Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hawawezi mlinda dhidi ya covid 19 Ila mengine yanawezekanaUnawezafikiri unawaza jema kuhusu kufunga shule, Kenya walifunga shule toka mwaka Jana kaulize madhara yake kwa taifa. Inawezekana wewe ni mfanyakazi wa serikali unayekula pesa yetu, hebu jaribu kuwafikiria na ndugu zako wanaoishi kupitia hizi shule mwisho wao utakuwa nini...
Shule zufunewe hata miezi 2 kupunguza maambukizi kisha jiwe atangaze kuaAcheni kufata mkumbo basi, hivi kama tungefunga shule tangu mwaka jana mwezi wa tatu na tukaweka lock down hali ingekuaje?
Ni kweli king kong, na huko mashuleni vijana wetu hawavai barakoa wala sanitizerVijana ndio wanaua wazee na wenye changamoto za kiafya kwa kuwaambukiza. It makes sense ,wafunge shule kwanza kwa muda ila Shule kwa sasa ada haiendi bure itafidiwa kwenye term zingine.
Serikali yetu ni sikivu, watachukua hatuaTunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!...
Shida ingine inakua watoto wetu vinarudishwa nyumbani lakini kutwa unawakuta wapo mjini wanazurura tuShule zufunewe hata miezi 2 kupunguza maambukizi kisha jiwe atangaze kua
Korona ipo na inaua
Usafiri uwe uwe siti kwenye magari
Funga bar na kumbi za starehe
Hamasisha watu wavae barakoa na kunawa
Kuepuka misongamano
Itasaidia sana sio kwamba tunataka lockdown
Mwezi moja tu, halafu unafungua, halafu yanapanda tena? Kwani una mfano wa mahali ambapo watoto au mtoto amempelekea Wazazi wake ?? Kwanza hao wazazi wake si watakuwa wa Umri ambao sio hatarishi . Na kama ni Babu au Bibi basi wajukuu wasiwatembele wazeeTunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!...
Picha na maelezo yako vinakinzanaKwani hujaona mpango mkakati wa wizara ya afya:
1. Kusaga pili pili kochaa,malimao,vitunguu maji na swaumu na kunywa.
2. Kujifukizisha.
Unategemea cha ziada ?
View attachment 1705265
Return to school in children's interests - OfstedTunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!..
Swali, kwa nini kasi ya maambukizi ni sasa na wala sio wakati shule zilifunguliwa mwaka jana?Vijana ndio wanaua wazee na wenye changamoto za kiafya kwa kuwaambukiza. It makes sense ,wafunge shule kwanza kwa muda ila Shule kwa sasa ada haiendi bure itafidiwa kwenye term zingine.
Serikali inatumia kiasi kikubwa cha pesa kuendesha shule na vyuo vyake kwa mwezi, (hii ni nje ya mishahara). Kiasi hiki cha pesa ya matumizi ya kawaida kielekezwe katika mapambano dhidi ya hili janga la COVID kwa kipindi chote shule na vyuo vya serikali vitakapokuwa vimesitishwa.Shule zufunewe hata miezi 2 kupunguza maambukizi kisha jiwe atangaze kua
Korona ipo na inaua....
Daily Brief: 799 deaths; rapid tests could be used to reopen nightclubsShule zufunewe hata miezi 2 kupunguza maambukizi kisha jiwe atangaze kua
Korona ipo na inaua
Usafiri uwe uwe siti kwenye magari
Funga bar na kumbi za starehe
Hamasisha watu wavae barakoa na kunawa
Kuepuka misongamano
Itasaidia sana sio kwamba tunataka lockdown
Kirusi cha Covid-19 kimejibadirisha (Mutation) ndo maana kimetengeneza aina furani ya usugu tofauti na hapo kabla. Tunahitaji kuongeza nguvu kupambana na kukitokomeza.S
Swali, kwa nini kasi ya maambukizi ni sasa na wala sio wakati shule zilifunguliwa mwaka jana?
Chanjo haitakua bure, utalipia 12k hadi 15k kwa dozi 1Kufunga shule ili iweje. Serikali itoe chanjo bac. Ianze na watoa huduma za afya, iende kwa wazee, then vijana na imalizie na waatoto.
Chanjo Tanzania imekataa jisajili.Kwa nini wote mna ushauri wa kukurupuka.
Kufunga shule wengi wataumia.
Hapa walete chanjo. Wazee na watu wa afya wapigwe chanjo
Chanjo ipo na ishaanza kutumika.
Upumbavu wa meko ni mzigo.
Mutant ya sA inatakiwa impige maana kawa kama farao
Hii corona imerudi awamu ya pili mzeeSwali, kwa nini kasi ya maambukizi ni sasa na wala sio wakati shule zilifunguliwa mwaka jana?
o
Hahahaha mkifungua mnalipa upyaaaaaaa πππ !!!
Wazazi lipeni pesa bana vipi aisee π
Ila warudishe ada zetu.
Make life halieleweki kabsa
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!...