Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Ishu ni kwamba hujajua kuwa kuna watu wanapitia shida sana na hizo fedha huwasaidia katika kukidhi mahitaji yao ya kila siku. Kama hujawahi kushuhudia hali za hawa watu wala hata huwezi kusema maneno unayoongea... mm nmeshashuhudia hali zao hawa watu, inauma ukiwaona katika hatua awali.jana nilishuhudia walengwa wa TASAF wakichukua pesa zao...baadhi ya walengwa wana vitambi, wamepaka cream maarufu kama calorite (usoni mweupe mikono na miguu mweusi) wana simu janja zaidi ya moja, wanaume wenye nguvu zao wamo....nimejiuliza maswali mengi kuhusu lengo hasa la TASAF ni nini?
Makonda alikuwemo kwenye hilo kundi?jana nilishuhudia walengwa wa TASAF wakichukua pesa zao...baadhi ya walengwa wana vitambi, wamepaka cream maarufu kama calorite (usoni mweupe mikono na miguu mweusi) wana simu janja zaidi ya moja, wanaume wenye nguvu zao wamo....nimejiuliza maswali mengi kuhusu lengo hasa la TASAF ni nini?
Sasa hawa wazee vikongwe kbs jmn... utawaps nini. Jembe wakalime.... vijanz wa Tanzania tuna matatzo gan hata kufiri kwny kama haya... toeni basi njia mbadala.... wapewe majembe wakalime...? Mnatia aibu vjna wenzangu. Tafuteni maarifaKumpa mtu pesa ni kumfanya aendelee kuwa masikini.
Huu ni moja ya mradi wa kipuuzi Sana,tena ni mkopo wa world bank ,hauna tija ila ni muhimu sana kama silaha ya kisiasa kuvunia kura.Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
Hizo fedha wafungulieni miradi vijaana wao wawatunze wazee mtawapa hela mpaka lini?Sasa hawa wazee vikongwe kbs jmn... utawaps nini. Jembe wakalime.... vijanz wa Tanzania tuna matatzo gan hata kufiri kwny kama haya... toeni basi njia mbadala.... wapewe majembe wakalime...? Mnatia aibu vjna wenzangu. Tafuteni maarifa
Upo sahihi mkuu, kama walishindwa kupambana miaka yote hadi uzee ni vigumu sana kutoboa kwa pesa ya TASAF. wapewe walemavu ambao pengine wameshatengwa na familia zao.Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
Mkuu umemaliza, bora hii itaondoa unyanyapaa dhidi ya walemavu na kupelekea kuwapatia mahitaji yao ya elimu.Upo sahihi mkuu, kama walishindwa kupambana miaka yote hadi uzee ni vigumu sana kutoboa kwa pesa ya TASAF. wapewe walemavu ambao pengine wameshatengwa na familia zao.