Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

Enzi za sodoma na gomole nao pia walikuwa waislamu au??? Acheni chukii za kidinii hili jambo ni laana kwa wote sio uislamu
 
Kaka naomba unisaidie kuonganisha dots we mwenyewe.....haya mambo ya ushoga yamekithiri sana Kwnye nchi za kiarabu...sana tena sana
 
Braza don't connect dots with Muslim, coz uslamu uko against hayo mambo
So kwakuwa umesema Islam yakataza mambo hayo na huko 99% ni Muslims.. Sasa nani ni wateja wa hao mashoga mpaka wawe huru hivyo kama ambavyo mtoa post ameeleza?
 
Sisi tunajenga Viwanda hayo mambo yenu pelekeni huko huko Visiwani
 
Tanganyika mishoga ya kisukuma telee na ya kichaga
Hongera kaka, umetoa mzizi wa fitna, Zanzibar hakuna mashoga ndo maana wazanzibar haiwabughudi, wanajua mishoga wanayo ishughulikia ni misukuma na michanga. Jiangalieni vema, mirija itaziba kwa kufakamia kimba.
 
Una ushahidi wowote Tanganyika mishoga ya kisukuma telee na ya kichaga toweni kibanzi ktk jicho lako kishautizame boriti ktk jicho la mwenzako au na wewe miongoni mwao uliwajuwaje
🤣🤣🤣..shoga wa kichaga?kisukuma?hahahaa sijawaj sikia..
 
Nafanya kazi katika hotel moja uku Zanzibar aiseh mambo nayo yaaona kuhusu swala la LGBTQ ni swala la kutisha sana kwa kweli just imagine mzee wa miaka 60 anatembea na kijana wa miaka 25...before sikujua kama jamaa ni punga nikamuuliza je uyu uliyekuja naye ni baba yako ...alijibu hivi NO HE'S NOT MY FATHER...HE IS MY HUSBAND alikuwa ni mfaransa kiingereza ayuko poa aiseh mpaka sasa najitafuta nirudi mbeya maana ingawa ushenzi upo kila sehemu lakini nadhani uku Zanzibar imezidi sana ndugu zangu *

TUSALI SANA NDUGU ZANGUNI 🤲....
 

Kusali sana ndio kupunguza ushoga?hiyo mbinu ishafeli kitambo mana hadi viongozi wa dini wanafukua na kufukuliwa mitaro vilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…