Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
wanacheza hivi... unaweka hela kwenye hicho kindege, muda unavoenda zinaongezeka kwa kasi ya ajabu ila ndo inatakiwa uzichukue kabla ki ndege hakijasepa, kikiondoka na wewe bado hujachukua ndo unakuwa umelambwa kindege kimesepa na hela zako.Mimi mkuu kwenye betting ndio nakomaa,kama hapa nishampa England na Italy..huo mchezo aviator hata sijui wanacheza vipi
wakifungia aviator kuna super hell zote ni same shitHuu mchezo kwa Jina 'Aviator' maarufu kindege umekuwa shida kubwa sana kwa vijana hasa watafutaji ukiingia kucheza au kuchunguza upande wa charting utaona vijana wanavyoliwa na kulaani huu mchezo ambao umewarudisha nyuma sana kimaendeleo na hata nimesikia kuna jamaa amejiua kwa kuliwa kiasi cha tsh/ 2,000,000. Shida yangu kubwa huu mchezo ni wa kitapeli huwezi kupata hela kamwe mara nyingi wao(wamiliki) ndio wananufaika sasa kwa kuwa inaingiza vijana kwenye lindi la umaskini ni bora ufutwe watu wabeti kawaida tu kama zamani .... Nawahakikishia baada ya miaka 5 mbele nchi itakuwa na machizi wengi sana waliotokana na kuliwa na huu mchezo ambao upo masaa yote 24 kila dakika kila sekunde inashawishi sana halafu hupati kitu[emoji20] angalia picha hapoView attachment 3018590
No easy moneyMkuu ni kweli ila ushawishi na unajua kila mtu anapenda hela za Fasta ila ndio mtego huo huchomoki lazima uliwe
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Dunia imeanza kuniacha.. michezo inahit mpaka inalalamikiwa na sijawahi hata kuiskia.. smh
Na wewe ukawaamini!!?Aliyekuambia huwezi kupata hela ninani. Operators wanasema mchezo wa Aviator kwao sio kwaajili ya kutoa faida Bali kuvutia wateja. Maana una returns kubwa kuliko michezo mingine yeyote
Hadi sasa kuna vijana 7, nawachukulia kama wadogo zangu hapa mtaani.Huu mchezo kwa Jina 'Aviator' maarufu kindege umekuwa shida kubwa sana kwa vijana hasa watafutaji. Ukiingia kucheza au kuchunguza upande wa charting utaona vijana wanavyoliwa na kulaani huu mchezo ambao umewarudisha nyuma sana kimaendeleo na hata nimesikia kuna jamaa amejiua kwa kuliwa kiasi cha Tsh. Milioni 2,000,000.
Shida yangu kubwa huu mchezo ni wa kitapeli, huwezi kupata hela kamwe, mara nyingi wao (wamiliki) ndio wananufaika.
Sasa kwa kuwa inaingiza vijana kwenye lindi la umaskini ni bora ufutwe watu wabeti kawaida tu kama zamani.
Nawahakikishia baada ya miaka 5 mbele nchi itakuwa na machizi wengi sana waliotokana na kuliwa na huu mchezo ambao upo masaa yote 24, kila dakika, kila sekunde, inashawishi sana halafu hupati kitu. [emoji20] Angalia picha hapo.
Wakiwa wanakuelezea unavyofanya kazi unaweza dhani wanajua hasa wanachofanya, yaani wataalamu wa mambo.sujui wana bet vipi uwa nawaangalia wanangu wanavyo bet wanajiona wajanja