DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unafahamu vizuri kuwa nchi yetu ni 'shamba la bibi'.
Wajinga na mazuzu wapo wengi sana.
,acha wakongo wavune pesa!!!
Tumuombe nabii aweke na bend za dansi za wakongo ili wakati wa kutoa sadaka mioyo ya waumini iwe safi.
Acha kuchukia ubunifu wake wa kuingiza pesa.
Labda ishauri serikali iwe inachukua Kodi!!!
 
Kujipatia fedha halali kwa njia ya kuhubiri Injili si kosa, maadamu unahubiri amani upendo na mshikamano, ndio tunu na msingi wa taifa letu.
 
Kujipatia fedha halali kwa njia ya kuhubiri Injili si kosa, maadamu unahubiri amani upendo na mshikamano, ndio tunu na msingi wa taifa letu.
Hivi wewe unawaamini hao manabii??
Huo ni upuuzi wa waumini ambao hawajui hata maandiko yanasemaje,waumini ambao hawana hata uelewa wa Imani yao!!
Yesu alishasema 'siku za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo'.
Baadhi ya manabii na makanisa ni sawa tu na mikataba mibovu ya serikali!
 
Tatizo Waafrika hatupendi kusoma,kama hizi dini tungekuwa tunapenda kuzichimba na kuzisoma vizuri tusingekuwa tunahangaika..acha uendelee msemo wa "wajinga ndio waliwao"..
 
Kujipatia fedha halali kwa njia ya kuhubiri Injili si kosa, maadamu unahubiri amani upendo na mshikamano, ndio tunu na msingi wa taifa letu.
Hapana yule kazidi,
Unafikiri anachukua hizo buku buku za Maji na buku za mafuta za kama kwa Mwamposa?
Afadhali kwa Mwamposa ukinunua Maji yanakuwa yako, ukinunua mafuta yanakuwa yako kwa matumizi yako kwa imani.
Unaambiwa jamaa anapiga ndefu balaa.
Malaki na mamilioni.
Sasa sijui anakula na wajuu jamaa wa juu ili aendelee?

Halafu wana jeuri ?!

Sijapata kuona tangu kuzaliwa!

Mwenyezi Mungu azidi kutusitiri na kutuweka tuone mengi.
 
Ukute kuna mahala huwa anapeleka marejesho ili aendelee kuwepo.
Hii Dunia imejaa hila nyingi na mambo mengi sana.
Real is rare , Fake is everywhere.
 
Ukiona wananchi wanatendwa mabaya na wewe ukayanyamazia ilihali umepewa dhamana ya kisheria ya kuingilia kati kulinda watu na mali zao ikiwemo rasilimali fedha zao fahamu kuwa utalipia huko kunyamazia (kutowajibika kwa wakati) kwa namna nyingine. (Ina other forms).

You shall pay it in many ways.

Unashangaa yanaibuka mambo ya kukutaka utumie Hela in a consumable items.
Badala ya kuitumia kwenye kuwekeza au maendeleo inapotea.
Watoto au wajukuu wanakuwa wasio na uelekeo wa maisha.
Utalea watoto na watoto wao ( wajukuu ) wao 👌👌👌

Kila Hila na ubaya utalipwa.
Ukitenda mema ni faida yako.
Ukitenda mabaya ni kwa hasara yako na vizazi vyako.
 
Imeandikwa: “ Nawapatiliza wana wa waovu uovu wa wazazi wao kizazi cha kwanza hata cha nne”

Maaana yake ukitenda uovu utalipwa maovu wewe, wanao, wajuu zako, vilembwe na Vilembwekuzi (Vining’ina).

Asomaye na afahamu.
 
  • Au serikali imesinzia au ni 'mtu wao'
  • 'Manabii wa kileo' wameona Wachina n.k wanakamua Watanzania, nao wakaona waibukie huko huko.
  • Serikali ikumbuke wajibu wake.
 
Kingine a nacho haribu amani ya familia ni kusema Mama yako au ndugu yako ndiye mchawi wako. Na mbaya zaidi anasema lazima na yeye auwawe (yaani yeye Dominic, ndiye atafanya maombi ya kumuua). Kweli serikali amkeni mapema zuia utapeli wa wazi wa huyu Dominic.
 
Kumbe mmejipanga.
 
Tanzania Inachezewa Sana Yaani Mtu Anafungua Huduma Anawakamua Wananchi Na Bado Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ifute Kibari Cha Nabii Endapo Walimpa. Huu Mwendo Kwa Taifa Siyo Mzuri Yaani Kama Hatuoni.
Wananchi wengi ni ndondocha. Kazi kuamini kwenye uchawi na miujiza tu. Wakifikiri sana wanaingia kwenye Yanga na Simba.
 
Serikali haina dini! Nasimama na serikali yetu katika hili,isihusishwe!
Mimi nawaunga mkono hao Manabii kwa kutumia ujinga wa Waumini kujitajirisha! Kwani siwanamletea fedha wao wenyewe?
Hapa ni jukumu la watu wenyewe kugundua utapeli na kukimbia siyo kuililia serikali.
 
Mbna kama manabii wa sasa wote ni wezi basi tuletee wa ukweli utuoneshe alichofany cha tofaut
Unabii ni huduma sio cheo, makanisa yoyote iwe Pentecostal, Lutheran, Anglican etc kuna watu wana karama za unabii na hawajiiti hivyo ila wana uwezo wa kujua matukio yanayokuja na wakalieleza kanisa wakaombea na suala likapita. Hao wapo makanisa yote ila hawa wanaojitangaza maredioni ndio tunawaita matapeli maana Huduma haihitaji kutangazwa inajidhihirisha hata ukiwa mshirika wa kawaida tu kanisani.
 
Back
Top Bottom