Serikali fungieni mchezo wa kubeti wa Aviator (kindege), unamaliza vijana

Serikali fungieni mchezo wa kubeti wa Aviator (kindege), unamaliza vijana

Aviator na michezo yote ni rahisi sana kupoteza hela yako. Inabidi utumie Formula ambayo itakufanya lazima upate faida. Kama una mtaji wa atleast laki 5, naweza kukufundisha formula ambayo utakuwa unapata faida at least 50% kwa siku. Nicheki WhatsApp 0788893364
Acha utapeli kijana
 
Na betpawa amewaletea promotion huko aviator, watu wanataka kuchinjana ,
 
Aviator na michezo yote ni rahisi sana kupoteza hela yako. Inabidi utumie Formula ambayo itakufanya lazima upate faida. Kama una mtaji wa atleast laki 5, naweza kukufundisha formula ambayo utakuwa unapata faida at least 50% kwa siku. Nicheki WhatsApp 0788893364
Naskia harufu ya kupigwa hapa 👆🏻
 
Huu mchezo wa kamari ni tatizo kubwa hasa hicho kindergarten kinawatia sana watu hasara na kibaya zaidi asilimia kubwa ya watu wakishapoteza sana fedha wanakuwa mateja hata umshauri nini haelewia anaamini ipo siku atapata kumbe anazidi kuangamia dawa hii michezo ifungiwe na kupigwa marufuku
Kumbuka mtu anapote muda anapoteza fedha anapoteza malengo anapoteza furaha na pia anapoteza ubunifu muda ambao angekuwa anaitumia akili yake vizuri katika uwekezaji anautumi kwenye kamari na kila senti anayoipata anawaza kuipeka kwenye kamari mwisho wa siku hawezi kupiga hatua yoyote hili suala liangaliwe kwa usirias na lichukuliwe hatua stahiki
 
Hivi hakuna watu wa kulipazia Saudi hili suala la kari limekuwa kero na tishio kubwa sana kwa watu kwanini lisipaziwe Saudi na kuchukuliwa hatua kali kwani serikali yetu haiwezi kukusanya mapato ikifungia hii michezo ya kamarihi michezo ni ya kitapeli na ni haramu
 
Mtu nahangaika kila akipata viela kidogo vinaenda huko mwisho wa siku mtu anaathirika kusaikolojia huu mchezo ni asui mkubwa wa maendeleo na unaendelea kusababisha maafa makubwa hakuna uhalali wowote wala hakuna haki katika kamari ni wizi na utapeli
 
Mbona nchi zingine zimefanikiwa kupiga marufuku kamari mfano China Iran Korea kaskazoni UAE United Arab Emirates kwani sisi tunashindwa nini binafsi naichukia kamari kupita maele ni ujangili mbaya sana hasa hii walioleta saizi inaitwa aviator ni mbaya sana
 
Acha kuropoka
 
Back
Top Bottom