BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Si ulikua unawasifia eGA leo vipi tena mkuu?Hiyo ndio kawaida yao huko serikalini uwa awafikirii mambo kwa kina hasa upande wa challenges.
Kazi yao ni kukurupuka na kuchezea hela za walipa kodi.
Hiyo ndo imeondoka na sasa kuna hii mpya anayoizungumzia mleta mada. Hiyo OPRAS ilikuwa mzigo mzito Sana. Nakumbuka enzi hizo ukiwa boss unakaa na mfanyakazi ambaye wewe unatathmini utendani kazi wake na kumpatia alama kwa kila kigezo kinachohitajika . Pia ilitakiwa mkubaliane naye kuhusu alama ulizompatia. Tatizo ni pale unapompatia alama za chini, yaani hamtaelewana kabisa, na inatishia maisha yako kama boss. OPRAS ilikuwa ni open yaani uwazi zaidi. Ilikuwa na idadi kubwa sana ya karatasi za kujaza kwa kumtathmini mtu mmoja. Kabla ya mfumo wa OPRAS boss alikuwa anajifungia ofisini kwake na kuweka alama pasipo mhusika kujua nini kaandikiwa.Hivi ile mikaratasi inaitwa OPRAS Bado inatumika.haha
Mbaya zaidi kwanzia boss hadi subordinates wa chini kabisa walikuwa hawajui kuzijaza.Hiyo ndo imeondoka na sasa kuna hii mpya anayoizungumzia mleta mada. Hiyo OPRAS ilikuwa mzigo mzito Sana. Nakumbuka enzi hizo ukiwa boss unakaa na mfanyakazi ambaye wewe unatathmini utendani kazi wake na kumpatia alama kwa kila kigezo kinachohitajika . Pia ilitakiwa mkubaliane naye kuhusu alama ulizompatia. Tatizo ni pale unapompatia alama za chini, yaani hamtaelewana kabisa, na inatishia maisha yako kama boss. OPRAS ilikuwa ni open yaani uwazi zaidi. Ilikuwa na idadi kubwa sana ya karatasi za kujaza kwa kumtathmini mtu mmoja. Kabla ya mfumo wa OPRAS boss alikuwa anajifungia ofisini kwake na kuweka alama pasipo mhusika kujua nini kaandikiwa.
Tulipewa semina lakini somo lilikuwa halipandi. Ni wachache Sana walielewa na hao pia hawakuweza kufikisha ujumbe kwa wenzao. Ilikuwa inachukua muda mwingi sana kuijaza kwa mtu mmoja. Sasa fikiria una watu 100 chini yako, ilikuwa kazi kwelikweli.Mbaya zaidi kwanzia boss hadi subordinates wa chini kabisa walikuwa hawajui kuzijaza.
Serikali inatakiwa ikianzisha hii mifumo yao, itoe elimu na muda wa kutosha kwa wahusika kujifunza na kuelewa.Hii nchi ina shida kubwa sana hasa uwezo wa baadhi ya viongozi kuchambua mambo kwa kina , nahisi watu wenye uwezo wa kuchambua mambo kwa kina wananyimwa nafasi au huenda hawapo hiko juu maana jambo kama hili lili hitaji maandalizi makubwa sana ya kimiundombinu kwanza , kuandaa wahusika watakao tumia huo mfumo maana kuna watu hawajawahi kutumia wala kununua hizo smartphone maana sio takwa la mkataba wa kazi na pia kutokana na aina ya mazingira wanayo fanyia kazi sasa unamsimamishiaje mshahara mtu huyo wakati majukumu yake ya kiutendaji yaliyopo kwenye mkataba wake wa kazi kayatekeleza na anasubiri ujira wake.?
Enzi hizo tukijaza OPRAS kwa kutumia karatasi na kalamu ilikuwa kasheshe. Sasa ongeza hili la kutumia mfumo si ndio mvurugano kabisa. Si wote wana uelewa wa kujaza kwenye mitandao, sijui kama hilo waliliona hao waliotengeneza hiyo mifumo.Kazi kwelikweli
Hata hao waliojaza na kukamilisha taarifa zao, watumishi 7 kati ya watumishi 10 hawajui kuutumia huo mfumo.
Serikali inachotaka ni kujaza,kujaza ,kujaza๐๐๐๐
Kweli ukiwa mjini unaweza kuhisi mtandao upo vizuri tu kila sehemu, bwana sio kweli tembea uone. Kuna sehemu nilikuwa wiki iliyopita tena maarufu tu kuna Shule, hospitali ila hakuna mtandao. Unatuma sms unahangaika iende karibu dk 10. Hii PEPMIS tutaona mengi. Watumishi poleni PEPMIS, Sukari, Petrol,Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao.
Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza.
Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna watumishi wapo vijijini huko ambako hadi leo wanapata internet yenye kasi ya GPRS na EDGE (hilo nina uhakika nalo na ushahidi ninao).
Msitumie ubabe kwenye hili mtatesa watumishi sana, mfumo bado una shida na si rafiki kwa mazingira yetu mnalazimisha nchi kuingia kwenye teknolojia ambazo ki msingi si rafiki kwa kwa aina ya watu na miundo mbinu kifupi hamjawaandaa watumiaji wala miundo mbinu.
Mtumishi ataesimamishiwa mshahara wake alio utumikia mwezi mzima kutokana na majukumu yake kwa mujibu wa makataba wake wa kazi kwa kisa hajajiunga na PEPMIS anione PM kwa masaada wa kisheria.
Umenifananisha sikumbuki kuchangia mada za aina hiyo. Hata ivyo sipingi technology.Si ulikua unawasifia eGA leo vipi tena mkuu?
Wenye mamlaka wapumbavu sana, fikiria tu mshahara wenyewe mkia wa mbuzi halafu uutumie kuhangaika na huo upumbavu wao, maisha yenyewe gharama juu, wanadhani kila mfanyakazi ana maisha mazuri kama wao, hawajui kuna watu hawana hata 500 ya vochaMsitumie ubabe kwenye hili mtatesa watumishi sana, mfumo bado una shida na si rafiki kwa mazingira yetu mnalazimisha nchi kuingia kwenye teknolojia ambazo ki msingi si rafiki kwa kwa aina ya watu na miundo mbinu kifupi hamjawaandaa watumiaji wala miundo mbinu.
Mtumishi ataesimamishiwa mshahara wake alio utumikia mwezi mzima kutokana na majukumu yake kwa mujibu wa makataba wake wa kazi kwa kisa hajajiunga na PEPMIS anione PM kwa masaada wa kisheria.
Imagine kuna wapishi, walinzi nk kwenye vyuo na mashule huko wanahangaika wiki mbili nzima kukimbia kwenye cyber cafes spending lots of cash kwaajili ya mfumo, serikali itoe fedha za kumuwezesha kila mtumishi kuwa na smartphone, fedha ya bundle na mafunzo, iache uhuni na ujingakuna watu hawajawahi kutumia wala kununua hizo smartphone maana sio takwa la mkataba wa kazi na pia kutokana na aina ya mazingira wanayo fanyia kazi sasa unamsimamishiaje mshahara mtu huyo wakati majukumu yake ya kiutendaji yaliyopo kwenye mkataba wake wa kazi kayatekeleza na anasubiri ujira wake.?
Hatari SanaKuna mfumo wa manunuzi (nest) huo ndo majangaa sasa manunuzi ya serikali hayafanyiki kisa kuingiza mfumo bila kutoa muda watu wafundishwe wao wanalazimisha mfumo.matokeo yake huduma serikalini ni kama zimesima nakwambia hii nchii itapotea kama hamtakuwa makini kuna watu wengi wameingizwa serikalini hawana uwezo wa kufikiria kabisaa.