Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Katika vitu vya kitahira huwa naona Serikali inafanya ni huu ujinga wa TASAF... Yaani kama wanataka kuwasaidia ni Bora wangekuwa wanawapa Ng'ombe au Mbuzi wafuge...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hela za TASAF zinazokuuma ni kodi zako, wenye kodi zao ndio wanataka ziende huko unataka kuwapangia matumizi...Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
Endelea kuamini hivyohivyo mkuu, usilolijua ni usiku wa giza.Hizo hela za TASAF zinazokuuma ni kodi zako, wenye kodi zao ndio wanataka ziende huko unataka kuwapangia matumizi...
Wanaewa fedha baada ya kufanya kazi mfano uchimbaji mfereji, bwawa nk.Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
Sasa kuna ulazima gani wa serikali kukubali kupewa msaada au mkopo wenye masharti ambayo haitawasaidia wananchi?Hizo hela za TASAF zinazokuuma ni kodi zako, wenye kodi zao ndio wanataka ziende huko unataka kuwapangia matumizi...