DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wamalawi wameanza kuja tokea miaka ya 50 huko
Hyu jamaa atakuwa mtoto wa mama hajui life ikoje

Ova
 
Halafu wepesi kujifunza kiswahili hao. Yaani wakishakaa miezi 6 tu wanaongea fluent Swahili. Sema wanakuwa na ka lafudhi Kama watu wa Mbozi. Sio rahisi kuwatofautisha.
Mbona wazungu nao sahv wanaongea kiswahili vzr tu

Ova
 


Hivi ndugu yangu wewe umesoma hadi darasa la ngapi??
 
Kwa ufahamu wako unadhani serikali au vyombo vya usalama vinapaswa kuangalia mambo yapi? Hivi ww huoni hilo tishio la kiusalama na kimaadili hapo? Sijasema yote lengo ni kutaka kuona how the government iko active!
Serikali iko 'active' na rushwa!
 
Ushawahi kuvuka mipaka ya nchi

Yako kwenye utafutaji nk

Ova
Huna haja ya kujua hilo kwani halihusiani na mada! Mimi nazungumzia uvunjifu wa Sheria za nchi kwa wageni,uvunjifu wa maadili nk. Sasa wewe unanileta siasa Tena.

Kwani huko ng'ambo ukivunja Sheria za nchi kama kufanya uhalifu watakuacha kisa umeenda kutafuta maisha? Kwa hiyo wewe unataka nchi iwe kama choo Kila anaetaka kuingia na kutoka basi afanye atakavyo??
Serikali iko 'active' na rushwa!
Vipi yani sijakusoma
 
Unawaita majasusi watu wanaokuja hapa wanaishi kimaskini?
Nilikuwa Johannesburg mtu mmoja( Mkongoman) akaniambia , Watafute Watanzania wenzako" Nikamuuliza"Nitawaona wapi hao?" Akasema endelea tu kutembea utawaona. Na kweli nikawaona wanafanya kazi za kimachinga( by the way,did you know machinga maana yake 'marching guy'. Machinga maana yake 'marching guy'. Na hili jambo mtu ameniambia 1970.)
Kwa wewe unavyosema tuwafukuze Wamalawi,hiyo si sawa na vijana wa South Africa wanapokuwa xenophobic?
 
Kwa ulichokiandika sikulaumu hata kidogo, lkn nilichogundua hujui chochote kuhusu mambo ya kiusalama.

Wewe unavyodhani majasusi wanafananaje? Kwamba jasusi hawezi kuishi kimaskini? Jasusi hawezi kufanya vibarua? Jasusi hawezi kufanya umachinga?
Kikubwa ni kwamba jasusi akitaka kufanya yake basi njia ya kwanza ni kutumia uzaifu wako. Nakutahadhaliaha acha kbs kuwadharau hao jamaa wanaoingia chini na kujifanya cheap labours
 
Malawi kuna mtanzania mmoja anaitwa Bishop simama kawekeza
Sana huko
Bado kuna sehemu nyingi tu wako wabongo wa kawaida wana hustle huko....

Ova
Mbona wewe Kila nikikuelewesha huelewi? Umesoma Uzi vzr? Shida kubwa ni matukio Yao tu mkuu na Wala sio kuwachukia
 
Wamalawi wameanza kuja tokea miaka ya 50 huko
Hyu jamaa atakuwa mtoto wa mama hajui life ikoje

Ova
Akili kama hizi ndo zinafanya vijana hawaaminiki kabisa. Wakipewa uongozi watavuruga zaidi
 
Akili kama hizi ndo zinafanya vijana hawaaminiki kabisa. Wakipewa uongozi watavuruga zaidi
Ww akili huna unadhani Kila alieko jf ni kijana! Sasa kama ww hapo ulipo hujui athari za nilichokileta hapa then wewe ni..........
 
mkuu upeo wako ni mdogo sorry kukuambia hivyo , usipende kujibu vitu vilivyo nje ya uwezo wa akili yako , unahisi kuna mtz wa kuua watu kule kitaya ?
Wacha weeeee!nilikuwa sijui Kama Nina upeo finyu.
 
Maisha haya nyie🙆🙆
Nishakwambia hakuna wa kumuonea wivu mmalawi kwa mshahara wa 50k ya ulinzi kwa mwezi, shida ni matendo yao. Kwanza tunawaona kama machizi tu, sasa ww ukalale nje mwezi mzima kwa Tsh 50k?

Pia naona mnahuruma sana basi kwa Nini msiwalipe vzr kama binadamu wengine wanapowafanyieni kazi zenu vzr?
 
Acha makasiriko,una roho ndogo,wewe ni mchoyo na mbinafsi.....hizo tabia mbaya ndio wewe wa kwanza kuwaongelea hao....kwa hiyo USITUFOKEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…