LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Haahaa utakuwa umetumwa na mabeberu wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara ya afya ipi?Mkuu kwa upanda wangu shuluisho hapa siyo kufunga shule na vyuo,
Sema serikali iweke mikakati dhabiti ya kuandaa mazgr. kwa kila taasisi kuwa na tahadhiri effectively
Kwa maana wizara ya Afya watoe semina na mafunzo namna gani wanavyo weza kupamvana na viral disease
Kwa hiyo ajira ni muhimu kuliko uhai?
Tulipoambiwa kuwa tuna rais wa ajabu ajabu wengi hamkuelewa, sasa taratibu tunaelewaTunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..
Wapi nimesema kuwa Corona pekee ndiyo inaua?Korona pekee ndo inayoua????
KwakweliKufikiri kufunga shule na vyuo kwa ugonjwa ambao hujui hatima yake ni ufinyu wa kufikiri. Wewe una kazi nzuri na una uhakika na kesho yako jua kwamba hizo ni ajira za watu! Kuna watu wanalisha familia zao kwa hizo ajira, toka corona ilivyoanza mwaka 2019 decemba duniani kote, mpaka leo nchi zilizofunga shule na vyuo Hawajui nini hatima yake, kwa hiyo wewe endelea kujikinga kivyako sio kuhamasisha wenzako wapoteze ajira.
Wazo zuri Ila Nani aonekane ameshindwa?🤔🤔Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..
Kufunga shule ili iweje. Serikali itoe chanjo bac. Ianze na watoa huduma za afya, iende kwa wazee, then vijana na imalizie na waatoto.
Kwani hujaona mpango mkakati wa wizara ya afya:Mkuu kwa upanda wangu shuluisho hapa siyo kufunga shule na vyuo,
Sema serikali iweke mikakati dhabiti ya kuandaa mazgr. kwa kila taasisi kuwa na tahadhiri effectively
Kwa maana wizara ya Afya watoe semina na mafunzo namna gani wanavyo weza kupamvana na viral disease
Hapana hii ya sasa imekuja kivingine haigusi wanafunzi imeelekezwa mle mle ngazi za juu juu hukoTunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..
Hakuna kufunga mpaka wezi wote wa kura waishe.Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!...
kakurupukaDunia nzima watu wanafungua mashule sababu wameona hakuna chochote kilichoabdirika kwa kufunga shule wewe unakuja tena hapa unasema wafunge?
Mkuu nadhani mnaongelea mambo mawili, yeye anazungumzia maambukizi na athari zake kiafya kwa watu wazima! Wewe unazungumzia athari za covid kiuchumi. Wote mko sawa katika mada zenu lakini huwezi kutumia yako kupinga yake.Kufikiri kufunga shule na vyuo kwa ugonjwa ambao hujui hatima yake ni ufinyu wa kufikiri. Wewe una kazi nzuri na una uhakika na kesho yako jua kwamba hizo ni ajira za watu! Kuna watu wanalisha familia zao kwa hizo ajira, toka corona ilivyoanza mwaka 2019 decemba duniani kote, mpaka leo nchi zilizofunga shule na vyuo Hawajui nini hatima yake, kwa hiyo wewe endelea kujikinga kivyako sio kuhamasisha wenzako wapoteze ajira.
Kwahiyo wanafunzi wakifunga shule hawatoenda mitaani!?Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..