Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Yupo karibu mkuu wa wizara husika ambaye ndo mtaalamu so wanawasiliana
Guys, Ummy Mwalimu is not a Doctor of Medicine by Professional! She knows nothing about Health Sciences!What do you expect from a lay-woman? Hapo ndipo kwene failures za nji hii! Badala ya kuweka Waziri wa Afya mwenye Taaluma husika kawekwa Mwandishi wa Habari..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6. Salaam ambaye ni meneja wa msaii diamond
Taarifa rasmi za wagonjwa wa korona tangu mwanzo ni; Juzi aligundulika Isabbella (1), jana wakagundulika wengine bara mmoja na zanzibar mmoja wakawa (2), Leo wamegundulika wawili (2) kwa mujibu wa taarifa zao barua inasema Jumla kuu Wamekuwa SITA (6)

Sijaelewa huyo wa sita kapatikanaje au Kuna mmoja Kafariki? Inakuwaje 1+2+2=6 ?????
View attachment 1392990

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaashilia waziwazi kabisa hatujajipanga kwa kumaanisha, kibaya zaidi na waziri kasaini kukubaliana kilichoandikwa!

Assuming ni typinging error ianzie kwa mchapaji,ikapita kwa mganga mkuu, halafu ikapelekwa kwa katibu wa wizara naye asione makosa, ikaenda kwa naibu na waziri wakatia saini bila kusoma kweli?
Nooo! Kuna harufu ya uzembe mahali we are not serious!
 
Fungeni viwanja vya ndege.....tena hata mkifunga leo mmechelewa corona kashaingia tiari.....shida nini? umaskini ama?
 
Honestty, No, si kweli! Nchi yetu sio masikini. Nchi yako labda. Sema sisi watanzania ni masikini wa akili lakini sio nchi. Sisi hatuna tofauti na ma zombies ambao, waswahili wanasema, tulio bweteka bwa! Tukisubiri kufukiwa mkaburini

Uingereza kwa mfano ilikuwa nchi masikini sana Europe karne za huko nyuma. Haikuwa na kitu chochote isipokuwa kisiwa, mild weather, ardhi yenye rutuba na coal. Lakini kupitia ujasiri na uthubutu wa viongozi wake kama; King Henry wa nane ambaye alimdindia Pop wa Rom na baadae kuanzisha madhehebu yake ya kianglican, the Virgin Queen Elizabeth I. (binti wa mwisho wa King Henry VIII.) na Queen Victoria na wingi wa maarifa ya watu wake kama; Sir Francis Drake, Thomas Newcomens, James Watt, Robert Stephenson with the Rocket locomotive na wengineo wengi.

Wajerumani wana msemo unaosema; "Not macht erfinderich",(Necessity is the mother of invention, kwa nyie waingereza). Hapa namaanisha kuwa ulimwengu including us, tuko katika matatizo makubwa, kwa hiyo sisi watanzania hatuna budi nasi kutumia hili janga kama njia moja wapo ya kutuwezesha sisi kukusanya nguvu zetu pamoja na kujitahidi kufanya mambo ambayo yatatusaidia sisi wenyewe badala ya kukaa na kusubiri watu wa kutoka nchi tunazo ziita zimeendelea waje kutusaidia.

Waziri mkuu wa Great Britain Sir Winston Churchill mwaka 1941 wakati wa vita kuu ya pili ya dunia, aliwakusanya kwenye Bletchley Park watu tofaut wanaume kwa wanawake karibu 1,000 hivi ambao walifanya kazi moja tu muhimu ya kutafuta ufumbuzi wa mawasiliano ya majeshi ya Hitler wa Ujerumani.

Kabla ya vita, wakati wa amani, watu hawa walikuwa na professions tofauti; walikuwa waalimu wa vyuo vikuu, maafisa wa jeshi, watafsiri, Bankers, Ches Masters, wanasayansi wana mahesabu, wanafunzi, na wasanii. Kitu kilicho angaliwa hapa ni intuition na silaha zao kubwa zilikuwa ni mantiki, hisabati, fikra na uvumbuzi. Na kweli baada ya kuhangaika mda mrefu hatimaye walifanikiwa ku i cracke mashine ya mawasiliano ya jeshi la Hitler "ENIGMA" na hapo kuifanya vita iwe rahisi kwao mpaka kumshinda Hitler.

Na sisi kikubwa tunacho hitaji ni kutengeneza device yetu wenyewe ambayo itatuwezesha ku scann magonjwa kama haya ya mlipuko ki sawa sawa au tutumie njia nyingine ku mitigate mlipuko kama huu badala ya kukubali kuwa mazombie wa Mutants.

List ya watanzania wenye utaalam tofauti is very long. Kwa nini tusikusanye hizi nguvu pamoja na kuanza kufanya utafiti wetu sisi wenyewe?

Rais Magufuli fanya kitu cha maana Mzee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo Ni ubishi wa kitoto...!
Kama we kidume nenda kakae na mtu mwenye Covid-19 halafu tuone kama utahimili mapigo ya Virusi hivo...!
Bahati mbaya hatutakuuliza maana Israel mtoa roho atakuwa Kesha maliza kazi take..!
Watz tuacheni mizaha kwene serious issues kama gonjwa hili...!!!
Acha upoyoyo mkuu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani ( WHO) corona inauwa asilimia tatu tu Kati ya wanaoambukizwa, yaani katika wagojwa 100 ni watatu tu wanaofariki. Sasa huo uhatari upo wapi? Tatizo kila mziki unaopigwa nyie mnacheza tu kama mabwege vile😬😬
 
Kaa ukijua kuwa kuruhusu ndege kutoka nchi yoyote Ni KUKARIBISHA NA KUINGIZA CORONA VIRUS..!

Nani alikudanganya Sanitizers lazima ziletwe na Foreigner planes kutoka nje?
Kwanini Serikali wasitume ndege za Kwetu hata Kama ni za Kijeehi kwenda KUCHUKUA hizo Sanitizers na Vifaa tiba vingine? Hilo mbona linawezekana bwashe?....Lakini kwa watu makini tu na si kwa Ma-Fisi wa Lumumba!
Unatuna wanajeshi wakazifuate msituni au.
 
Hakuna mwafrika mwenye ngozi nyeusi atakufa kwa haya mafua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Enhee!! Basi sawa mtaalam.

Jamani, wengine tukumbushane, siku moja iliyopita Rose Marie Compaure, makamu wa rais wa bunge la Burkina Faso alifariki kwa ugonjwa wa Corona. Rose alikuwa mwafrica mweusi kutoka sub-saharan Africa.
 
Hakuna shida kama hawafi!

Wangapi hupata mafua kila mwaka?
wakishafika elfu kumi ++ ndio huwa wanaanza kufa, maana kunakuwa na mchanganyiko wa wagonjwa wenye umri tofauti, wenye magonjwa mengine (Presha, Sukari) etc.

Idadi ikiwa kubwa mno vituo maalum vya kupambana na huo ugonjwa ndio huzidiwa na huduma kudorora. Ulaya ilianza hivi hivi na nchi kama Italia wengi walikuwa wanasema huu ugonjwa ni kama mafua tu ya kawaida ila cha moto wanakiona sasa hivi. Siombei mabaya nchi yetu ila ni bora kuwa makini na kujiandaa kwa lolote, wiki ijayo inawezekana tukawa tunaongea lugha tofauti.
 
Serikali mdo imeleta corona, tulitoa maoni mapema sana serikal kupitia wizara ya afya tukaambiwa na waziri Ummy kuwa watu wanapimwa automatic wakipita vwanja vya ndege, nakumbuka kuna wananchi walilalamika kupita bila kupimwa akatokea tena huyo mama akasema ukiona hujaitwa upitapo vwanja vya ndege ujue kuwa upo salama na ushukuru Mungu, leo wanatuambia kuwa watu wote hao wametokea nje ya nchi, kuthibitisha uongo wao hakuna hata mmoja kati yao aliyethibitika akiwa kiwanja cha ndege, wote wamejipeleka hosipital wenyewe baada ya kujihis vibaya, juzi alipopatikana yule wa arusha tukaambiwa tena vipimo mpaka vitumwe Dar wakat mwanzo walisema vwanja vyote vina vipimo na kila wilaya, yote hayo yalisema na Huyu mama UMMY

Sent using Jamii Forums mobile app
Even those equipments for testing you may find that because of this emergency, some of these procured testing equipments didn't pass a strict and proper quality assurance procedures as required/calibration standards etc... to ensure that they will perform the job properly...eish it so frightening and might be a disastrous situation.The only thing I can see here , is just to pray to Almighty God to enable us to get through this empandemic ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom