Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

Wewe ndio una ufinyu wa akili, yani nyie watanzania dah wacha tu.... shule na zifungwe ili kudhibiti ugonjwa usije ukasambaa sana. lakini hata hivyo wakati nchi zote za africa mashariki zilikuwa za pambana kwa njia moja au nyingine nyie mlikuwa mkitukejeli tu.... watanzania aiseee... wacha tu.... najua sasa mbona nyinyi nchi maskini ingawa mna rasilimali chungu nzima....ni kwa sababu ya upumbavu umekithiri zaidi
Hehe kwakua nyinyi ni matajiri na mmepambana hadi sasa mmetokomeza corona kabisa
 
Tulijionea mwaka jana haohao watoto shule zilipofungwa ndo wakawa wanazagaa mitaani kama vile hawana wazazi,,,,,....acha tubet
Kona mwaka jana siyo kigezo cha kutofunga sasa kwani itatumika mapungufu hayo kuwaelimisha kuwa wawapo nyumbani watulie waache uzurulaji wa hovyo hovyo kuepuka kusambaza maambukizi
 
Kona mwaka jana siyo kigezo cha kutofunga sasa kwani itatumika mapungufu hayo kuwaelimisha kuwa wawapo nyumbani watulie waache uzurulaji wa hovyo hovyo kuepuka kusambaza maambukizi
Wabongo hawahawa................
 
hakuna cha lokidauni wala babu yake la loki.
tuendelee kuchapa kazi huku tukifuata maelekezo ya wizara ya Afya.
tujikinge na kutumia dawa zetu za asili.
tusikubali korona itushinde.

kwa wenye maradhi sugu kama Ukimwi, Saratani, TB, Ugonjwa wa Moyo na Pumu ni vyema wakichukua tahadhari zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mmegawanyika sana,wengine shule zifungwe wengine zisifungwe, corona ndio atakuwa mwamuzi nyie endelea kubishana
Wewe simama uliposimama achana na mtu anayesaka uteuzi au mmiliki wa shule anayemiliki duka Jirani na shule hawezi kutaka shule zifungwe akose mapato
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!

Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa, wanaambukizana na kuileta majumbani na kuwaambukiza wazazi na watu wenye umri mkubwa nyumbani.

Hii ndo balaa! Kama tutaweza kudhibi maambukizi kwa watoto na vijana, tutakuwa tumefanikiwa sana kuokoa maisha ya watu wazima wanaojikinga katika familia. Shule na vyuo wafunge mwezi mmoja tu, maambukizi yatapungua.
Alishakataa ku-lock down mbona
 
Wewe simama uliposimama achana na mtu anayesaka uteuzi au mmiliki wa shule anayemiliki duka Jirani na shule hawezi kutaka shule zifungwe akose mapato
Cha msingi maisha ni yako watoto ni wako, wasimamishe wasiende shule na wewe nunua mahitaji yako yote mjipige lockdown maisha yanaenda hakuna atakaekusumbua kabisa , ukiona upepo uko sawa rudi mtaani
 
hakuna cha lokidauni wala babu yake la loki.
tuendelee kuchapa kazi huku tukifuata maelekezo ya wizara ya Afya.
tujikinge na kutumia dawa zetu za asili.
tusikubali korona itushinde.

kwa wenye maradhi sugu kama Ukimwi, Saratani, TB, Ugonjwa wa Moyo na Pumu ni vyema wakichukua tahadhari zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufunga shule kama siku 10 siyo Tatizo kwani itasaidia kujipanga vizuri kuwalinda watoto wapate Elimu ya kujikinga kuwalinda wazazi na walimu pia
 
Cha msingi maisha ni yako watoto ni wako, wasimamishe wasiende shule na wewe nunua mahitaji yako yote mjipige lockdown maisha yanaenda hakuna atakaekusumbua kabisa , ukiona upepo uko sawa rudi mtaani
Tukienda hivyo ujue hata wewe unakuwa marehemu mda si mrefu jaribu kumuogopa mungu tafuta jawabu sahihi la kupunguza maambukizi tupate kuwaokoa walimu na wazazi ambao wapo hatarini zaidi
 
Hehe kwakua nyinyi ni matajiri na mmepambana hadi sasa mmetokomeza corona kabisa
My brother you cannot compare tz and kenya ....we are so intelligent and richer than you....Saa hii ndio mnakimbizana na mambo tulio pambana nayo 2020. yaani mna akili ndogo....serikali yenu ilificha mambo hadi sasa mmeanza kujionea vifo kwa macho ndio mnashtuka... yani mna akili ndogo sana
 
Wizara irudi kwa aunt ummy
Yule ummy mwalimu alikuwa waziri makini mno alikuwa waziri bora alipiga marufuku salam za kushikana mikono ambazo ndiyo kiini kikuu cha maambukizi alihimiza ofisi nyumba zote kunawa mikono kupaka vitakasa mikono kuvaa barakoa kwa bidii ni tofauti na huyu waziri wa sasa ambaye hajui chochote zaidi ya kujimwambafy mda mwingi
 
Ugonjwa ungekuwa siasa katibu mkuu ofisi ya Rais asingekufa na ungekuwa unachochewa na wapinzani ndugu zako wabunge wakurugenziccm na wengineo wasingekufa, usije na mifano ya marekani kwenye idadi kubwa ya watu kuliko Tanzania ambayo idadi siyo kubwa wanatakiwa walindwe, acheni kujitoa fahamu kusaka uteuzi kutetea uovu wa kuua wata kishamba shamba kwa njia haramu za kishetani

huu ugonjwa kwa hapa nchini unachochewa na upinzani, cha ajabu naona pia na lawama mnapeleka serikalini, sasa unajiuliza afya ni ya nan serikali ama yako mwenyewe?

2) marekani 40% wapo above 60 years old, na tanzania 70% ni vijana, huu ugonjwa ni harmless kwa vijana na watoto unless u have other disabilities, unataka wawekwe lockdown?
 
My brother you cannot compare tz and kenya ....we are so intelligent and richer than you....Saa hii ndio mnakimbizana na mambo tulio pambana nayo 2020. yaani mna akili ndogo....serikali yenu ilificha mambo hadi sasa mmeanza kujionea vifo kwa macho ndio mnashtuka... yani mna akili ndogo sana

dogo unaongelea utajiri gan?
1613650471961.png

music mshaloose kitambo, sports ndo hata msiongee, infrastructure ndo zpo mbioni which wealth and intelligence mnaongelea?
 
Acheni kufata mkumbo basi, hivi kama tungefunga shule tangu mwaka jana mwezi wa tatu na tukaweka lock down hali ingekuaje?
Watu wengine mmekosa maarifa kama jiwe, nani kasema ishu ya lockdown?
 
dogo unaongelea utajiri gan?
View attachment 1705495

music mshaloose kitambo, sports ndo hata msiongee, infrastructure ndo zpo mbioni which wealth and intelligence mnaongelea?
sasa ona akili ndogo....na zidi kulaumu viongozi wenu.. sikulaumu wewe maana kisomo na mawazo yako.....naongelea utajiri wa nchi.. sio wa watu.. utajiri wa kimasomo, utajiri wa fikra, utajiri wa kiserikali, utajiri wa akili za viongozi, nkl
 
Tukienda hivyo ujue hata wewe unakuwa marehemu mda si mrefu jaribu kumuogopa mungu tafuta jawabu sahihi la kupunguza maambukizi tupate kuwaokoa walimu na wazazi ambao wapo hatarini zaidi
Unadhani kila mtu anaogopa kifo wewe...........kwa Yesu kifo ni ushindi...hii ni vita na tutashinda
 
My brother you cannot compare tz and kenya ....we are so intelligent and richer than you....Saa hii ndio mnakimbizana na mambo tulio pambana nayo 2020. yaani mna akili ndogo....serikali yenu ilificha mambo hadi sasa mmeanza kujionea vifo kwa macho ndio mnashtuka... yani mna akili ndogo sana
kipimo Cha akili ndogo unakijua ww!! the lower the IQ,the higher the impact.tanzania na Kenya ,wapi wametaabishwa na covid.umesahau kwa IQ yenu ndogo mlidhani kujifungia ndani ndo solution,manyumbu kweli nyny na waoga na wavivu wa kufikilia.magoda yako wewe!!!
 
sasa ona akili ndogo....na zidi kulaumu viongozi wenu.. sikulaumu wewe maana kisomo na mawazo yako.....naongelea utajiri wa nchi.. sio wa watu.. utajiri wa kimasomo, utajiri wa fikra, utajiri wa kiserikali, utajiri wa akili za viongozi, nkl

utajiri wa nchi ndo utajiri wa watu 90%, zinazobaki ni natural resources hauna maamuzi nayo! utajiri wenu sasa ni upi kati ya huo? tunajua kabisa ksh is 30% over valued, in terms of land we have almost double land than yours, hata ukisema tourism tanzania earns whats kenya and uganda earns combined, kuhusu viongozi wenu wala usianzishe story mob maaana hakuna asiejua mna viongozi wanapiga shisha akianza na yule jamaa mkubwa pale, ivi nyie ndo mlikua mnapata mabavu ya kusema mlima kilimanjaro ni wenu pamoja na diamond ni kenyan ndo mnaamisha utajiri huu?

- hio covid yenyewe na kutumia hao specialists wenu what is still happening? so whats left? kufeed tu wananchi wenu imekua tabu mpaka dunia nzima ianze donation aljazeera wakishatangaza
 
Back
Top Bottom