Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Naomba Serikali ianze kuongeza mishahara watumishi kwa matokeo ya utendaji
Salaam Wakuu. Hivi serikali ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania haiwezi kuanza kuongeza mishahara ya watumishi kwa kigezo cha kuangalia matokeo ya utendaji ya mwajiriwa? Maana hii kuwaongezea tu wote kwa pamoja bila hata kutazama matokeo ya utendaji inawaua nguvu hata wale watumishi ambavyo...