Serikali boresheni mishahara ya Walimu wa nchi hii

Boss peleka hizo ream, usigombane na Walimu.

Wenzio wanawaandaa watoto wao kuwa VIONGOZI kwa kuwapeleka shule bora zenye Ada kuanzia 12M na kuendelea.

Wewe ream tu unalalamika au unawaandaa watoto wako kuwa askari magereza..!!?
Sio kanuni labda nipeleke ulaya.anziq viongozi wako kwanza wamesomea shule Gani
 
Walimu wa zamani waliowafundisha akina kikwete, Samwel Sitta, Warioba, Prof Mwandosya na wengine wengi ni tofauti sana na Walimu wa sasa hivi wanaofundisha watoto wako.

Ndio maana viongozi wa sasa hivi hizo shule kamwe huwezi kukuta watoto wao.

Basi we endelea kushupaza shingo kwa kulinganisha sasa na Zamani.
 
Amani iwe juu yenu nyote.

Mwalimu wa Nchi hii nadhani ametengenezewa UMASKINI kuanzia anaajiliwa mpaka anastafu. Kwanza ni watu wanaotoka kaya Maskini bado akiajiliwa anaishi kwenye umaskini akistaafu bado anakutana na KIKOKOTOO.

Mwalimu akiajiriwa anaanza na mshahara wa TGTS D1 (SANAA) 771,000/= na SAYANSI ni 750,000/= na hawa ni wa Degree Moja.

Hapo Mwalimu alipe kodi ya nyumba, Maji , Umeme, asomeshe, Ale, ahudumie familia na wengine ukoo Mzima. Bado mnataka avae apendeze kama kada zingine.

Mwalimu ili apande daraja afikie TGTS E1 basi itamchukua miaka 4 mpaka 5 nayo inategemeana na Rais wa wakati huo. (SIASA).

Hivi ni kwa nini daktari umlipe TGHS D1 (1270000) tofauti ya laki tano na mwalimu wa Degree na yeye ana degree wakati wengine walisoma wote hadi F6?

Walimu ndio nguzo ya Taifa, Taifa bora linatokana na raia wake walioelimika vizuri kwa kuwa na Walimu bora.

HAKUNA WALIMU BORA BILA MASLAHI BORA.

UALIMU ni vile tu umebebwa sana na watoto wa maskini ila SIO kazi ya kufanya.

Mwalimu hana House allowance, hana perdiem, hana extra duty, hana overtime bado awe mtumishi bora, Watu wanafanya bora liende tu.

Serikali waangalieni Walimu kwa jicho la pekee kama mnataka Taifa liwe bora.

Serikali haishindwi kuhudumia vizuri walimu 250,000+ (Msingi 170,000+ na sekondari 89,000+ huku walimu wa masomo ya Sayansi na hisabati wakiwa 23,000+)

Sio haki eti Mwalimu wa Degree kufikia Mshahara wa 1280,000 ambao ni TGTS F1 ni mpaka akae kazini miaka 8 - 10+ BADO TUNATAKA TAIFA LILILOELIMIKA?

INATIA UCHUNGU SANA, WANASIASA MMEJIWEKEA MASLAHI BORA SANA ILA WATUMISHI MKAAMUA KUWAPA KIKOKOTOO.

WATZ NI KWA NINI TUMEKUBALI MBUNGE MIAKA 5 APEWE MILIONI 270+ HALAFU MTUMISHI APEWE MILIONI 40+ KWA MIAKA 30 - 40 YA UTUMISHI?

TAIFA HILI LINA LAANA WALLAH.
Mpaka uwe daktari umzidi mshahara mwalimu inakuchukua miaka mingapi? .....mwalimu anasoma miaka 3 tu.....daktari mitano plus mmoja wa field jumla miaka 6 kisha unataka wawe sawa?
 
Walimu wa zamani waliowafundisha akina kikwete, Samwel Sitta, Warioba, Prof Mwandosya na wengine wengi ni tofauti sana na Walimu wa sasa hivi wanaofundisha watoto wako.

Ndio maana viongozi wa sasa hivi hizo shule kamwe huwezi kukuta watoto wao.

Basi we endelea kushupaza shingo kwa kulinganisha sasa na Zamani.
Mie nachowahurumia Ni kama usafiri Ila Kama mtt anapenda kusoma anaweza akajisomea akiwa home na material yakapanda kichwani
 
Kumbe manesi nao kama Walimu tu.

Manesi kama walimu kivipi?

Nesi TGHS C kama 985k hivi

Mwalimu TGTS D kama 750k gap kubwa hao bachelor wote

Nesi wa diploma (kama 690k hivi) ndo anaendana na mwalimu wa degree (750k)
 
Kuna shule moja hapa ya sekondari wamekomaa kuwa kila mwaka mwanafunzi eti apeleke ream za kufanyia mitihani.
Yaani karatasi 500 mitihani Mara nne kwa mwaka anazimaliza kweli inamana kila mtihani mtt anajibia karatasi 125 za ream mie nitakuja niende na idadi za karatasi anazojibia
Mkuu ulitaka wasilipe kabisa au walipaje kama Kwa mwaka rimu moja unaona wizi? matumizi ya rimu ni mengi, mwl anaweza kuona kitabu flan kizuri akakipenda akataka kutoa copy yake na za wanafunzi, mwl anaweza kutoa test ya somo lake tu.

Kuna karatasi zakuandalia lesson plan na nyaraka nyingine kibao. Elimu ni gharama fatilia hata shule za serikali nyingi zinazofanya vizuri kuna gharama wazazi wanaingia. Swala la kuibwa linaweza kuwepo Ila sio kivile na karibia kila idara ya serikali kuna kamwanya kaupigaji. Kikubwa angalia faida yake.
 
Mkuu ulitaka wasilipe kabisa au walipaje kama Kwa mwaka rimu moja unaona wizi? matumizi ya rimu ni mengi, mwl anaweza kuona kitabu flan kizuri akakipenda akataka kutoa copy yake na za wanafunzi, mwl anaweza kutoa test ya somo lake tu. Kuna karatasi zakuandalia lesson plan na nyaraka nyingine kibao. Elimu ni gharama fatilia hata shule za serikali nyingi zinazofanya vizuri kuna gharama wazazi wanaingia. Swala la kuibwa linaweza kuwepo Ila sio kivile na karibia kila idara ya serikali kuna kamwanya kaupigaji. Kikubwa angalia faida yake.
Hakuna cha elimu gharama bana. Ishu kubwa kwenye elimu Ni Mtoto kuipenda Shule Basi.
Nakuambia mie nimesoma nakomaa mwenyewe nanunua vitabu najisomea muda mwingi nikiwa home yaani shule naibuka ki nadra mno. Nilikuwa na mentality kuwa shule zetu Ni centre ya mitihani.
Kama sekondari mwalimu anafundisha kwangu Ni marudio anafanya.

Ile Ari ya mtt kupenda ama kuwa hungry with knowledge ndio gharama ilipo na awe anapenda tokea moyoni kabisa.

Kwani mwalimu ndiye anayeotesha vitu ama maarifa kichwani mwako ama Ni wewe mwenyewe
 
Hakika. Pesa nyingi kwenye ELIMU ni kama porojo tu za kisiasa.
 
Manesi kama walimu kivipi?

Nesi TGHS C kama 985k hivi

Mwalimu TGTS D kama 750k gap kubwa hao bachelor wote

Nesi wa diploma (kama 690k hivi) ndo anaendana na mwalimu wa degree (750k)
Hakika umenena vyema.
 
Hakika. Pesa nyingi kwenye ELIMU ni kama porojo tu za kisiasa.
Hapana Ni private schools people wanajaribu kuwa brainstorm and nurture their beliefs and opinion ili wawe wanatoa hela nyingi wanadhani kuwa more money=quality education.
Vitu vingine Ni kutokana human EGO yaani Ile ku boast kuwa nasomesha nalipa Ada 5M wakati Kuna mtt anasoma bure anafaulu zaidi kuliko huyo wa 5M.sio kuwa naji comfort Ila siamini kuwa more money of tuition fee ndio itafanya mwanangu awe na uwezo mkubwa wa kiakili. Mana mental energy Ni sawa na physical energy kila mtu Ana zake sema how to nurture them.pia hakuna guarantee kuwa mie kulipa Ada kubwa ndio watapata Ajira guarantee.
Mana lugha sio maarifa. Kuna wachina hapa wanajenga majengo makubwa hapa afrika na English hawajui ,Mana kuweka nondo hakuhitaji uiambie kwa English kuwa ndio ipangwe kwenye mpangilio unaotakiwa.
Mjapan kumfanyia mtu surgery ya jicho ama kichwa sio kuwa mpaka aongee English.
Somehow na ulimbukeni ,kutafuta external validation, adequacy, feeling sense of mattering and pride.
 
Umechanganya vitu vingi sana kiasi unashindwa kueleweka vizuri! Quality education siyo English bali ni namna mtu anavyopewa na kuipokea elimu hiyo. Sasa kama medium ya ku-transfer hiyo knowledge ni english basi lazima uifahamu english vizuri vinginevyo utaishia kukariri.
 
Umekuwa biased. Elewa kuwa Kuna 9 human intelligence Ila shuleni unajaribiwa only two kinds of intelligence mojawapo Ni kukariri hata ukatae.
Elewa kuwa knowledge kuipata Ni Ile Ari na njaa yako na tamaa ya kutaka kuwa mtalaamu wa kitu fulani. Elewa Kuna watu wengi wanadai kuwa nimejifunza mengi mno kwa investor fulani kuliko niliyojifunza chuoni
 
Kama unadhani Division 3 ni pass sahihi sawa lakini kumbuka bado kuna waalimu wengi sana wa Division 4 na UPE hawajastaafu.

Pia kuna hoja nyingine ambayo serikali husimamia ingawa kwa kificho nayo ni idadi ya waalimu ni wengi kalinganisha na kada nyingine.

Kuongeza mishahara au posho kwa waalimu ni mzigo mzito ambao serikali haipo tayari kubeba kwani kwa kufanya hivyo itabidi ipunguze kutoka kada nyingine zikiwemo za wanasiasa wenyewe. Wanasiasa hawawezi kukubali kupunguza maslahi na marupurupu yao kwa hiari.
Hii itasaabisha elimu katika nchi hii iendelee Kuna dhaifu mpk mwisho wa Dunia kwa sababu hakuna ufanisi kwenye Hamna.serikaki iweke fedha wàlimu wetu wafanye kazi kwa ufanisi
 
Amani iwe juu yenu nyote.

Mwalimu wa Nchi hii nadhani ametengenezewa UMASKINI kuanzia anaajiliwa mpaka anastafu. Kwanza ni watu wanaotoka kaya Maskini bado akiajiliwa anaishi kwenye umaskini akistaafu bado anakutana na KIKOKOTOO.

Mwalimu akiajiriwa anaanza na mshahara wa TGTS D1 (SANAA) 771,000/= na SAYANSI ni 750,000/= na hawa ni wa Degree Moja.

Hapo Mwalimu alipe kodi ya nyumba, Maji , Umeme, asomeshe, Ale, ahudumie familia na wengine ukoo Mzima. Bado mnataka avae apendeze kama kada zingine.

Mwalimu ili apande daraja afikie TGTS E1 basi itamchukua miaka 4 mpaka 5 nayo inategemeana na Rais wa wakati huo. (SIASA).

Hivi ni kwa nini daktari umlipe TGHS D1 (1270000) tofauti ya laki tano na mwalimu wa Degree na yeye ana degree wakati wengine walisoma wote hadi F6?

Walimu ndio nguzo ya Taifa, Taifa bora linatokana na raia wake walioelimika vizuri kwa kuwa na Walimu bora.

HAKUNA WALIMU BORA BILA MASLAHI BORA.

UALIMU ni vile tu umebebwa sana na watoto wa maskini ila SIO kazi ya kufanya.

Mwalimu hana House allowance, hana perdiem, hana extra duty, hana overtime bado awe mtumishi bora, Watu wanafanya bora liende tu.

Serikali waangalieni Walimu kwa jicho la pekee kama mnataka Taifa liwe bora.

Serikali haishindwi kuhudumia vizuri walimu 250,000+ (Msingi 170,000+ na sekondari 89,000+ huku walimu wa masomo ya Sayansi na hisabati wakiwa 23,000+)

Sio haki eti Mwalimu wa Degree kufikia Mshahara wa 1280,000 ambao ni TGTS F1 ni mpaka akae kazini miaka 8 - 10+ BADO TUNATAKA TAIFA LILILOELIMIKA?

INATIA UCHUNGU SANA, WANASIASA MMEJIWEKEA MASLAHI BORA SANA ILA WATUMISHI MKAAMUA KUWAPA KIKOKOTOO.

WATZ NI KWA NINI TUMEKUBALI MBUNGE MIAKA 5 APEWE MILIONI 270+ HALAFU MTUMISHI APEWE MILIONI 40+ KWA MIAKA 30 - 40 YA UTUMISHI?

TAIFA HILI LINA LAANA WALLAH.
Walimu si juzi tu mmeongezwa mishahara?🤷

Au ndo kusema mmenogewa.

Pigeni kazi nduguzangu.
 
Acheni bangi maofsini,mtu unalipwa kuanzia 500k mnaanza kutupigia kelele mbwa nyie.
Hivi mnamjua mkulima anaishi maisha gani lakini.
Ukiona mshahara mdogo,acha kazi tuone.
Elimu yenyewe mnayotoa haikidhi viwango.
Mngekuwa mnapigia kelele mitaala mibovu ibadirishwe iendane na Dunia ya Sasa tungewaona WA maana ktk Nchi hii
Kutwa kelele mishahara midogo pumbavu zenu.

Hamnaga msaada wowote katika maendeleo yetu.
Mnakuwa WAJINGA WAJINGA,mpaka mnakela.

Hakuna mwalimu asiemiliki Gari.
Haya,wakulima wangapi wanamiliki magari?.
Acheni uzwazwa,mmezidi kutupigia kelele.

Kazi masrahi madogo,iache tafuta nyingine.
Hamzalishi chochote,afu bado unataka kulipwa zaidi.Mkome kabisa kutupigia kelele mbuzi nyie,uvivu tu WA fikra.

Narudia Tena,acheni uzwazwa.

PUVO RUKSA,TUSHAMBULIANE KAMA MWEWE.
 
Na nashukuru Sana sijutii maamuzi yangu maana nimepata connection kubwa miaka michache baada ya kuacha kazi na nipengine pesa ambayo ningeipata baada ya kustaafu nilipata ndani ya miaka 2
Ulipata connection gani mwalimu na sisi tujikwamue
 
Acheni bangi maofsini,mtu unalipwa kuanzia 500k mnaanza kutupigia kelele mbwa nyie.
Hivi mnamjua mkulima anaishi maisha gani lakini.
Ukiona mshahara mdogo,acha kazi tuone.
Elimu yenyewe mnayotoa haikidhi viwango.
Mngekuwa mnapigia kelele mitaala mibovu ibadirishwe iendane na Dunia ya Sasa tungewaona WA maana ktk Nchi hii
Kutwa kelele mishahara midogo pumbavu zenu.

Hamnaga msaada wowote katika maendeleo yetu.
Mnakuwa WAJINGA WAJINGA,mpaka mnakela.

Hakuna mwalimu asiemiliki Gari.
Haya,wakulima wangapi wanamiliki magari?.
Acheni uzwazwa,mmezidi kutupigia kelele.

Kazi masrahi madogo,iache tafuta nyingine.
Hamzalishi chochote,afu bado unataka kulipwa zaidi.Mkome kabisa kutupigia kelele mbuzi nyie,uvivu tu WA fikra.

Narudia Tena,acheni uzwazwa.

PUVO RUKSA,TUSHAMBULIANE KAMA MWEWE.
Waalimu wanazalisha wataalam kama wewe! Au ulitaka wakuzae na wewe upya?
 
Magu alitaka mishara yote ifanane sio degree wamesoma wote 3yrs mwingine ale 4mil mwingine laki7 its not fair
 
Back
Top Bottom