Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Huu ugonjwa umetukuzwa mno.

Kwa kipindi hiki, hatuhitaji takwimu za wagonjwa bali tunahitajikusikia hatua ambazo serikali imezichukua na inaendelea kuzichukuwa ikiwa ni pamoja na kufunga mipaka ya nchi kwa muda, kusitisha safari za nje ya ya nchi za ndege kuingia na kutoka nchini.

Kununua kufungua mahabara ya kupimia kila mkowa unaopakana na nchi njingie.

Kuakikisha vifaha kinga - Mask, cloves na sanitizer vinapatikana na kwa bei inajyohimilika.

Kuendelea kutoa elimu kwenye vyombo ya habari - walipie vipindi na watoe agizo kila chombo cha habari kiwe kina kipindi cha kutoa elimu, si kama ilivyo sasa ukiangalia tvs wanaonesha movies na maigizoyasiyokuwa na tija.

Pia kuacha siasa kwenye hili janga
 
Alafu Wale vibopa wanaotumia Lift (Elevator) pale posta na Kkoo,Millenium Towers, Ubungo Plaza wako kwenye hatari zaidi ya kupata corona kwa kugusa vitufe vya lift.. watu wavae gloves wasiishie kuvaa masks tu.
 
Mimi binafsi Marekani huwa siwaamini wanakuwaga na mbinu chafu chafu nyingi

Isiwe wamemleta kusudi ili atuambukize corona hasa ukizingatia Jiwe amewakazia sana katika mambo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China plaza kariakoo kuna mchina inasemakan ana dalili za corona, amekuja kama wiki mbili zilizopita
IMG-20200318-WA0002.jpeg
 
Back
Top Bottom