Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Hakimu Mfawidhi,

Lugha gongana, Sarakasi zinaanza.

IMG-20200318-WA0002.jpg
 
Baada ya leo mtaendelea kumuona Mh. Waziri mkuu mara kwa mara akijitokeza kutangaza kuongezeka kwa wagonjwa wa korona.Endeleeni kujiamini eti mna ngozi ngumu,mtakunywa maji ya moto. Chukueni tahadhari
 
BREAKING NEWS: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa idadi ya wagonjwa wa Virusi vya Corona nchini imeongezeka na kufikia watatu, ambapo mmoja amepatikana Zanzibar ambaye ni raia wa Ujerumani na mwingine Jijini Dar es Salaam ambaye ni raia wa Marekani.
 
Kwani kuleta sampuli ndio kuthibitisha au kutaka kujua? Kwani we ukiambiwa na daktari upeleke sampuli ya makohozi ndio una TB??

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Wao wameleta sampuli hawana vipimo bado wanadai kuwa hawana mgonjwa kama walijua afya yake kwanini wavushe hizo sampuli kuja Dar.
 
Back
Top Bottom