Serikali boresheni mishahara ya Walimu wa nchi hii

TGHS D1 1270,000/=

TGHS E1. 1,530,000/=

TGHS F1. 1,865,000/=
Yaan mtu amesoma elimu ya chuo ziadi ya miaka 8.. then anakuja kulipwa ela hyo... ???
Kwel ndio maana madactari wengi specialist huamua kufanya kazi nje ya nchi tu
 
Hongera kwa kufanya maamuzi magumu.

Wengi huko UALIMUNI watu wamefugwa na UMASKINI...
Na nashukuru Sana sijutii maamuzi yangu maana nimepata connection kubwa miaka michache baada ya kuacha kazi na nipengine pesa ambayo ningeipata baada ya kustaafu nilipata ndani ya miaka 2
 
Na nashukuru Sana sijutii maamuzi yangu maana nimepata connection kubwa miaka michache baada ya kuacha kazi na nipengine pesa ambayo ningeipata baada ya kustaafu nilipata ndani ya miaka 2
Aiseeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaan mtu amesoma elimu ya chuo ziadi ya miaka 8.. then anakuja kulipwa ela hyo... ???
Kwel ndio maana madactari wengi specialist huamua kufanya kazi nje ya nchi tu
Ndio wakina Dr Hamis Kingwangala, Hussein Ali Mwinyi na wengine wengi waliacha kazi za kuchoma watu sindano na kuamua kwenda kwenye siasa kunako lipa zaidi.
 
Sasa hivi waalimu wakuu shule za msingi wanapata posho ya shiling laki moja kwa mwezi, sidhani kama hawa wanaweza kuungana na wenzao kupiga kelele.
Kuna shule moja hapa ya sekondari wamekomaa kuwa kila mwaka mwanafunzi eti apeleke ream za kufanyia mitihani.
Yaani karatasi 500 mitihani Mara nne kwa mwaka anazimaliza kweli inamana kila mtihani mtt anajibia karatasi 125 za ream mie nitakuja niende na idadi za karatasi anazojibia
 
Wameanza kuwachangisha wazazi eti walipwe wa kujitolea Sasa anayekusanya sio huyo anayekukoleza Ni walimu wengine kabisa. Yaani anataka kupitamo
 
Na mwajiri naye anatembelea kwenye huo udhaifu wao!

Anajua akiamua vinginevyo hawatapata pakushika!
 
Huko kutokujua kuvaa vizuri itakuwa ni hulka ya baadhi yao tu,

Sizani kama inauhusiano na kipato!

Mbona kuna watu jobless au Wakulima wadogo ukiwakuta wamevaa wanapendeza tu.

Mtu anaweza kuvaa nguo ya bei Poa au mtumba akijua kujipatia anapendeza tu.

Kupendeza sio sio mpaka nguo ya bei ghali.

Ni jinsi ya kujijulia na kujipatia.
 
Sema ni coincidence tu kutokea kwenye kada ya ualimu wengi wao kwenye kuvaa huwa ni ilimradi wamejisitiri,

Sijui huwa ni Kwanini?’!
 
Upo sahihi 100%
 
Boss peleka hizo ream, usigombane na Walimu.

Wenzio wanawaandaa watoto wao kuwa VIONGOZI kwa kuwapeleka shule bora zenye Ada kuanzia 12M na kuendelea.

Wewe ream tu unalalamika au unawaandaa watoto wako kuwa askari magereza..!!?
 
Sema ni coincidence tu kutokea kwenye kada ya ualimu wengi wao kwenye kuvaa huwa ni ilimradi wamejisitiri,

Sijui huwa ni Kwanini?’!
Hawana pesa za kununulia nguo, mshahara unatosha kula tu.
 
MWL Mama Naa ana hoja, asikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…