Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Wewe acha kuleta upumbavu kwenye uhai kila kitu kwao ni siasa mada inahusiana na siasa hii uko mirembe wodi namba ngapi shwaini zako
Utakua mirembe nadhani. Good day.
 
Mkuu @Bulesi nadhani kwa kuanzia mahakama zote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zingesimamisha shughuli zake kwa muda au kesi ziendeshwe kwa kutumia Video (IT isaidie) ili kupunguza wafungwa kukutana na watu ambao sio wafungwa. Pia serikali isitishe kwa muda wafungwa kutembelewa na jamaa zao au iruhusu wafungwa wawasiliane na jamaa zao kwa kutumia video (IT isaidie hilo)

Kwa kuanzia lazima tuzuie ugonjwa usiingie kule kwenye magereza. Itabidi wale wote wanaongia huko wawe wafungwa wapya au maaskari wanaowalinda , wote watakiwe kupimwa kama hawana ugonjwa huo. Halafu hygenic conditions should be improved in the jails na pia kupunguza msongamano; wale wanaoweza/ kustahili kutumikia kifungo cha nje , watumikie kifungo hicho nje. Hizi ziwe hatua za awali na more comprehensive measures could follow later.i.
 
Nilitrgemea PM aseme kuhusu kufunga na kuomba nchi nzima !!!
Corona haina dini hata ufunge siku 40 kama Yesu usitarajie miujiza km haufuati zile taratibu za kujikinga.Huko Saudia watu wamefunga misikiti ,nilikuwa nachata na Mdada yupo South Africa ibada za makanisa zimestopishwa wao sio wajinga .
 
Labda ukienea zaid ndo wataufungia usitoke

Serikali isione aibu wala isichelewe kuchukua hatua kali kulinda wananchi wake ikiwemo kufunga mipaka na kusitisha kutoa visa kwa wasafiri kutoka Marekani, Uingereza, Italy, South Korea na kwingine kote ambako ugonjwa umeenea!!! Msiwe mnafikiria uchaguzi tu fikirieni na welfare ya hao watakao wapigia kura!!!
 
Ningekuwa mkuu wa mkoa wa DsM ningeamuru Dar watu waje kwa passports na Visa maarum toka vijijini kwao ili kupunguza muingiliano,km hauna sababu ya msingi usije Dar.

Eti ohoo naenda kwa shemeji,sijuhi kuna kitchen party baki huko huko Nangurukuru mpaka tuakikishe tatzo limekwisha. 😎 😎 😎 😎
 
Back
Top Bottom