Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Kikubwa wazazi walee watoto wao kwenye maadili mazuri hii dunia ilipo ss ivi huwez kufungia kila kitu unachoona hakifai dunia iko mbele sn tofaut na unavo fikiri ww we unadhan unaweza kataza kampun za kubet kikubwa dili na family yako kama taifa linashindwa ku make sheria kali kuhusu mashoga linaweza kuzuia aviatar hebu funguka mzee dunia ilipo sivo unavofikiriLkn ukubali kuhudumia machizi muda ni hakimu mzuri
Serikali inapambana kwanza na ukahaba na bangi nakwambia chochote kisicho ipa serikali mapato ni haramu ila kama kuna kodi hata kiwe na madhara kiasi gani hawataona hizi kamari ni mbaya kuliko ukahaba wanaopambana naoImekuwa shida kubwa sana kwa vijana serikali iingilie kati iufungie tu vijana wanaumizwa sana wamekuwa watumwa hawawezi tena kutunza hela
acheni kucheza kamari mtaliwa sanaHuu mchezo kwa Jina 'Aviator' maarufu kindege umekuwa shida kubwa sana kwa vijana hasa watafutaji ukiingia kucheza au kuchunguza upande wa charting utaona vijana wanavyoliwa na kulaani huu mchezo ambao umewarudisha nyuma sana kimaendeleo na hata nimesikia kuna jamaa amejiua kwa kuliwa kiasi cha tsh/ 2,000,000. Shida yangu kubwa huu mchezo ni wa kitapeli huwezi kupata hela kamwe mara nyingi wao(wamiliki) ndio wananufaika sasa kwa kuwa inaingiza vijana kwenye lindi la umaskini ni bora ufutwe watu wabeti kawaida tu kama zamani .... Nawahakikishia baada ya miaka 5 mbele nchi itakuwa na machizi wengi sana waliotokana na kuliwa na huu mchezo ambao upo masaa yote 24 kila dakika kila sekunde inashawishi sana halafu hupati kitu[emoji20] angalia picha hapoView attachment 3018590
Mungu yupi huyo,watu dini mnashida,sema vitabu vya kiarabu na kizungu vinakataza,mungu hana umbo la kibinadamu,ni just Roho(upepo)betting yote ni utapeli na hata Mungu anakataza.
Hata madawa ya kulevya ni hivyo hivyo. Hakuna anayeshikiwa fimbo ili ayatumie. Ni uchizi wa mtu binafsi tu! 😳😳😳Uzuri wake hakuna anayeshikiwa fimbo acheze, ni uchizi tu wa mtu binafsi!
Sasa alitaka hela hiyo yote iwe bei gan mpaka akaiwek kwenye kamariSister yangu kaachwa na mume wake kisa mchezo huo, million 30 imeliwa,.haijulikani kwa muda Gani
Bro hupigwi siku Moja,ubaya wa aviator tofauti na Mpira au basketball,hiyo majibu hapo hapo,, aviator kupigwa Laki Tano dk kumi tu,Sasa alitaka hela hiyo yote iwe bei gan mpaka akaiwek kwenye kamari
Mimi mkuu kwenye betting ndio nakomaa,kama hapa nishampa England na Italy..huo mchezo aviator hata sijui wanacheza vipiAcha kusingizia sister yako. Sema wewe