Serikali, huu ndiyo muda muafaka wa kubadilisha sheria za wafanyakazi; Nyongeza ya mishahara iwe ni kwa wafanyakazi bora au maalum tu

Serikali, huu ndiyo muda muafaka wa kubadilisha sheria za wafanyakazi; Nyongeza ya mishahara iwe ni kwa wafanyakazi bora au maalum tu

Huyu jamaa ameandika kama vile anaishi Canada! Serikali yenyewe imejaa watu wababaishaji tu na watu walioteuliwa kwa vigezo vya kujuana kwa misingi ya kikabila, undugu, udini na ukada!

Halafu anataka wafanyakazi wenye tija! Hiyo tija inatoka wapi kama serikali yenyewe haina tija? Anataka wafanyakazi wakopeshwe hela kidogo kana kwamba serikali inawagharamia nyumba za kuishi, kama ifanyavyo kwa watumishi wa sekta nyingine!
Hahah lakini jamaa ana hoja ya msingi kwa mbali sema kaiweka kwa jazba
 
Back
Top Bottom