Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

Kiukweli huyu mama hamna kitu! Yeye anajua kuzurura tu kwa hao wajomba zake! Yaani ameshikiliwa masikio na jamaa yetu Lameck mpaka inatia huruma!

Kila anacho muambia, yeye anakubali tu! Hata kama kina madhara makubwa kwa raia wa kawaida!
 
Magu alibana mianya mingi sana ya kupiga hela sasa mama kawafungulia wanaanza kupiga hela tena kwa fujo, Tunaambiwa kila mwenye miaka 18 na kuendelea atalipa kodi aiseeeeh

Hili utekelezaji wake utakuwa mgumu sana mkuu!!! Na anayeongea ivi siku akija kuwa sio kiongozi atakuwa analia lia maana hii kodi pia bado wao watalipiwa na serikali mpaka kwa wajukuu zao....

bado ni namna yakutunyoosha tuu.... Rest In Peace JPM
 
We mjinga sana. Heri hata upate Tozo Lakini sio kukaribisha machafuko. Hatutatoka huko. Nchi yetu bado maskini sana. Tukianza watatupa silaha. Then watavuna Mali zao na wewe na watoto wako hamtakuwa salama.

Hata sasa hatupo salama mkuu.... wazazi tunashinda njaa ili watoto wetu wale mkuu!!!!! Kipi ni bora sasa?

Wao wanapiga pesa ndefu kutoka kwako na kwangu kila tunapo jitahidi tujikomboe kwenye umasikini zinakuja sheria zakukatishana tamaa Kwaiyo tuendelee kukaa kimya???

Aliye shiba hawezi kumkumbuka mwenye njaa mkuu, lazima amani itatoweka tu muda ukifika
 
Hii nchi ilipofikia nafikiri kilichobaki ni watu waamue kujitoa akili tu utaratibu uvurugike mazima hata nusu mwaka hivi then kitakachofuata baada ya hapo tutakaa kamati ya maridhiano maana dunia nzima itakuwa inaelewa hasa kinachoendelea ni nini!
Dah!..tusiombe kufika huko boss, maana wengine hatutapaweza
 
.. Wazungu wajanja Sana kujikata, unaongozwa na mtu ambaye ndugu zake wapo 4000 km away ,mpak uarabuni huko , hawezi tambua taabu unayopitia wewe uliyepo namtumbo , ndongobeshi , huko unyamboni au huko newala
Wewe mwenye ndugu zako walio km 2 kutoka kwetu umetusaidia nini zaidi ya kujamba na kutuachia ushuzi tuu? 😄😄.

Rubbish 🚮🚮
 
US na UK wanalipa tozo ila kinachofanyika kinaonekana, sio Tanzania kuna tozo kinachofanyika kinaonekana na Mafisadi tu.
Wewe umetafuta nini ambacho hukioni? Huwa ukitoka kwako una drive kwenye barabara alizojenga baba yako?

Ukiugua huwa unaenda kwenye hospital kutibiwa na madakatari ambao mama yako anawalipa au?

Nadhani akili yako inatosha kwenda na kurudi chooni tuu.
 
Wewe kaanze upya chekechea..

Nini maana ya budget plan sasa? Yaani unakauta na wewe ni graduate na ndio think tank huko Chadomo 😁😁😆😆..
Chukua time, kama kweli kungekua na Transparency hizo hela wanazo invest nje wanazitoa wapi???

Me being think tank wa Chadema hayakuhusu mtoto wa kiume acha ukuda
 
Chukua time, kama kweli kungekua na Transparency hizo hela wanazo invest nje wanazitoa wapi, kama watanzania wenzio...

Me being think tank wa Chadema hayakuhusu mtoto wa kiume acha ukuda
Eti na wewe unajiita ni msomi,kama mambo madogo kama haya huelewi hicho kichwa utakuwa umejaza mausaha..👇
Screenshot_20220615-092451.png
 
Kiukweli huyu mama hamna kitu! Yeye anajua kuzurura tu kwa hao wajomba zake! Yaani ameshikiliwa masikio na jamaa yetu Lameck mpaka inatia huruma!

Kila anacho muambia, yeye anakubali tu! Hata kama kina madhara makubwa kwa raia wa kawaida!
Wamekutana pipa na mfuniko. Lameck mwenyewe kichwa box na hiyo PhD yake ya michongo, Royal Tour naye kichwa ni empty set
 
Back
Top Bottom