Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

alafu hili jambo upande wa tahadhari limebaki kufanyiwa kazi kwa level ya kitaifa tu, siwaoni wakuu wa mikoa na wa wilaya wakifanya jitihata za kutoa tahadhari kwenye mikoa na wilaya zao.
wanatoa kuna wilaya jina limenitoka nimeona wameandaa caranteen ya wilaya
 
Hivi corona ( afya ) Ni suala la muungano ?Hahahaaa gwajima na
Ulimsikia Gwajima lakini? Alisema ugonjwa wa Corona haupo Tanzania na hajakamatwa kwa uchochezi mpaka sasa.

Nenda wewe utangaze uone shughuli yake. Hii nchi inawaogopa sana watu maarufu.
musiba Ni next level
 
Ulichokiandika sijaona kama kina logic Kwa sababu moja kumbuka hjii nnchi Kila waziri ana majukumu yake kumbe ulitaka kuona hatua zikichukuliwa huku wakionyesha na makamela?

Watanzania sijui mnakwama WAP , haya una uthibitisho gani kama hawajachukua hatua yoyote?

Huwezi kuona na hutawahi kuona Logic kwa vile wewe ni sehemu ya huu mfumo dhalimu ambao upo tayari kuweka rehani maisha ya Watz 50m + kwa kisingizio Cha Utalii...!

Hivi kwa kumbukumbu zako katika hatua alizotangaza Majaliwa au Ummi umesikia ZUIO LOLOTE LA NDEGE ZA ABIRIA KUINGIA NA KUTOKA NJE YA TANZANIA? Hii ni hatua muhimu Sana lakini mazwazwa ya CCM yamekaa kimya....!!!
 
Mwafrika halisi hawezi kufa kwa korona. Mtu anaishi nyumba moja na mbuzi, kuku, bata, panya, nk.... Ndani vumbi tupu! Af asubuh anaamka anapiga kiporo cha ugali baada ya hapo shambani. Na huwezi sikia kaugua, af leo afe kwa mafua? NAKATAA... imeingia njia yakutokea😂😂😂
 
Unafunga mipaka wakati asilimia 90 ya mahitaji yanatoka nje. Sanitizer tu zimeagizwa kutoka nje siku ya Jana. Zitakujaje?

Kaa ukijua kuwa kuruhusu ndege kutoka nchi yoyote Ni KUKARIBISHA NA KUINGIZA CORONA VIRUS..!

Nani alikudanganya Sanitizers lazima ziletwe na Foreigner planes kutoka nje?
Kwanini Serikali wasitume ndege za Kwetu hata Kama ni za Kijeehi kwenda KUCHUKUA hizo Sanitizers na Vifaa tiba vingine? Hilo mbona linawezekana bwashe?....Lakini kwa watu makini tu na si kwa Ma-Fisi wa Lumumba!
 
Kauli za jana za waziri Ummy ziliniacha na mshangao mkubwa. Ulaya wanasema test, test, test, test, test..........

ili ukiconfirm mhusika anaji-isolate au anapelekwa mahali anatengwa, huku kwetu waziri anasema kupimwa si lazima hadi uonyeshe umahututi, wakati anajua kuwa hata yule asiye mahututi anaambukiza! Anasema kuna watu wameenda Muhimbili, lakini hawakupimwa wakarudishwa nyumbani - hii ni ajabu kwa nini wasipimwe halafu ndo hatua sahihi zichukuliwe?

Kwa sasa maabara iko moja tu Tanzania nzima - dsm! Katika hali hiyo naanza kuwa na mashaka na hizo isolation centers zilizotengwa huko mawilayani - tujihadhari, zisije kuwa centers zisizo na huduma sahihi na hivyo kusababisha vifo vingi.
 
Ulichokiandika sijaona kama kina logic Kwa sababu moja kumbuka hjii nnchi Kila waziri ana majukumu yake kumbe ulitaka kuona hatua zikichukuliwa huku wakionyesha na makamela?

Watanzania sijui mnakwama WAP , haya una uthibitisho gani kama hawajachukua hatua yoyote? Mnavunga mnaijua Serikari kuliko waliopo kwenye uongozi huo wa serikari
Jifunze kuandika vizuri,unatatizo kubwa la matumizi ya herufi "r" na "L"!
 
Mwafrika halisi hawezi kufa kwa korona. Mtu anaishi nyumba moja na mbuzi, kuku, bata, panya, nk.... Ndani vumbi tupu! Af asubuh anaamka anapiga kiporo cha ugali baada ya hapo shambani. Na huwezi sikia kaugua, af leo afe kwa mafua? NAKATAA... imeingia njia yakutokea😂😂😂

Huo Ni ubishi wa kitoto...!
Kama we kidume nenda kakae na mtu mwenye Covid-19 halafu tuone kama utahimili mapigo ya Virusi hivo...!
Bahati mbaya hatutakuuliza maana Israel mtoa roho atakuwa Kesha maliza kazi take..!
Watz tuacheni mizaha kwene serious issues kama gonjwa hili...!!!
 
Kwa mnaohoji kuhusu mgonjwa wa 6 ni kwamba wizara ina uhakika mgonjwa wa 6 atajitokeza tu muda wowote kwa hiyo wameona wawaambie in advance. Tuko vizuri...
 
Kamakabuzi,
Guys, Ummy Mwalimu is not a Doctor of Medicine by Professional! She knows nothing about Health Sciences!What do you expect from a lay-woman? Hapo ndipo kwene failures za nji hii! Badala ya kuweka Waziri wa Afya mwenye Taaluma husika kawekwa Mwandishi wa Habari..!
 
Wa sita atakuwa kajiweka yeye in advance maana Corona haijawahi kumuacha waziri wa afya kote ilikopita
 
hadi kufika sku ya leo tanzania inawagonjwa sita wa Corona , ikiwa ni ongezeko la wagonjwa watatu raia wa Denmark,Uswizi na Ufaransa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa rasmi za wagonjwa wa korona tangu mwanzo ni; Juzi aligundulika Isabbella (1), jana wakagundulika wengine bara mmoja na zanzibar mmoja wakawa (2), Leo wamegundulika wawili (2) kwa mujibu wa taarifa zao barua inasema Jumla kuu Wamekuwa SITA (6)

Sijaelewa huyo wa sita kapatikanaje au Kuna mmoja Kafariki? Inakuwaje 1+2+2=6 ?????
IMG-20200319-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom