Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Nilitrgemea PM aseme kuhusu kufunga na kuomba nchi nzima !!!
 
China iliweza kuthibiti kusambaa zaidi kwa Corona kwa kuufunga mji wa Wuhan kuingilika na kutoka kwa watu.

Ndiyo maana hatusikii wachina kusambaza kwenye mataifa mengine tofauti na hao wapuuzi waliofuata raia wao Wuhan ili wanaonekane wanajali sana watu wao.
genious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili janga linatumaliza japo kuna watu wanachukulia masihara sana
 
Acha lamli za nyuma ya smartphone ya nchi na,nani anawatumbua?

Sent using Jamii Forums mobile app
"lamli" mkuu hata kujiunga jf uliungwa na wauza simu wa kariakoo na hata pasword walikuandikia.
kiswahili hujui lakini pia kuchangia mada hujui.

Chanjo ikipatikana inafanyiwa majaribio, then inapelekwa shirika la afya duniani na inakaa miezi zaidi ya 24 mpaka itangazwe kuwa ni tiba kamili, ila kwakuwa wewe ni poyoyo haya mambo hujui
 
Back
Top Bottom