Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hiyo ni mifano miwili tofauti unless uwe na utindio wa ubongo ndio uone ni sawaBasi na hawa matapeli wa mtandaoni waachwe tu waendelee kutapeli maana huko nako watu wanajipeleka wenyewe hakuna anayewalazimisha. Nonsense!
Kujipatia fedha halali kwa njia ya kuhubiri Injili si kosa, maadamu unahubiri amani upendo na mshikamano, ndio tunu na msingi wa taifa letu.Unafahamu vizuri kuwa nchi yetu ni 'shamba la bibi'.
Wajinga na mazuzu wapo wengi sana.
,acha wakongo wavune pesa!!!
Tumuombe nabii aweke na bend za dansi za wakongo ili wakati wa kutoa sadaka mioyo ya waumini iwe safi.
Acha kuchukia ubunifu wake wa kuingiza pesa.
Labda ishauri serikali iwe inachukua Kodi!!!
Shida yake kwa nini Mkongo aje Tanzania apige hela Buza na yeye yupo?.Hakuna alicho andika cha kweli kwani wananyang'anywa watu wanapona wewe unaleta siasa
USSR
Hivi wewe unawaamini hao manabii??Kujipatia fedha halali kwa njia ya kuhubiri Injili si kosa, maadamu unahubiri amani upendo na mshikamano, ndio tunu na msingi wa taifa letu.
Sijasema nawaamini, kama wanahubiri amani upendo na mshikamano ni jambo zuri sana kama hawavunji sheria, issue ya kutoza kiwango fulani cha fedha hakulazimishi mnapeleka wenyewe kosa lake liko wapi.
Hapana yule kazidi,Kujipatia fedha halali kwa njia ya kuhubiri Injili si kosa, maadamu unahubiri amani upendo na mshikamano, ndio tunu na msingi wa taifa letu.
Kumbe mmejipanga.Kingine a nacho haribu amani ya familia ni kusema Mama yako au ndugu yako ndiye mchawi wako. Na mbaya zaidi anasema lazima na yeye auwawe (yaani yeye Dominic, ndiye atafanya maombi ya kumuua). Kweli serikali amkeni mapema zuia utapeli wa wazi wa huyu Dominic.
Wananchi wengi ni ndondocha. Kazi kuamini kwenye uchawi na miujiza tu. Wakifikiri sana wanaingia kwenye Yanga na Simba.Tanzania Inachezewa Sana Yaani Mtu Anafungua Huduma Anawakamua Wananchi Na Bado Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ifute Kibari Cha Nabii Endapo Walimpa. Huu Mwendo Kwa Taifa Siyo Mzuri Yaani Kama Hatuoni.
Hapo Utawakuta Mpaka Wanakuwa MalofaWananchi wengi ni ndondocha. Kazi kuamini kwenye uchawi na miujiza tu. Wakifikiri sana wanaingia kwenye Yanga na Simba.
Unabii ni huduma sio cheo, makanisa yoyote iwe Pentecostal, Lutheran, Anglican etc kuna watu wana karama za unabii na hawajiiti hivyo ila wana uwezo wa kujua matukio yanayokuja na wakalieleza kanisa wakaombea na suala likapita. Hao wapo makanisa yote ila hawa wanaojitangaza maredioni ndio tunawaita matapeli maana Huduma haihitaji kutangazwa inajidhihirisha hata ukiwa mshirika wa kawaida tu kanisani.Mbna kama manabii wa sasa wote ni wezi basi tuletee wa ukweli utuoneshe alichofany cha tofaut
Uhuru wa kuabudu ndio pesa ikusanywe bila risiti? Sheria zikivunjwa lazima serikali ihusishweSerikali haina dini! Nasimama na serikali yetu katika hili,isihusishwe