Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Tutakosa mapato ya pesa za watalii 😀😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakosa mapato ya pesa za watalii 😀😀😀😀😀
Sielewi mjue!!!!Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekanusha muda huu kuwa huo ni uzushi hakuna jambo kama hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote hawahesabiki, tunataka ngozi nyeusi waliopata wakiwa hapa nchini, so far count yetu ni zero. Hakuna mtu mweusi alioupata huo ugonjwa akiwa hapa bongo, hao wote ni either kaupata nje ya nchi kaja nao au ni ngozi nyeupe.BREAKING NEWS: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa idadi ya wagonjwa wa Virusi vya Corona nchini imeongezeka na kufikia watatu, ambapo mmoja amepatikana Zanzibar ambaye ni raia wa Ujerumani na mwingine Jijini Dar es Salaam ambaye ni raia wa Marekani.
Nilivyoona ila safari ya kwenye daraja nilijua ndo kwa heri si umeona waziri mkuu ndo anatangaza kila kitu
Astaghafillulah !Huyo wa Dar ikisememaka alipanda kwa kugombania "MWENDO KASI" ishakua balaa.
Lkn wagonjwa ni yule yule waliokanushwa na smz. Yawezekana SMZ hawana vipimo vya juu maana tumesikia maabara ipo dar pekee. Naamini watakuja kutola ufafanuzi wa hili
Hapo ndipo tutajua maana halisi ya 'MWENDO KASI". Mungu atunusuruHuyo wa Dar ikisememaka alipanda kwa kugombania "MWENDO KASI" ishakua balaa.
Sasa hivi ukienda hospitali ukiwa na mafua unaambiwa uende muhimbili, ila Ummy mwalimu anasema hata ukiwa na hivyo virusi unaweza kukaa nyumbani hadi hali ikiwa critical.Nimeanza kuhisi maumivu ya kichwa na kweny pua
Kwa muendelezo huu, ntajitahid nijipeleke mapema hospital, maana km sielewi vile
Sent using Jamii Forums mobile app