wakishafika elfu kumi ++ ndio huwa wanaanza kufa, maana kunakuwa na mchanganyiko wa wagonjwa wenye umri tofauti, wenye magonjwa mengine (Presha, Sukari) etc.
Idadi ikiwa kubwa mno vituo maalum vya kupambana na huo ugonjwa ndio huzidiwa na huduma kudorora. Ulaya ilianza hivi hivi na nchi kama Italia wengi walikuwa wanasema huu ugonjwa ni kama mafua tu ya kawaida ila cha moto wanakiona sasa hivi. Siombei mabaya nchi yetu ila ni bora kuwa makini na kujiandaa kwa lolote, wiki ijayo inawezekana tukawa tunaongea lugha tofauti.