DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ww akili huna unadhani Kila alieko jf ni kijana! Sasa kama ww hapo ulipo hujui athari za nilichokileta hapa then wewe ni..........
Hakuna mtu mzima mwenye akili za kishenzi kama zako. Haya mawazo kama yako ndo yanasababisha mauaji huko SA kila siku.
 
Unavyojifanya una akili Sasa,na maisha mazuri usingekuwa unaishi huko ambako watoto Wana access ya kuchungulia kwenye madirisha ya watu...mkuu acha roho hizo bwana
Hahahaahhaha agiza kitimoto utajilipia. Umenifurahisha
 
Huku jf ndo kuzuri sitaki mambo ya kusumbuana niache shughuli zangu nianze kuwapa watu ushirikiano, kikubwa taarifa ndo hiyo sasa kazi kwao kufanya uchunguzi
 
Unavyojifanya una akili Sasa,na maisha mazuri usingekuwa unaishi huko ambako watoto Wana access ya kuchungulia kwenye madirisha ya watu...mkuu acha roho hizo bwana
Nishakwambia uwezo wako unaishia kwenye mambo ya mbususu huku huelewi kitu ww mmalawi.
 
Huku jf ndo kuzuri sitaki mambo ya kusumbuana niache shughuli zangu nianze kuwapa watu ushirikiano, kikubwa taarifa ndo hiyo sasa kazi kwao kufanya uchunguzi


Kwa humu jf kwa suala hilo ni sawa na kutwanga maji.
 
Hao wanaingia Tanzania na zile hakuna kulala. Wanakuwa na kiongozi wa msafara na anakuwa anaongea vizuri tu kiswahili. Tena mara nyingi hawa viongozi wa msafara unakuta ni mtu ambaye ana wazazi huku yaani baba au mama ni raia wa tz.

Nilishuhudia mara mbili aiseee askari wa uhamiaji walikagua gari wakawatoa walikuwa kama 10 hivi huwezi wajua utadhani ni wabongo. Jamaa hata kiswahili hawajui.

Wakashuka dakika chache nadhani walitoa mpunga na kuprovide karatasi za vibali vya kuingia Tanzania then safari ikaendelea.

Wengi wanakuja na vibali vikikaribia kuisha wanaenda kurenew.

Nadhani swala inabidi tuwe makini sana na vibali vya kazi kwa wageni, tuwe makini na namna tunaruhusu watu kuja hapa nchini maana tuna raia wenzetu utimamu wao wa akili unatia mashaka wanajichanganya na hawa jamaa wanaanza nao mahusiano na kupata nao watoto. Hii inaleta shida baadae.
 
Mkuu,Ina maana wewe huwezi kuoa raia wa taifa lingine?Kumbuka mipaka yetu ni matokeo ya Berlin conference 1884-85,wazungu waligombania,nchi ya babu zetu hatimae wakaamua kuigawanya Africa na mipaka yao,walikuja Kwa Hilo watajua umoja wetu na nguvu yetu,,,,Hatuna Sababu yeyote na msingi ya kuwachukia waafrica wenzetu ,tuna vinasaba vinavyofanana,sisi ni wamoja....wewewe mwenyewe umeshudia ulishindwa kutofautisha pale walipokamatwa Kama ni wamalawi au ni Watanzania
Jamani,haya mambo ya chokochoko ndogondogo yanapandikiza chuki kwenye mioyo,matokeo yake ni Kama tunayoshuhudia Xenophobia hapo SA,tumeshuhudi mauaji ya kimbari Rwanda na bado South n north Sudan,wanabaguana wanauana Kwa vimambo Kama hivi....As African descendants,we have to fight for Unity rather than bullying our fellow sisters and brothers,
By the way....Kama mmalawi hatakiwi Tanzania ni kichekesho kumkumbatia mhindi mwarabu
 
No way....hakuna shida yeyote kuzaa na mmalawi au mkongo
 
[emoji2956][emoji2956]
 
kwani mtu kutoa dokezo Lake hapa jf ni kosa. Msiforce watu mfanane kimtazamo jmn. Hpa Pia ni mahali sahihi kabsa. Mambo mangapi yanaanzia jf halafu baadaye yanaclick na kufatiliwa na mamlaka husika?
 
kwani mtu kutoa dokezo Lake hapa jf ni kosa. Msiforce watu mfanane kimtazamo jmn. Hpa Pia ni mahali sahihi kabsa. Mambo mangapi yanaanzia jf halafu baadaye yanaclick na kufatiliwa na mamlaka husika?
[emoji2956]
 
Unazungumzia Serikali ipi ?

Hii ya CCM ambayo Kwa kiama zaidi ya 20 imeshindwa kutengeneza vitambulisho vaya uraia na pasport Kwa watu wake.

Waachwe tu waje ila wasiruhusiwe Kununua ardhi na kuwa Mawaziri Kama au kushika Chama. Afrika ni moja mipaka iliwekwa na wakoloni.
 
Serikali wataangalia Mambo mangapi, ilo swala la kada ya uhamiaji tu, na uhamiaji ndo serikali nayo, maeneo hayo Kuna viongozi barozi, mwenyekiti, watendaji wanashindwa kwenda uhamiaji kuripot ilo swala?
Hivi ukiambiwa Serikali wewe unaelewa Nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…