Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

Naunga mkono,
Paskali awezeshwe kua mtumishi wa umma regardless ni katika nafasi gani, ana kakitu mjamaa.

ni muugwana kwakweli 🐒
 

Your browser is not able to display this video.
 
Aisee! Acha waendelee kutokuona.
 
Kwahiyo wewe mleta mada ni kichwa kitupu? hata wewe mwenyewe hujajitaja yaani hujiamini,kama hujiamini unawezaje kuwaamini wengine? inatakiwa mtu smart kichwani ili kuwatambua watu smart.
Kujitaja ni ubinafsi mkuu. Siangalii maslahi yangu binafsi, bali ya nchi. Ikiwa wananchi wenzangu mtaona kuwa mnanihitaji niwatumikie katika nafasi fulani nyeti, nitaipokea hiyo nafasi kwa mikono miwili. Vinginevyo, sitakaa nijipendekeze.
 
Ni kweli mkuu! JF imejaa vichwa lukuki wanaweza kuisiadia sana Serikali wakipewa nafasi.

Mchukulie kwa mfano Gentamycine, ingawa ni "mkorofi", ni mtu mwenye akili mingi sana.
Waliopo JF ndio hao hao waliopo huko kwenye maisha ya uhalisia,wengine wanatumia fake ID's unajuaje kua sasa hivi hawapo kwenye hizo nafasi ambazo wewe unatamani wazipate?
 
Ni kweli mkuu! JF imejaa vichwa lukuki wanaweza kuisiadia sana Serikali wakipewa nafasi.

Mchukulie kwa mfano Gentamycine, ingawa ni "mkorofi", ni mtu mwenye akili mingi sana.
Nitakuw ni mtu wa mwisho kuamini huyo jamaa kilaza nae ni akili kubwa huku jf

Humu jf kuna mtu anaitwa Bams ni mtu mwenye akili sana
 
Kumbe mko humu kunyemelea teuzi? Basi muwe jasiri
kuweka namba zenu hadharani ili muweze kufikiwa upesi! Ingawa sina hakika kama wakikuhitaji kwa dhati watakukosa ingawa umejificha!😹
‼️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…