Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
itakua ni kuchanganya utendaji na siasa.Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .
Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Basi katibu mkuu wa wizara hiyo achukue nafasi ikiwa waziri hafaiitakua ni kuchanganya utendaji na siasa.
Actually itakua fujo, malalamiko na makasiriko sana hususani kutoka upande usiokua wa Serikali.
mi nadhani hawa ambao tayari wanaenda kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM waachwe tu wakasimamie ilani.Basi katibu mkuu wa wizara hiyo achukue nafasi ikiwa waziri hafai
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .
Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Hapana hii haitofaa kabisa, habari ni sekta muhimu na inafaa isiwe mpamba/msemaji wa serikali maana hata TBC tunataka iikosoe serikaliKama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .
Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Hakina maana yoyote zaidi ya gharama na ulaji kwa makadaKama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .
Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Hata akiwa Posta Master wala hakuna tatizoNaona tuondoe gharama, kuanzia sasa msemaji wa serikali ni katibu mkuu wizara ya habari.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaKama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .
Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .