Serikali fungieni mchezo wa kubeti wa Aviator (kindege), unamaliza vijana

Aliyekuambia huwezi kupata hela ninani. Operators wanasema mchezo wa Aviator kwao sio kwaajili ya kutoa faida Bali kuvutia wateja. Maana una returns kubwa kuliko michezo mingine yeyote
Na hapo ndio tunapoteza hela nyingi.. hakuna mchezaji anapata hela namba zinazotoka ni kuliwa tu angalia hiyo picha rangi ya blue means wait wameliwa sana hiyo pink na kizambarau ndio kidogo afadhali lkn hebu linganisha na blue utajua nachosema
 
Bisha lakini huo ndio uhalisia wewe utapoteza 50000 , Kuna aliyeweka 100,000 anasubirimpaka 100 mnakuwa mnakulana wenyewe kwa wenyewe operater anapata kidogo Sana
 
😂😂😂 Makasiriko
Hapana ni sure nakuambia wameyumba sana na kuna sehemu serikali itajipatia hela nzuri Kama mtu atafanya kinyume na mkataba shida wizara hawako active nata hio board ya kamari yenyewe
Hio kampuni miezi miwili ilyopita tumeibiwa sana hela kwenye account sometime mkeka umewin ukija fungua acc unaambiwa password sizo ukijafanikiwa badilisha unakuta mkeka uliwin hela hamna hata sent.
Na hili jambo lilikuwa linafanywa na IT wao .
 
Me nashauri serikali iache tu iyo michezo mana tunapata kodi nyingi sn kupitia iyo aviata hata juzi kodi za betting imeongezeka so serikali izidi kuongeza kodi kwenye betting na kuruhusu kampun nyingi za betting coz hii michezo n hiari ya mtu kucheza na serikali inaata kodi
 
Then hakuna kampuni inayomikiki aviator tofauti na Sprible. Kampuni zote zinadirect user huko ,, hivyo huwezi kuwalaumu meridin maana wao wanakupeleka wanapokea mrabaha kutoka sprible
 
Hapana ni sure nakuambia wameyumba sana na kuna sehemu serikali itajipatia hela nzuri Kama mtu atafanya kinyume na mkataba shida wizara hawako active nata hio board ya kamari yenyewe
Hio kampuni miezi miwili ilyopita tumeibiwa sana hela kwenye account sometime mkeka umewin ukija fungua acc unaambiwa password sizo ukijafanikiwa badilisha unakuta mkeka uliwin hela hamna hata sent.
Na hili jambo lilikuwa linafanywa na IT wao .
Hatari sana au Aviator nertwok iliyumba tu umeliwa au hata simu iwe umepigiwa basi huna chako
 
Me nashauri serikali iache tu iyo michezo mana tunapata kodi nyingi sn kupitia iyo aviata hata juzi kodi za betting imeongezeka so serikali izidi kuongeza kodi kwenye betting na kuruhusu kampun nyingi za betting coz hii michezo n hiari ya mtu kucheza na serikali inaata kodi
Lkn ukubali kuhudumia machizi muda ni hakimu mzuri
 
Meridian ndio wamekuwa wezi kabisa
Serikali umelala na wizara take kuna sehemu hela ipo waziwazi za faini hii kampuni unafanya kazi kinyume na taratibu na imevunja baadhi ya mikataba ifwatilieni. Kukiwa na mpira wao nawazuia network mpira ukikaribia kuisha network inarudi wameyumba hawana mtaji kwa sasa
wanalipa kodi wala hatuhitaji kifungia ni ujinga wako tu. ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO
 
Serkali inafungia mitandao ya kijamii na huo tunatako uondolewe ni hatari kwa vijana...
 
Back
Top Bottom