Serikali fungieni mchezo wa kubeti wa Aviator (kindege), unamaliza vijana

Serikali fungieni mchezo wa kubeti wa Aviator (kindege), unamaliza vijana

Lkn ukubali kuhudumia machizi muda ni hakimu mzuri
Kikubwa wazazi walee watoto wao kwenye maadili mazuri hii dunia ilipo ss ivi huwez kufungia kila kitu unachoona hakifai dunia iko mbele sn tofaut na unavo fikiri ww we unadhan unaweza kataza kampun za kubet kikubwa dili na family yako kama taifa linashindwa ku make sheria kali kuhusu mashoga linaweza kuzuia aviatar hebu funguka mzee dunia ilipo sivo unavofikiri
 
Imekuwa shida kubwa sana kwa vijana serikali iingilie kati iufungie tu vijana wanaumizwa sana wamekuwa watumwa hawawezi tena kutunza hela
Serikali inapambana kwanza na ukahaba na bangi nakwambia chochote kisicho ipa serikali mapato ni haramu ila kama kuna kodi hata kiwe na madhara kiasi gani hawataona hizi kamari ni mbaya kuliko ukahaba wanaopambana nao
 
Ila rubani wa aviator kusipokua na ukungu anatuneemesha kwa kumwaga vibunda.
 
IMG-20240608-WA0275.jpg
 
Serikali haiwezi kufungia huo mchezo mkuu ingawaje sio mzuri kwa jamii..
 
Huu mchezo kwa Jina 'Aviator' maarufu kindege umekuwa shida kubwa sana kwa vijana hasa watafutaji ukiingia kucheza au kuchunguza upande wa charting utaona vijana wanavyoliwa na kulaani huu mchezo ambao umewarudisha nyuma sana kimaendeleo na hata nimesikia kuna jamaa amejiua kwa kuliwa kiasi cha tsh/ 2,000,000. Shida yangu kubwa huu mchezo ni wa kitapeli huwezi kupata hela kamwe mara nyingi wao(wamiliki) ndio wananufaika sasa kwa kuwa inaingiza vijana kwenye lindi la umaskini ni bora ufutwe watu wabeti kawaida tu kama zamani .... Nawahakikishia baada ya miaka 5 mbele nchi itakuwa na machizi wengi sana waliotokana na kuliwa na huu mchezo ambao upo masaa yote 24 kila dakika kila sekunde inashawishi sana halafu hupati kitu[emoji20] angalia picha hapoView attachment 3018590
acheni kucheza kamari mtaliwa sana
 
KINDEGE ni hatari Kwa Afya ya mtu anaye cheza Aviator...utaliwa na sio Kula
 
Uzuri wake hakuna anayeshikiwa fimbo acheze, ni uchizi tu wa mtu binafsi!
Hata madawa ya kulevya ni hivyo hivyo. Hakuna anayeshikiwa fimbo ili ayatumie. Ni uchizi wa mtu binafsi tu! 😳😳😳
 
sujui wana bet vipi uwa nawaangalia wanangu wanavyo bet wanajiona wajanja
 
Back
Top Bottom