DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sio wamalawi tu wanaigeria pia wanakuja kwa wingi Tz wamulikwe
 
Soma vzr Uzi! Shida kubwa inaanzia ktk tabia zao.
 
System inawajua vizuri ukiona wamewaacha ujue hawana madhara na hata hizo hela wanatafuta ni wanahangaikia tumbo huko kwao hawatarudisha hata sh moja. Waache wajenge nchi
Hizi nchi tulizopakana nazo tunafanana nazo tabia. Kama huna u-much know wanakukaushia. Ila wakiona una janja janja kama vile ugomvi, kutembea na wake za watu na kujiingiza kwenye mambo ya siasa utashangaa umedakwa fasta tu. Ukiwa mtulivu na kufanya tu shughuli zako hata ukiwa Malawi na wao wanakukaushia.
 
Sasa mbona umeelewa nilichokua nazungumzia lkn ukajifanya hamnazo?? Wafanya mambo Yao kwa utulivu bila wizi na na kutomb...! Kwa makundi mchana kweupe huku vilio na makelele vikigeuka kero kwa wengine
 
Nd
Soma vzr Uzi! Shida kubwa inaanzia ktk tabia zao.
Ndiyo maana naseme wewe pamoja na mreta maada hamjawahi kutoka inje ya Tanzania,labda nikikwambia tukiwa ugenini unapokutan na vijana wanaoongea kiswahili iwe kwenye vyomba vya usafiri au wapi,usije ukachangia maada kwani wao ndiyo watakao kudhuru,iwe kukuibia au kukuchomea kwa polisi

Na usije ukajiloga umkaribishe au uwakaribishe nyumbani kwako,yaani wale vibaka waliokubuhi hapo Dar,tunawaita mabechi boy au watoto wa temeke ndiyo wamejaa huku,hao wamalawi cha mtoto,wenyewe wanakukaba jua linawaka
 
Kama umekiona wewe ukaja kutusimulia kwanini hutaki na sisi tusimulie yetu,
Mkuu tafuta pesa , tafuta pesa, tafuta maisha wacha kupiga chabo wamalawi wakizagamuana ohoo...!!
Watanzania wengi wajinga wajinga ukiwemo wewe. Huoni kbs athari za mambo wayafanyayo kwa jamii.
Pesa sitafuti tafuta ww
 
Sasa ww unamaanisha Nini kwamba matendo hayo kwako ni yakawaida? Tuachane nayo?
 
Soma uelewe. Mie hao uliowataja sijawi ishi nao karibu hivyo sielewi mambo Yao lkn nao kama wanafanya Yale Yale vyombo vya Dola vifanye kazi yake
Kwahiyo unalaumu wamalawi kwasababu wewe una shida nao?
 
Ludia = rudia. Wewe ni mrundi?
Najua unawatetea kwa sababu wewe ni mnafaika wao! Umewalundika unawatumikisha kwa ujira mdogo, walipeni ujira mzuri basi maana wananjaa Kali wanaokota Kila wakionacho mbele Yao. Au wanavyo iba wanakuletea wewe.
 
Sasa ww unamaanisha Nini kwamba matendo hayo kwako ni yakawaida? Tuachane nayo?
Mimi naamini kwanza wamalawi wanaozamia bongo choka mbaya, na hakuna mmalawi mjanja, kwa hiyo hizo tuhuma ni ndogo sana ukiilinganisha na wabongo wanayoyafanya kwa ichi za watu,mfano south afrika
 
Umeshaenda serikali ya mtaa au kwa mjumbe kutoa taarifa?
 
Mimi naamini kwanza wamalawi wanaozamia bongo choka mbaya, na hakuna mmalawi mjanja, kwa hiyo hizo tuhuma ni ndogo sana ukiilinganisha na wabongo wanayoyafanya kwa ichi za watu,mfano south afrika
Hata hao wabongo wanaokwenda nchi za watu kufanya matendo ya kihalifu washughulikiwe. Sasa naanza kuwaelewa wa south kwa Nini wana watimuaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…