Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

Huyu mbawene sjui kala maharagwe ya wapi.

Katika siku alizoongea pumba ni leo.

Na soon ataondoshwa kwenye hyo wizara.

Vinginevyo ataleta taharuki na kusababisha hata mgomo.

Mama mtoe huyu waziri haraka sana
Nchi haiwezi kuendesha Kwa matamko ya mtu mmoja. Mwenye kutamka mtumishi kusimamishiwa mshahara ni Mkuu wa nchi na si kiranja wake.

Simbachawene unapaswa kutuomba radhi.
 
Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao.

Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza.

Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna watumishi wapo vijijini huko ambako hadi leo wanapata internet yenye kasi ya GPRS na EDGE (hilo nina uhakika nalo na ushahidi ninao).

Msitumie ubabe kwenye hili mtatesa watumishi sana, mfumo bado una shida na si rafiki kwa mazingira yetu mnalazimisha nchi kuingia kwenye teknolojia ambazo ki msingi si rafiki kwa kwa aina ya watu na miundo mbinu kifupi hamjawaandaa watumiaji wala miundo mbinu.

Mtumishi ataesimamishiwa mshahara wake alio utumikia mwezi mzima kutokana na majukumu yake kwa mujibu wa makataba wake wa kazi kwa kisa hajajiunga na PEPMIS anione PM kwa masaada wa kisheria.
Mfumo huu ni mzuri sana kikubwa tu muda utolewe wa kutosha ili mambo yaweze kukaa vizuri na kama utatekelezwa vzr utaleta manufaa makubwa sana kwa watumishi wa imma.Siku zote technology inarahisha mambo mengi.
 
Hakuna mtu anapinga hilo tatizo ni mfumo ambao haujaandaliwa mazingira ya utendaji kazi wake watu wamekurupukia tu jambo bila kufanya utafiti kwa kina na hasa urafiki wa mfumo huo na mazingira yetu hapa
 
Wizi tu mkubwa mfumo wa hovyo wanalazimisha mfumo utumike ili wapate cha kumdanganya na wapate cha kujisifu kwa Mh. Rais.
Unajua lakini Unfanya kosa la kimaadili kutukana viongozi wewe kama mtumishi wa umma?

Unajua lakini kama Unavunja sheria?
Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma kanuni namba 2..
Screenshot_20240222_205003_Adobe Acrobat.jpg
 
Unajua lakini Unfanya kosa la kimaadili kutukana viongozi wewe kama mtumishi wa umma?

Unajua lakini kama Unavunja sheria?
Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma kanuni namba 2..
View attachment 2912557
Nikujuze tu mimi sio mtumwa wa ujinga huu wa serikali hii jua tu hivyo na cha msingi jua siwatukani bali nawaeleza ukweli na kama wewe ni miongoni mwa government official basi ninyi ni wezi na mna ihujumu serikali namna muhujumu Mh. Rais pia kwa kulazimisha matumizi ya mifumo ambayo hamjaiandalia mazingira ya utendaji kazi
 
Wizi tu mkubwa mfumo wa hovyo wanalazimisha mfumo utumike ili wapate cha kumdanganya na wapate cha kujisifu kwa Mh. Rais.
Nchi hakuna penye uwafadhali, kila sehem ccm ikigusa ni kuaribu tu, nchi ipo tu bora kumekucha, watumishi na vimishaara vyao vidogo bado wanatoa nauli sijui kwenda wapi ati kuingizwa kwenye mfumo , ujinga na upumbavu mkubwa,
Tusisahau bado wapo na kikokotoo kinawaenyesha vibaya mno, ila bado unakuta walim wachache wajinga eti wanachanga pesa ya kumchukulia form mwenyekiti wa ccm
 
Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao.

Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza.

Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna watumishi wapo vijijini huko ambako hadi leo wanapata internet yenye kasi ya GPRS na EDGE (hilo nina uhakika nalo na ushahidi ninao).

Msitumie ubabe kwenye hili mtatesa watumishi sana, mfumo bado una shida na si rafiki kwa mazingira yetu mnalazimisha nchi kuingia kwenye teknolojia ambazo ki msingi si rafiki kwa kwa aina ya watu na miundo mbinu kifupi hamjawaandaa watumiaji wala miundo mbinu.

Mtumishi ataesimamishiwa mshahara wake alio utumikia mwezi mzima kutokana na majukumu yake kwa mujibu wa makataba wake wa kazi kwa kisa hajajiunga na PEPMIS anione PM kwa masaada wa kisheria.
Wateja wakitafutwa kwa mbinu
 
Hivi wewe Dr.
Umeshikilia sana swala la PEPMIS.
Hivi Watumishi wakishindwa kujaza hizo Objectives na kunyimwa mishahala Yao.
Wewe kinakuuma nini?

Kajaze wewe hizo kazi zao, au ajiri hao wanaoijua vizuri hiyo PEPMIS.

Naona mishipa inakutoka kutetea PEPMIS.

Mbona hatuja kusikia ukitetea nyongeza za mishahala za Watumishi?
Wala hujatetea mafao Yao ya Uzeeni?
Wala kutetea kupandishwa madalaja Yao?

Upo na PEPMIS PEPMIS kajaze wewe na wajuukuu zako, na mufurahi hapo nyumbani kwenu.

Hivi unajiita Dr. Umegundua nini Chenye manufaa kwa jamii yako.
Zaidi ya kukopi na kupesti kazi za wenzako?
Umesikia au Bado.?
Habari Che mittoga
Kwanza kabisa Nimejibu kile Nilichokuwa naulizwa na hakuna Sehemu nilipotetea ila nimeeleza hali halisi ilivyo..

Ukiona mtu anaogopa Kuambiwa ukweli huyo mtu muogope sana na ukae naye mbali sio Rafiki tu Hafai hata kuwa Adui..

Ugonjwa wa Alethophobia (Kuogopa Au kuchukia ukweli) unaongezeka kwa kasi hasa kwa vijna wa sasa hii ni dhahiri kwamba Taifa linaelekea Kubaya sana..

Kuhusu Kupigania Mishahara ya Watumishi na Mafao yao ziko sector maalumu zinazolipwa kupigania haki za watumishi na watumishi kwa ujumla kama Vyama vya wafanyakazi na mashirikisho ya wafanyakazi na Bunge..nafikiri hivyo vinatosha kutetea haki ...

Hoja huwa haijibiwi kwa kejeli na dhihaka ukiona mtu anajibu hoja kwa kejeli na dhihaka ni dhahiri kwamba amekosa kitu cha kujibu au kuchangia..

Kuhusu Udaktari mimi sio Daktari wa Philosophia au mnaita PhD mimi MMED (Master in Medicine) Mwenye fellowship (MMED with Fellowship Holder) au Kwa lugha nyepesi mnaita Daktari Bingwa...

Nadhani umenielewa Hapo juu...
Na kiufupi kwa bahati mbaya mimi sio mtu ninaye panic sana na mtu akiuliza swali huwa niko haraka kutoa majibu na ufafanuzi..

Karibu
 
Tatizo la utendaji duni wa watumishi wa umma wa nchi hii si mambo ya mifumo hiyo wanayowaza kuitumia kuwabana tatizo ni kwamba serikali imeshindwa kutekeleza wajibu wake wa kuwalipa watumishi stahili zao . Suala la malimbikizo ya mishahara serikali imewekeza sana kwenye propaganda za kusema tunalipa tunalipa ! Wakati ukifika kila mamlaka za serikali za mitaa kuna maelfu ya watumishi hawajui kwa nini hawalipwi na watalipwa lini ni kizungumkuti
Umenena vilivyo
 
Hivi wewe Dr.
Umeshikilia sana swala la PEPMIS.
Hivi Watumishi wakishindwa kujaza hizo Objectives na kunyimwa mishahala Yao.
Wewe kinakuuma nini?

Kajaze wewe hizo kazi zao, au ajiri hao wanaoijua vizuri hiyo PEPMIS.

Naona mishipa inakutoka kutetea PEPMIS.

Mbona hatuja kusikia ukitetea nyongeza za mishahala za Watumishi?
Wala hujatetea mafao Yao ya Uzeeni?
Wala kutetea kupandishwa madalaja Yao?

Upo na PEPMIS PEPMIS kajaze wewe na wajuukuu zako, na mufurahi hapo nyumbani kwenu.
Muchinje na Nguruwe na mule Hadi muvimbiwe...!

Hivi unajiita Dr. Umegundua nini Chenye manufaa kwa jamii yako.
Zaidi ya kukopi na kupesti kazi za wenzako?

Mjivuni kama wewe huna mamlaka ya kuelimisha watu.
Nenda wewe na wajuukuu zako mkaajiriwe serikalini ili mjaze vizuri hizo PEPMIS.
Asikuumize kichwa huyo ni mnufaika wa huo mfumo ndiyo maana anautetea
 
Habari Che mittoga
Kwanza kabisa Nimejibu kile Nilichokuwa naulizwa na hakuna Sehemu nilipotetea ila nimeeleza hali halisi ilivyo..

Ukiona mtu anaogopa Kuambiwa ukweli huyo mtu muogope sana na ukae naye mbali sio Rafiki tu Hafai hata kuwa Adui..

Ugonjwa wa Alethophobia (Kuogopa Au kuchukia ukweli) unaongezeka kwa kasi hasa kwa vijna wa sasa hii ni dhahiri kwamba Taifa linaelekea Kubaya sana..

Kuhusu Kupigania Mishahara ya Watumishi na Mafao yao ziko sector maalumu zinazolipwa kupigania haki za watumishi na watumishi kwa ujumla kama Vyama vya wafanyakazi na mashirikisho ya wafanyakazi na Bunge..nafikiri hivyo vinatosha kutetea haki ...

Hoja huwa haijibiwi kwa kejeli na dhihaka ukiona mtu anajibu hoja kwa kejeli na dhihaka ni dhahiri kwamba amekosa kitu cha kujibu au kuchangia..

Kuhusu Udaktari mimi sio Daktari wa Philosophia au mnaita PhD mimi MMED (Master in Medicine) Mwenye fellowship (MMED with Fellowship Holder) au Kwa lugha nyepesi mnaita Daktari Bingwa...

Nadhani umenielewa Hapo juu...
Na kiufupi kwa bahati mbaya mimi sio mtu ninaye panic sana na mtu akiuliza swali huwa niko haraka kutoa majibu na ufafanuzi..

Karibu
Mganga unapata wapi muda wa kuandika haya yote.?
 
Back
Top Bottom