Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Uongo mkubwaAliyekuambia huwezi kupata hela ninani. Operators wanasema mchezo wa Aviator kwao sio kwaajili ya kutoa faida Bali kuvutia wateja. Maana una returns kubwa kuliko michezo mingine yeyote
Na hapo ndio tunapoteza hela nyingi.. hakuna mchezaji anapata hela namba zinazotoka ni kuliwa tu angalia hiyo picha rangi ya blue means wait wameliwa sana hiyo pink na kizambarau ndio kidogo afadhali lkn hebu linganisha na blue utajua nachosemaAliyekuambia huwezi kupata hela ninani. Operators wanasema mchezo wa Aviator kwao sio kwaajili ya kutoa faida Bali kuvutia wateja. Maana una returns kubwa kuliko michezo mingine yeyote
Ubao wako upo vizuri but kuiteketeza hiyo 2M ni kitendo cha dk5 tu
Na hapo ndio tunapoteza hela nyingi.. hakuna mchezaji anapata hela namba zinazotoka ni kuliwa tu angalia hiyo picha rangi ya blue means wait wameliwa sana hiyo pink na kizambarau ndio kidogo afadhali lkn hebu linganisha na blue utajua nachosema
Bisha lakini huo ndio uhalisia wewe utapoteza 50000 , Kuna aliyeweka 100,000 anasubirimpaka 100 mnakuwa mnakulana wenyewe kwa wenyewe operater anapata kidogo SanaNa hapo ndio tunapoteza hela nyingi.. hakuna mchezaji anapata hela namba zinazotoka ni kuliwa tu angalia hiyo picha rangi ya blue means wait wameliwa sana hiyo pink na kizambarau ndio kidogo afadhali lkn hebu linganisha na blue utajua nachosema
Sawa lakini ujambazi unalamikiwa na wadau kuhusu hao operators sio wakupuuzwa,hiyo game iko fixed vibaya mnoHapana sijaipata kutokana na aviator kwahiyo siwezi ichezea huko hapo nimekuonesha history
Kweli kabisa mkuu ni hatari labda wautumie kwa ajili ya kupunguza watu uzito[emoji1][emoji706]Nilipungua uzito kutoka 74kg mpaka 62Kg thanks God naondoka taratibu.
Huu mchezo ni hatari kwa afya , uchumi na Uhuru wako .Be warned
Hapana ni sure nakuambia wameyumba sana na kuna sehemu serikali itajipatia hela nzuri Kama mtu atafanya kinyume na mkataba shida wizara hawako active nata hio board ya kamari yenyewe😂😂😂 Makasiriko
Hahaha au sioKweli kabisa mkuu ni hatari labda wautumie kwa ajili ya kupunguza watu uzito[emoji1][emoji706]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] jaribu kucheza ndio utajua huo ubao una rangi ganiHapana sijaipata kutokana na aviator kwahiyo siwezi ichezea huko hapo nimekuonesha history
Hatari sana au Aviator nertwok iliyumba tu umeliwa au hata simu iwe umepigiwa basi huna chakoHapana ni sure nakuambia wameyumba sana na kuna sehemu serikali itajipatia hela nzuri Kama mtu atafanya kinyume na mkataba shida wizara hawako active nata hio board ya kamari yenyewe
Hio kampuni miezi miwili ilyopita tumeibiwa sana hela kwenye account sometime mkeka umewin ukija fungua acc unaambiwa password sizo ukijafanikiwa badilisha unakuta mkeka uliwin hela hamna hata sent.
Na hili jambo lilikuwa linafanywa na IT wao .
Kweli ajaribu aojionee anavyokosa mpaka buku ya maji mda huu😂[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] jaribu kucheza ndio utajua huo ubao una rangi gani
Lkn ukubali kuhudumia machizi muda ni hakimu mzuriMe nashauri serikali iache tu iyo michezo mana tunapata kodi nyingi sn kupitia iyo aviata hata juzi kodi za betting imeongezeka so serikali izidi kuongeza kodi kwenye betting na kuruhusu kampun nyingi za betting coz hii michezo n hiari ya mtu kucheza na serikali inaata kodi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kweli ajaribu aojionee anavyokosa mpaka buku ya maji mda huu[emoji23]
wanalipa kodi wala hatuhitaji kifungia ni ujinga wako tu. ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKOMeridian ndio wamekuwa wezi kabisa
Serikali umelala na wizara take kuna sehemu hela ipo waziwazi za faini hii kampuni unafanya kazi kinyume na taratibu na imevunja baadhi ya mikataba ifwatilieni. Kukiwa na mpira wao nawazuia network mpira ukikaribia kuisha network inarudi wameyumba hawana mtaji kwa sasa
Serkali inafungia mitandao ya kijamii na huo tunatako uondolewe ni hatari kwa vijana...wanalipa kodi wala hatuhitaji kifungia ni ujinga wako tu. ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO