KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
indigenous tupo na strong immunity exotic breeds zina sumbuliwa sana na hili dudu
Hawakujiandaa kama walivyojiandaa kupambana na flu, ndio sababu ya haya.Nenda Italia leo waambie Corona siyo hatari sana.
Yah kama tumeanza kumuona kwenye kioo around 2000's akiwa na tundevu tule twa kitoto kidevuni siyo ajabu mkuu,kumbuka hata aliyezaliwa 90 sasa hivi yupo na 30 miaka inakimbia sanakumbe FA kagonga 40...!
Even those equipments for testing you may find that because of this emergency, some of these procured testing equipments didn't pass a strict and proper quality assurance procedures as required/calibration standards etc... to ensure that they will perform the job properly...eish it so frightening and might be a disastrous situation.The only thing I can see here , is just to pray to Almighty God to enable us to get through this empandemic ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema hivi: Wanapima joto la mwili tu. Na kuna watu wengi tu wenye virus lakini joto la mwili liko sawa. Hebu fikiria: Kama mtu ameambukizwa leo mchana na akasafiri jioni bila shaka kesho akipimwa joto la mwili wake litakuwa tu sawa kwani anakuwa bado hajaanza kuugua. Sasa mtu wa aina hiyo pale airport bila shaka ataruhusiwa kupita lakini akija kukaa eg siku 5 akianza kuwa na dalili basi linaweza kuwa juu. Hizi ndiyo cases kama za hawa wanaojitangaza kuwa wana virus wakati walipowasili na kupima walionekana hawana shida.
Serikali inajali pesa Kuliko uzima wa wananchi wakeKati ya kitu serikali hawataki kusikia ni huu ushauri!
Pale mjinga anapotaka kuondoa tatizo la ujinga.Nashauri tuu corona ingepitia kwa wingi wanachama wa chama fulani kinachosadikika kuwa wanachama wake wengi ni Majinga na hayajitambui.Haya Majinga yakiondoka taaifa haliwezi pata hasara.Katika Maadui watatu ambao wanalitesa taifa kwa mujibu wa Mwl. Nyerere alitangaza 1.Maradhi 2. Umaskini 3. Majitu Majinga. Tubakie wenye weredi tuu tujenge taifa. Pia isiwasahau watu wasio julikana iondoke nao tuu haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆 huu ugonjwa kweli tuuite Toyota Corona 19Mbona nikama waafrika hawaathiriki sana na hii Toyota corona, mwambieni Kabudi afanye negoshiesheni tubadilishane nchi sisi tuhamie China wao waje huku wale ni ndugu zetu ati
Kwelii kabsaa mkuu Ni ugonjwa hatari ila wameukuza sana. Sijui Nini Kiko nyuma ya pazia.
Sasa mzee sgr na flyover tutajengaje?
Pesa za utalii zinalipia mshahara. Zikiondoka utaona kama mishahara haijasitishwa.Huwezi kuona na hutawahi kuona Logic kwa vile wewe ni sehemu ya huu mfumo dhalimu ambao upo tayari kuweka rehani maisha ya Watz 50m + kwa kisingizio Cha Utalii...!
Hivi kwa kumbukumbu zako katika hatua alizotangaza Majaliwa au Ummi umesikia ZUIO LOLOTE LA NDEGE ZA ABIRIA KUINGIA NA KUTOKA NJE YA TANZANIA? Hii ni hatua muhimu Sana lakini mazwazwa ya CCM yamekaa kimya....!!!