Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Sauti imetoshaKweli mwanzo walitupiga fedha ila safari hii wakifunga inabidi tukae nao chini vizuri jinsi ya kuifidia hiyo ada mbeleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauti imetoshaKweli mwanzo walitupiga fedha ila safari hii wakifunga inabidi tukae nao chini vizuri jinsi ya kuifidia hiyo ada mbeleni.
Kufunga shule haitasaidia kitu, maana bado mishe mishe za maisha zitabaki vile vile. Napendekeza, barakoa kila mahali, kusiwe na mikusanyiko yoyote, daladala hakuna kusimamisha abiria, watu wapeane distance wanapopata huduma kama za kibenki
We jamaa unashida gani inayokusumbua? Kutofautiana mtazamo ndio unakuwa na hasira hivyo. Hebu jaribu kutembelea kituo cha Afya, ukacheki afya yako.We mpuuzi unataka walimu wafe siyo?hujui kuwa Kuna walimu wenye miaka 50+ na wanaingia darasa la wanafunzi 50+ waliotoka nyumbani kwenye wazaz waliojuu ya umri wa 50?!!afu daladala na darasa wap Kuna vichwa?
Your toughness ni kama ule wa IDI AMIN yaani being tough in a foolish way...Ni sawa kuwa tough lakini iambatane na hekima...sio kwenda kinyume na kila jambo muhimu...halafu kuja Ku gundua baadaye mmekosea baada ya kuumiaTanzania ni Taifa mahili,lenye viongozi intelligent na genius,viongozi makini na wasio waoga.hata Babu yenu Kenyatta Ana appreciate Hilo.Tanzania sio manyumbu like Kenyans,ambao wazungu wakisema Jambo hakuna anayethubutu ku argue.kamwe hatuwez kufunga shule kwa vimafua hivi.Na siku zote ukiwa very intelligent tegemea maadui wengi,iko hivo ,thus why mabeberu wanatusakama weee,bt still we are so tough.Uliza SADEC,watakwambia how Tanzania tough is.
Sahii kila kiongozi mtanzania anadai ya kwamba hakuna kuchanjwa....wakati ulimwengu wote Una chanja watu wao.....hivi mtakuja kugundua baadaye kwa heri mngechanja kitamboa..hiyo basi ni baada ya kuumia ki chiYour toughness ni kama ule wa IDI AMIN yaani being tough in a foolish way...Ni sawa kuwa tough lakini iambatane na hekima...sio kwenda kinyume na kila jambo muhimu...halafu kuja Ku gundua baadaye mmekosea baada ya kuumia
For your information our budget is bigger than Tz ug and Rwanda combined.utajiri wa nchi ndo utajiri wa watu 90%, zinazobaki ni natural resources hauna maamuzi nayo! utajiri wenu sasa ni upi kati ya huo? tunajua kabisa ksh is 30% over valued, in terms of land we have almost double land than yours, hata ukisema tourism tanzania earns whats kenya and uganda earns combined, kuhusu viongozi wenu wala usianzishe story mob maaana hakuna asiejua mna viongozi wanapiga shisha akianza na yule jamaa mkubwa pale, ivi nyie ndo mlikua mnapata mabavu ya kusema mlima kilimanjaro ni wenu pamoja na diamond ni kenyan ndo mnaamisha utajiri huu?
- hio covid yenyewe na kutumia hao specialists wenu what is still happening? so whats left? kufeed tu wananchi wenu imekua tabu mpaka dunia nzima ianze donation aljazeera wakishatangaza
"Wazee wa tufe wote in action 🚶"Acha conspiracy theories zisizokuwa na maana.
Mkuu ina maana mtu kuwa na mawazo tofauti na yako ndio mjinga na mpimbavu.....??Ndugu yangu hii nchi kubwa kuna mijitu ni mipumbavu kupita kiasi huwezi kuamini tunaishi nao kila siku.
Ukute unatype haya ukiwa kwa mtogole unategemea kila siku utoke uhangaike ndo watoto wale af unasema nyoronyoro.1. Waanze kutangaza cases daily na wapi zimepatikana. Wataalamu wa kupambana na magonjwa ya milipuko wapewe confidence na uhuru wa kufanya kazi zao bila kusubiri ruhusa kutoka kwa wanasiasa
2. Weka bylaws kila mtu avae barakoa kwenye public. Mkaidi akamatwe na kulipa faini
3. Wageni kutoka nje wote waje na negative certificate za COVID with immediate effect. Ambae hana arudishwe na ndege aliyokuja nayo
4. Wafanyakazi waanze kuingia ofisini kwa shift na wengine wafanyie home ili kupunguza mikusanyiko. Hakuna haja ya kujazana ofisini
5. Public transport zianze kubeba watu nusu ya uwezo wake
6. Funga clubs kwa mwezi mmoja
Kuna mengi ya kufanya ila kiburi cha Magufuli ni tatizo. Sasa katwaliwa Eng. Kijazi. Who next?
Akili zako zipo likizo. Just shut up and let GTs discuss this matter.Ukute unatype haya ukiwa kwa mtogole unategemea kila siku utoke uhangaike ndo watoto wale af unasema nyoronyoro
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa.....huyo ni bahati mbaya tu....Maalim seif aliiba kura
Mkuu Bora wafunge tuuDunia nzima watu wanafungua mashule sababu wameona hakuna chochote kilichoabdirika kwa kufunga shule wewe unakuja tena hapa unasema wafunge?
For your information our budget is bigger than Tz ug and Rwanda combined.
Kwenda sahii kwenye goodle and write there richest country in east Africa, yaani kenya INA inaipiku tz kwa kila jambo muhimu...Yaani Kenya ninkama baba yetu...huwa twa anza mna fata nyuma....si sgr, si sky scrappers...Halafu hapa Kwa sky scrappers...Mlituiga nanyi mkaanza kujenga Ila hazina wateja zipo wazi...Kwa sababu mnafanya sababu kenya wanafanya....hamjui sisi twajenga sky scrappers because the demand for space is too high...sasa nyie wa tz Na mihogo za kukaanga kando mwa barabara saa ngapi mkajua naana ya maghorofa...aisee kaka mambo haya tuachieni sisi kenya tulioona mbele
Hapana kuwa na mawazo mbadala ni jambo zuri tatizo linakuja hata wanaopinga kinachofanywa na serikali hawaruhusiwi kuongea hadharani. Katika hili jambo la corona wakati watu wanakufa na wanakufa sana mitaani anakuja mtu anafanya utani na maisha ya watu kwa kuwa tu labda yeye hayajamkuta. Kuna mambo hatuhitaji kuambiwa tunayaona daily na mengine tunasikia. kweli dunia nzima inasema njia hii ni sawa halafu sisi nchi moja tunasema hapana huku ndio sawa. hapa kuna mawili either wote ni wajinga au sisi ni wajinga, labda nimetamka vile kwa hasira kuona watu wanakufa na hawa ninao wajuwa tu kuna mamia siwajui wala hawatangazwi halafu anakuja mtu analeta maneno ya kukebehi inakera.Mkuu ina maana mtu kuwa na mawazo tofauti na yako ndio mjinga na mpimbavu.....??
Ni uhuru gani wa kujieleza na demokrasia vinavyopiganiwa na wanaharakati hapa nchini ikiwa nyie hamtambui mawazo mbadala ya wenzenu.....??
Demokrasia ni kuvumilia mawazo ya wengine hata kama yanakinzana na utashi wako.....