Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

Wizara ya afya ipi?
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..
Tulipoambiwa kuwa tuna rais wa ajabu ajabu wengi hamkuelewa, sasa taratibu tunaelewa
 
Uganda.. Kenya... Rwanda....

Wote wamefungua we ndo ufunge.

Acha ujinga.
Madhara ni makubwa mnoo kufunga shule.

Kwani shule zikifungwa watoto ndo hawazuruli mtaani..mbona watawaletea wazee kama kawaida. Tena ndo itakuwa hatari zaidi.

Hoja ya kipuuzi kabisa.
 
tahadhari zichukuliwe tu na wizara ianze kampeni kama zamani watu wanawe sanitizer umbali etc
 
Kwakweli
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..
Wazo zuri Ila Nani aonekane ameshindwa?🤔🤔

Tanzania hakuna corona
 
Kwani hujaona mpango mkakati wa wizara ya afya:
1. Kusaga pili pili kochaa,malimao,vitunguu maji na swaumu na kunywa.
2. Kujifukizisha.
Unategemea cha ziada ?
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..
Hapana hii ya sasa imekuja kivingine haigusi wanafunzi imeelekezwa mle mle ngazi za juu juu huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!...
Hakuna kufunga mpaka wezi wote wa kura waishe.
 
Mkuu nadhani mnaongelea mambo mawili, yeye anazungumzia maambukizi na athari zake kiafya kwa watu wazima! Wewe unazungumzia athari za covid kiuchumi. Wote mko sawa katika mada zenu lakini huwezi kutumia yako kupinga yake.

Hata unaposema "endele kujikinga kivyako" hujamuelewa kuwa anaona watoto wake ndio hatari kwa maambukizi. Nadhani una point hapa lakini ulipaswa kumfahamishe ajikingeje yeye na watoto wake halafu yeye dhidi ya watoto wake!! Elimu Elimu Elimu!!
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..
Kwahiyo wanafunzi wakifunga shule hawatoenda mitaani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…