Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

Sio ndio hapo sasa, kuliko waweke tangazo la siku 30 la 2t, si bora watupe nusu ya hiyo hela tujenge viwanda 10 vya 100b@ vya kimkakati?
"Begger has no choice" pokea hicho ulicho pewa hata kama hakina maana kwetu.
 
Kwani Tz haipati wa talii kwasbb hawajui kama kuna nchi inaitwa Tz au watakuja kwasbb ya Raisi wetu?......tatizo lenu mnalipwa ila hamuwezi kushawishi watu kwa hoja za mantiki.
Hawataki kutushirikisha wadau wa utalii ili tuwape mpango mkakati mzuri wa kuiuza nchi kiutalii.
Yaani mtu mzima kabisa anaamini kuwa mtalii ama muwekezaji anaweza kuja Tanzania kwa sababu ya rais au kuona bendera asiyoijua ni ya nchi gani kwenye jengo refu zaidi duniani!!!!!
 
Wale wanazo pesa nyingi sana za kuchezea ! Wanaweza wakakutangaza hata mwezi mzima na wala wasitake chochote kutoka kwako, ila pia sio vibaya kuwa waangalifu kwenye kila kitu kinachohusu Nchi !!
Na kwa nini mtangazwe bure, hapo bado amelikoroga.........
 
Nonsense and stupidity! Kwamba Tanzania haijulikani mpaka ikatangazwe Dubai? Fikiria kwanza.

Ndo Kiwango chako cha Upeo umefikia hapo…Itoshe kusema Wewe ni poyoyo na hujui unachokitaka.Cocacola imekuwepo toka hujazaiwa kila siku ipo kwenye mabango na Tv pia nayo haijulikani? Nyie mnataka hela zitumike kwenye kununua wapinzani na kufanya uchaguzi hewa sio?
 
Tatizo ndio lipo hapo ! Watu wanataka wale keki peke yao !
 
Mbona nilishawataarifu wale waliozua uzushi huu,hili nalo linahitaji msemaji wa serikali,waliozua ni ushamba tu.
 
Haya majitu ya CCM yalivyokuwa ni mapumbavu ya akili unaweza kuta yametoa Vitalu vya mbuga zetu bure kwa wawindaji wa kiarabu, au wamegawa wanyama wetu au kuna rasilimali kama gesi au mafuta au rasilimali yoyote yametoa bure ili kuweka bendera katika jengo.

Haya majitu yamekwisha shindwa kuendesha inchi na yanajua ndio maana yapo tayari hata kuingia hasara au kufanya jambo lolote kwasababu ya kutapatapa kindezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu wamegawa hawa. Ni kweli sio pesa. Ila kuna kitu cha thamani sana wamegawa hawa mandondocha.

Hili taifa tukiendelea kucheka na hawa mabwege tutafeli vibaya sana siku si nyingi na hatitakuwa na namna ya kitoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbavu ni hawa wanaomini sasa hatupigwi

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
There is nothing like a free lunch,hizi story kawapigieni watu wa mwanakwerekwe,fuoni,au paje,Lindi,mtambaswala ambao hawajaenda shule,hakuna Cha bule,
Hii sio coincidence,Kuna mahotel kibao kule ngorongoro yanataka ardhi ya wamasahi.na choko choko ya kufukuza wenyeji imeanza!!watu wanapewa mbuga zetu bure!harafu mnakuja hapa kutuambia eti wanatutangaza Bure!!!don't insult our inteligence!!
 
Bepali hanaga cha bure hata siku moja, hapo ni nyie kujiongeza kwamba wanataka kuchukua kitu gani kutoka hapa Tz
Mlipoaminishwa tumelipia mlibwabwaja… sasa mmeambiwa hatujalipia mnalopolopo

Hata kukaa kimya ni busara
 
Pumbavu ni hawa wanaomini sasa hatupigwi

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Yaani kama tulikuwa tunapigwa awamu iliyopita ndo ihalalishe upigaji awamu hii? Uzwazwa huo wabaki nao wanaoweka siasa mbovu mbele lakini Sisi Wenye akili hatuwezi kuamini Wezi waliookoka mpaka watuthibitishie Kwa matendo. Mpaka Sasa wameshindwa kututhibitishia kwamba wameacha wizi Kwa hili la Mchongo wa Burj Khalifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…