Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guys, Ummy Mwalimu is not a Doctor of Medicine by Professional! She knows nothing about Health Sciences!What do you expect from a lay-woman? Hapo ndipo kwene failures za nji hii! Badala ya kuweka Waziri wa Afya mwenye Taaluma husika kawekwa Mwandishi wa Habari..!
Taarifa rasmi za wagonjwa wa korona tangu mwanzo ni; Juzi aligundulika Isabbella (1), jana wakagundulika wengine bara mmoja na zanzibar mmoja wakawa (2), Leo wamegundulika wawili (2) kwa mujibu wa taarifa zao barua inasema Jumla kuu Wamekuwa SITA (6)
Sijaelewa huyo wa sita kapatikanaje au Kuna mmoja Kafariki? Inakuwaje 1+2+2=6 ?????
View attachment 1392990
Duuuh! Kumbe upo mkuu? Naona umekubalina na hoja kuwa ugonjwa huu umekuzwa sana. Je ni kwanini unadhani umekuzwa sana?I agree with you mkuu
Hakuna shida kama hawafi!Inaanzaga hivi hivi mwisho inafikia elfu 10.
Acha upoyoyo mkuu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani ( WHO) corona inauwa asilimia tatu tu Kati ya wanaoambukizwa, yaani katika wagojwa 100 ni watatu tu wanaofariki. Sasa huo uhatari upo wapi? Tatizo kila mziki unaopigwa nyie mnacheza tu kama mabwege vile😬😬Huo Ni ubishi wa kitoto...!
Kama we kidume nenda kakae na mtu mwenye Covid-19 halafu tuone kama utahimili mapigo ya Virusi hivo...!
Bahati mbaya hatutakuuliza maana Israel mtoa roho atakuwa Kesha maliza kazi take..!
Watz tuacheni mizaha kwene serious issues kama gonjwa hili...!!!
Unatuna wanajeshi wakazifuate msituni au.Kaa ukijua kuwa kuruhusu ndege kutoka nchi yoyote Ni KUKARIBISHA NA KUINGIZA CORONA VIRUS..!
Nani alikudanganya Sanitizers lazima ziletwe na Foreigner planes kutoka nje?
Kwanini Serikali wasitume ndege za Kwetu hata Kama ni za Kijeehi kwenda KUCHUKUA hizo Sanitizers na Vifaa tiba vingine? Hilo mbona linawezekana bwashe?....Lakini kwa watu makini tu na si kwa Ma-Fisi wa Lumumba!
Enhee!! Basi sawa mtaalam.
wakishafika elfu kumi ++ ndio huwa wanaanza kufa, maana kunakuwa na mchanganyiko wa wagonjwa wenye umri tofauti, wenye magonjwa mengine (Presha, Sukari) etc.Hakuna shida kama hawafi!
Wangapi hupata mafua kila mwaka?
Nyuma ya pazia ni uwekezaji wa wale wanyonyi wetu..Kwelii kabsaa mkuu Ni ugonjwa hatari ila wameukuza sana. Sijui Nini Kiko nyuma ya pazia.
Even those equipments for testing you may find that because of this emergency, some of these procured testing equipments didn't pass a strict and proper quality assurance procedures as required/calibration standards etc... to ensure that they will perform the job properly...eish it so frightening and might be a disastrous situation.The only thing I can see here , is just to pray to Almighty God to enable us to get through this empandemic ..Serikali mdo imeleta corona, tulitoa maoni mapema sana serikal kupitia wizara ya afya tukaambiwa na waziri Ummy kuwa watu wanapimwa automatic wakipita vwanja vya ndege, nakumbuka kuna wananchi walilalamika kupita bila kupimwa akatokea tena huyo mama akasema ukiona hujaitwa upitapo vwanja vya ndege ujue kuwa upo salama na ushukuru Mungu, leo wanatuambia kuwa watu wote hao wametokea nje ya nchi, kuthibitisha uongo wao hakuna hata mmoja kati yao aliyethibitika akiwa kiwanja cha ndege, wote wamejipeleka hosipital wenyewe baada ya kujihis vibaya, juzi alipopatikana yule wa arusha tukaambiwa tena vipimo mpaka vitumwe Dar wakat mwanzo walisema vwanja vyote vina vipimo na kila wilaya, yote hayo yalisema na Huyu mama UMMY
Sent using Jamii Forums mobile app