Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni dola zinapotea dunia nzima. Kwa nini tusinunue mafuta kutoka Saudi Arabia kwa kutumia dhahabu na kuwalipa madeni China kwa dhahabu.
Hauwezekani watu kwenda kujumua bidhaa China kwa kutumia dhahabu?
Hauwezekani watu kwenda kujumua bidhaa China kwa kutumia dhahabu?