Habari
Che mittoga
Kwanza kabisa Nimejibu kile Nilichokuwa naulizwa na hakuna Sehemu nilipotetea ila nimeeleza hali halisi ilivyo..
Ukiona mtu anaogopa Kuambiwa ukweli huyo mtu muogope sana na ukae naye mbali sio Rafiki tu Hafai hata kuwa Adui..
Ugonjwa wa Alethophobia (Kuogopa Au kuchukia ukweli) unaongezeka kwa kasi hasa kwa vijna wa sasa hii ni dhahiri kwamba Taifa linaelekea Kubaya sana..
Kuhusu Kupigania Mishahara ya Watumishi na Mafao yao ziko sector maalumu zinazolipwa kupigania haki za watumishi na watumishi kwa ujumla kama Vyama vya wafanyakazi na mashirikisho ya wafanyakazi na Bunge..nafikiri hivyo vinatosha kutetea haki ...
Hoja huwa haijibiwi kwa kejeli na dhihaka ukiona mtu anajibu hoja kwa kejeli na dhihaka ni dhahiri kwamba amekosa kitu cha kujibu au kuchangia..
Kuhusu Udaktari mimi sio Daktari wa Philosophia au mnaita PhD mimi MMED (Master in Medicine) Mwenye fellowship (MMED with Fellowship Holder) au Kwa lugha nyepesi mnaita Daktari Bingwa...
Nadhani umenielewa Hapo juu...
Na kiufupi kwa bahati mbaya mimi sio mtu ninaye panic sana na mtu akiuliza swali huwa niko haraka kutoa majibu na ufafanuzi..
Karibu