Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
- Thread starter
- #161
Sawa sawa!Uhamiaji wanapaswa kutoa custom care namba ambayo mtu anaweza kuripoti moja kwa moja matukio kama hayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa!Uhamiaji wanapaswa kutoa custom care namba ambayo mtu anaweza kuripoti moja kwa moja matukio kama hayo!
Hakuna mtu mzima mwenye akili za kishenzi kama zako. Haya mawazo kama yako ndo yanasababisha mauaji huko SA kila siku.Ww akili huna unadhani Kila alieko jf ni kijana! Sasa kama ww hapo ulipo hujui athari za nilichokileta hapa then wewe ni..........
Hahahaahhaha agiza kitimoto utajilipia. UmenifurahishaUnavyojifanya una akili Sasa,na maisha mazuri usingekuwa unaishi huko ambako watoto Wana access ya kuchungulia kwenye madirisha ya watu...mkuu acha roho hizo bwana
Huku jf ndo kuzuri sitaki mambo ya kusumbuana niache shughuli zangu nianze kuwapa watu ushirikiano, kikubwa taarifa ndo hiyo sasa kazi kwao kufanya uchunguziKwakuwa umeishia chekechea ninakupa pole pia ninakusamehe.
Ipo hivi; kila raia wa nchi hii ni mlinzi na anao wajibu kwenye jambo lolote la usalama wa.nchi hii kuanzia nyumbani kwake, mtaani, kata, tarafani, wilayani, mkoani hadi taifani.
Katika mtaa yupo balozi isitoshe yupo mwenyekiti wa serikali ya mtaa, yupo mtendaji, madiwani, wabunge nk, wote hao ni viongozi wanaotuzunguka, isitoshe kuna polisi na wahusika zaidi ni uhamiaji, sasa ulishindwaje kuwaripoti kwa wahusika wote hao hao wamalawi unaosema wameingia nchini bila kufuata sheria isitoshe ni wahalifu wa wizi??--- badala yake unakuja kutoa malalamiko humu jf kuhusu hao watu ikitambulika kwamba nchi yetu haipingi wageni wanaoingia kihalali, unajuaje kama hao wamalawi wameingia kihalali na wanavyo vibali vya kufanya kazi nchini kama hukuwaripoti kwenye vyombo husika??
Sisi watz ni tofauti sana na watu wa nchi zingine jirani na hii ni kasoro, wewe mtz nenda nchi yoyote jirani na ufanye hicho wanachofanya hao wamalawi (kunyanduana) na wizi wala hutadumu siku moja kabla hujakamatwa na kusakamwa kwasababu raia wenyewe watakuandama kabla ya vyombo vyao vya dola kuja kukushughulikia.
Watz tubadilike, kila raia ni mlinzi wa nchi kwa mujibu wa katiba na tuache kulalamika na tuchukue hatua kwani hii nchi ni yako ni yangu ni yetu sote.
Nishakwambia uwezo wako unaishia kwenye mambo ya mbususu huku huelewi kitu ww mmalawi.Unavyojifanya una akili Sasa,na maisha mazuri usingekuwa unaishi huko ambako watoto Wana access ya kuchungulia kwenye madirisha ya watu...mkuu acha roho hizo bwana
Kama kawaida ya machawa kujichetuaHahahaahhaha agiza kitimoto utajilipia. Umenifurahisha
Chawa hawezi kua na akili ya kutafakari mambo kwa kina lkn wenye akili washa nielewaHakuna mtu mzima mwenye akili za kishenzi kama zako. Haya mawazo kama yako ndo yanasababisha mauaji huko SA kila siku.
Huku jf ndo kuzuri sitaki mambo ya kusumbuana niache shughuli zangu nianze kuwapa watu ushirikiano, kikubwa taarifa ndo hiyo sasa kazi kwao kufanya uchunguzi
🤣🤣🤣🤣Kitimoto ni most expensive kitoweo in town aiseeHahahaahhaha agiza kitimoto utajilipia. Umenifurahisha
Hamna hata hizi akili mnazojifanya mnazo...... makasiriko tu yanawasumbua.Chawa hawezi kua na akili ya kutafakari mambo kwa kina lkn wenye akili washa nielewa
Huwezi shindana na nature aiseeNishakwambia uwezo wako unaishia kwenye mambo ya mbususu huku huelewi kitu ww mmalawi.
No way....hakuna shida yeyote kuzaa na mmalawi au mkongoHao wanaingia Tanzania na zile hakuna kulala. Wanakuwa na kiongozi wa msafara na anakuwa anaongea vizuri tu kiswahili. Tena mara nyingi hawa viongozi wa msafara unakuta ni mtu ambaye ana wazazi huku yaani baba au mama ni raia wa tz.
Nilishuhudia mara mbili aiseee askari wa uhamiaji walikagua gari wakawatoa walikuwa kama 10 hivi huwezi wajua utadhani ni wabongo. Jamaa hata kiswahili hawajui.
Wakashuka dakika chache nadhani walitoa mpunga na kuprovide karatasi za vibali vya kuingia Tanzania then safari ikaendelea.
Wengi wanakuja na vibali vikikaribia kuisha wanaenda kurenew.
Nadhani swala inabidi tuwe makini sana na vibali vya kazi kwa wageni, tuwe makini na namna tunaruhusu watu kuja hapa nchini maana tuna raia wenzetu utimamu wao wa akili unatia mashaka wanajichanganya na hawa jamaa wanaanza nao mahusiano na kupata nao watoto. Hii inaleta shida baadae.
[emoji2956][emoji2956]Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala . Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana
Nadhani kwa wadau ambao ni wakazi wa pembezoni mwa miji hasa goba watakubaliana na Mimi(sijajua katikati ya Jiji Hali ikoje)
Lkn kwa wimbi hili ninaloliona mtaani kwangu serikari inabidi ichukue HATUA za haraka kuhakikisha wanapitisha msako kuwaondoa wote ambao wameingia nchini kinyume Cha Sheria. Tukianza kuruhusu watu waingie kiholera nchini tunakaribisha hatari za kiusalama, kiuchumi na kimaadili. Sasa hapo kwenye maadili nitafafanua vzr ili wadau na wahusika wajue tabia za Hawa wamalawi.
1. Kwao ni jambo la kawaida sana kukaa chumba kimoja Tena kidogo wanaume kuanzia 5 kwendelea kitu ambacho kinaleta ukakasi ktk jamii.
2. Huwezi kukuta wamechangamana na jamii ya wenyeji hata siku, hakuna salamu Wala hai na wanatembea kwa makundi makundi.
3. Hawa jamaa ni wezi sana usiku wote wanalanda landa mitaani kwa vikundi vikundi, chochote watakachokuta kimesahaulika nje au hakijahifadhiwa vzr basi hicho halali Yao. Tabia hizi zimewafanya watu kua na wasiwasi sana na usalama wa Mali zao(japo Kuna mitego washaanza kuwekewe)
4. Sasa hili ndo Mimi limenishitua zaidi na kuwaona kumbe jamaa hawafai kbs, ilipo ofsi yangu kando kidogo Kuna kundi kubwa la wamalawi wamepanga chumba kimoja Cha Giza, wanaoishi pale wako kama sita ( waume watatu na wake watatu) japo Kuna mda idadi inaongezeka zaidi ya hiyo niliyoitaja. Sasa hapo Kila kidume kina demu wake na kitanda wanachotumia ni kimoja tu( hilo nilijua baada ya kupeleleza)
Hivyo wanalala wote hapo kitandani Kila mmoja na demu wake/mke[emoji16] Cha ajabu sasa Hawa jamaa kwa kua shughuli zao kubwa ni ulinzi hivyo mchana ndo muda wa wao kuwashughulikia wake zao! Huwezi amini mchana kweupe chumba hugeuka kama wodi ya watoto kwani Kila mmoja anakua bize na mbususu ya mkewe tena kitanda kimoja!
Si wapita njia, si watoto wa kwenye hiyo nyumba waliopanga sio sisi majirani wote tunasikiliza mayowe yanayotokea kkt kichumba hicho! Imefika hatua jamaa wakianza mambo Yao basi vijana wa mtaani hujisogeza karibu kusikiliza na kushuhudia mtanange unaokua ukiendekeza, kiukweli hatari ninayoina ni vijana au jamii yetu kuanza kuiga vitendo hivyo vya ajabu.
Yapo mengi sana wanayoyafanya Hawa wenzetu ambayo yapo kinyume kbs na Mira,tamani na maadili ya Kitanzania, sasa Mimi simalizi yote, vyombo vya ulinzi na usalama mjitafakari na anzenu kuchunguza mienendo ya Hawa watu wanaoingia nchini kama Bomba lililofunguliwa maji.
Kukishakua na ulahisi wa watu kuingia nchini wanavyotaka na kutoka watakavyo basi ni rahisi sana kupenyezewa majasusi na watu wengine wa namna hiyo kitu ambacho kitakua ni hatari sana ktk usalama wa nchi. Leo tunalalamika mambo ya ushoga kuongezeka, sijui usagaji kumbe Kuna watu washaona Kuna kiupenyo Cha kuja kumomonyoa maadili ya jamii yetu na Kisha kuondoka watakavyo. Nasema Tena serikali kuweni makini na wahamiaji haramu hasa wamalawi! Haya wapuuzeni sisi yetu macho na masikio.
kwani mtu kutoa dokezo Lake hapa jf ni kosa. Msiforce watu mfanane kimtazamo jmn. Hpa Pia ni mahali sahihi kabsa. Mambo mangapi yanaanzia jf halafu baadaye yanaclick na kufatiliwa na mamlaka husika?Kwakuwa umeishia chekechea ninakupa pole pia ninakusamehe.
Ipo hivi; kila raia wa nchi hii ni mlinzi na anao wajibu kwenye jambo lolote la usalama wa.nchi hii kuanzia nyumbani kwake, mtaani, kata, tarafani, wilayani, mkoani hadi taifani.
Katika mtaa yupo balozi isitoshe yupo mwenyekiti wa serikali ya mtaa, yupo mtendaji, madiwani, wabunge nk, wote hao ni viongozi wanaotuzunguka, isitoshe kuna polisi na wahusika zaidi ni uhamiaji, sasa ulishindwaje kuwaripoti kwa wahusika wote hao hao wamalawi unaosema wameingia nchini bila kufuata sheria isitoshe ni wahalifu wa wizi??--- badala yake unakuja kutoa malalamiko humu jf kuhusu hao watu ikitambulika kwamba nchi yetu haipingi wageni wanaoingia kihalali, unajuaje kama hao wamalawi wameingia kihalali na wanavyo vibali vya kufanya kazi nchini kama hukuwaripoti kwenye vyombo husika??
Sisi watz ni tofauti sana na watu wa nchi zingine jirani na hii ni kasoro, wewe mtz nenda nchi yoyote jirani na ufanye hicho wanachofanya hao wamalawi (kunyanduana) na wizi wala hutadumu siku moja kabla hujakamatwa na kusakamwa kwasababu raia wenyewe watakuandama kabla ya vyombo vyao vya dola kuja kukushughulikia.
Watz tubadilike, kila raia ni mlinzi wa nchi kwa mujibu wa katiba na tuache kulalamika na tuchukue hatua kwani hii nchi ni yako ni yangu ni yetu sote.
[emoji2956]kwani mtu kutoa dokezo Lake hapa jf ni kosa. Msiforce watu mfanane kimtazamo jmn. Hpa Pia ni mahali sahihi kabsa. Mambo mangapi yanaanzia jf halafu baadaye yanaclick na kufatiliwa na mamlaka husika?
Hivi ukiambiwa Serikali wewe unaelewa Nini!?Serikali wataangalia Mambo mangapi, ilo swala la kada ya uhamiaji tu, na uhamiaji ndo serikali nayo, maeneo hayo Kuna viongozi barozi, mwenyekiti, watendaji wanashindwa kwenda uhamiaji kuripot ilo swala?