Duuh 8??Arusha=8!
Siri-kali hawataki kusema UKWELI ATI WATAFUKUZA WATALII.....!Hii nI akili ya matope!
Serikali ya CCM ya Magufuli inaendekeza Utalii on the expense of 50+ million Tanzanians..!
This is absurd and non-sense.
wanatoa kuna wilaya jina limenitoka nimeona wameandaa caranteen ya wilayaalafu hili jambo upande wa tahadhari limebaki kufanyiwa kazi kwa level ya kitaifa tu, siwaoni wakuu wa mikoa na wa wilaya wakifanya jitihata za kutoa tahadhari kwenye mikoa na wilaya zao.
musiba Ni next levelUlimsikia Gwajima lakini? Alisema ugonjwa wa Corona haupo Tanzania na hajakamatwa kwa uchochezi mpaka sasa.
Nenda wewe utangaze uone shughuli yake. Hii nchi inawaogopa sana watu maarufu.
Ulichokiandika sijaona kama kina logic Kwa sababu moja kumbuka hjii nnchi Kila waziri ana majukumu yake kumbe ulitaka kuona hatua zikichukuliwa huku wakionyesha na makamela?
Watanzania sijui mnakwama WAP , haya una uthibitisho gani kama hawajachukua hatua yoyote?
Unafunga mipaka wakati asilimia 90 ya mahitaji yanatoka nje. Sanitizer tu zimeagizwa kutoka nje siku ya Jana. Zitakujaje?
Jifunze kuandika vizuri,unatatizo kubwa la matumizi ya herufi "r" na "L"!Ulichokiandika sijaona kama kina logic Kwa sababu moja kumbuka hjii nnchi Kila waziri ana majukumu yake kumbe ulitaka kuona hatua zikichukuliwa huku wakionyesha na makamela?
Watanzania sijui mnakwama WAP , haya una uthibitisho gani kama hawajachukua hatua yoyote? Mnavunga mnaijua Serikari kuliko waliopo kwenye uongozi huo wa serikari
Mwafrika halisi hawezi kufa kwa korona. Mtu anaishi nyumba moja na mbuzi, kuku, bata, panya, nk.... Ndani vumbi tupu! Af asubuh anaamka anapiga kiporo cha ugali baada ya hapo shambani. Na huwezi sikia kaugua, af leo afe kwa mafua? NAKATAA... imeingia njia yakutokea😂😂😂
Jana corona imeua watu 400+ italy.
Af huku africa watu wanaichukulia tu poa...
Sent using Jamii Forums mobile app
I agree with you mkuuHuu ugonjwa umetukuzwa mno.