Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

Unawezafikiri unawaza jema kuhusu kufunga shule, Kenya walifunga shule toka mwaka Jana kaulize madhara yake kwa taifa. Inawezekana wewe ni mfanyakazi wa serikali unayekula pesa yetu, hebu jaribu kuwafikiria na ndugu zako wanaoishi kupitia hizi shule mwisho wao utakuwa nini...
Hawawezi mlinda dhidi ya covid 19 Ila mengine yanawezekana
 
Acheni kufata mkumbo basi, hivi kama tungefunga shule tangu mwaka jana mwezi wa tatu na tukaweka lock down hali ingekuaje?
Shule zufunewe hata miezi 2 kupunguza maambukizi kisha jiwe atangaze kua
Korona ipo na inaua
Usafiri uwe uwe siti kwenye magari
Funga bar na kumbi za starehe
Hamasisha watu wavae barakoa na kunawa
Kuepuka misongamano
Itasaidia sana sio kwamba tunataka lockdown
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!...
Serikali yetu ni sikivu, watachukua hatua
 
Shule zufunewe hata miezi 2 kupunguza maambukizi kisha jiwe atangaze kua
Korona ipo na inaua
Usafiri uwe uwe siti kwenye magari
Funga bar na kumbi za starehe
Hamasisha watu wavae barakoa na kunawa
Kuepuka misongamano
Itasaidia sana sio kwamba tunataka lockdown
Shida ingine inakua watoto wetu vinarudishwa nyumbani lakini kutwa unawakuta wapo mjini wanazurura tu
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!...
Mwezi moja tu, halafu unafungua, halafu yanapanda tena? Kwani una mfano wa mahali ambapo watoto au mtoto amempelekea Wazazi wake ?? Kwanza hao wazazi wake si watakuwa wa Umri ambao sio hatarishi . Na kama ni Babu au Bibi basi wajukuu wasiwatembele wazee
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..
Return to school in children's interests - Ofsted
27 Apr 2020 — It is in children's interests to return to school "as soon as possible", says the head of England's schools watchdog, Ofsted. ... Ms Spielman also said she expected to see a rise in the number of children needing some form of social care in the wake of the Covid-19 pandemic
 
Phased reopening of schools will begin in Scotland from Monday

Sent via @updayUK
 
S
Vijana ndio wanaua wazee na wenye changamoto za kiafya kwa kuwaambukiza. It makes sense ,wafunge shule kwanza kwa muda ila Shule kwa sasa ada haiendi bure itafidiwa kwenye term zingine.
Swali, kwa nini kasi ya maambukizi ni sasa na wala sio wakati shule zilifunguliwa mwaka jana?
 
Shule zufunewe hata miezi 2 kupunguza maambukizi kisha jiwe atangaze kua
Korona ipo na inaua....
Serikali inatumia kiasi kikubwa cha pesa kuendesha shule na vyuo vyake kwa mwezi, (hii ni nje ya mishahara). Kiasi hiki cha pesa ya matumizi ya kawaida kielekezwe katika mapambano dhidi ya hili janga la COVID kwa kipindi chote shule na vyuo vya serikali vitakapokuwa vimesitishwa.

Pesa itumike kupata vifaa tiba PPE kwa wahudumu wote wa afya, pesa hii itumike pia kupeleka wahudumu wa kuelimisha makundi mbalimbali ya jamii katika ngazi zote za jamii, namna ya kupambana na kujikinga na ugonjwa wa COVID pasipo kuathili shughuli za kiuchumi katika maeneo mbalimbali. Haya kama yatafanyika sasa, tutapata matokeo chanya.
 
Shule zufunewe hata miezi 2 kupunguza maambukizi kisha jiwe atangaze kua
Korona ipo na inaua
Usafiri uwe uwe siti kwenye magari
Funga bar na kumbi za starehe
Hamasisha watu wavae barakoa na kunawa
Kuepuka misongamano
Itasaidia sana sio kwamba tunataka lockdown
Daily Brief: 799 deaths; rapid tests could be used to reopen nightclubs

Sent via @updayUK
 
S

Swali, kwa nini kasi ya maambukizi ni sasa na wala sio wakati shule zilifunguliwa mwaka jana?
Kirusi cha Covid-19 kimejibadirisha (Mutation) ndo maana kimetengeneza aina furani ya usugu tofauti na hapo kabla. Tunahitaji kuongeza nguvu kupambana na kukitokomeza.
 
Kufunga shule ili iweje. Serikali itoe chanjo bac. Ianze na watoa huduma za afya, iende kwa wazee, then vijana na imalizie na waatoto.
Chanjo haitakua bure, utalipia 12k hadi 15k kwa dozi 1
 
Kwa nini wote mna ushauri wa kukurupuka.
Kufunga shule wengi wataumia.

Hapa walete chanjo. Wazee na watu wa afya wapigwe chanjo
Chanjo ipo na ishaanza kutumika.

Upumbavu wa meko ni mzigo.
Mutant ya sA inatakiwa impige maana kawa kama farao
Chanjo Tanzania imekataa jisajili.
 
o

Hahahaha mkifungua mnalipa upyaaaaaaa 😂😂😂 !!!
Wazazi lipeni pesa bana vipi aisee 😂

Haiwezekani Mkuu yaani utoke kulipa mlio mmoja halafu hata mwezi haujaisha waseme fedha imeeenda? Safari hii tutagawana Mabati na samani za ofisi za shule.
 
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!...

Wanafunzi wangapi wamefariki kwa corona?
 
Back
Top Bottom