akikomaa sana atengeneze nyumbani (barafu) ice-cream za maji akauze mia mia ndio arudi nyumbani na sh elfu 2 kama faida.

Shuleni hakunaga semina wala vikao vya allowance. Ukikaa kikao ni matako yako kuumia kwenye bench za shule ndio allowance yako. Huwezi iba chaki [emoji3][emoji3] utamuuzia nani?

Hapo ndipo tofauti ya ualimu na kazi zingine, mleta mada kasema walimu wengi wanatoka familia masikini maana ni masikini tu wanaruhusu watoto wao kusoma ualimu.

Hapa ndipo tunasema "They're poor because they were Poor".
Ahsante. Upo sahihi
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu, ila utafanyaje pesa ambazo zingeenda kuboresha maslahi ya watumishi wakiwemo walimu ndo zinapigwa na majizi kwa kuongeza malipo zaidi ya maradufu kwenye invoice......
 
Wafuatao ni viongozi ambao wamewahi kuwa walimu; Ongeza list yako. Ila ni kipindi cha Nyerere walimu ndio waliheshimika zaidi na graph ikaanza kuporomoka exponentially

1. J.K Nyerere
2. A.H Mwinyi
3. J.P Magufuli
4. K.Majaliwa
5. J. Mhagama
6. D. Biteko

List ni ndefu sana. Baada ya kuingia kwenye siasa mwalimu hakukumbukwa. Nafikiri ualimu kwa nchi yetu kuna shida kubwa. Sio kada ya kusomea kabisa.
Yaani kwenye Kada ya Ualimu sitaki kabisa kusikia kwenye ukoo wangu.

Ndio maana hao wote waliukimbia Ualimu, hii kazi kufanya mpaka unastaafu basi ujue una umaskini hadi wa akili.
 
Back
Top Bottom