Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Kati ya kitu serikali hawataki kusikia ni huu ushauri!

Kufunga mipaka hakutoshi, Serikali inapashwa kupiga marufuku ndege za kutoka na kwenda Ulaya specifically kwa mataifa yaliyo kumbwa na ugonjwa huu pamoja na Amerika na Uchina, ingawa Bara la Afrika limekumbwa na ugonjwa huu kutokana na wasafiri kutoka Nchi za Ulaya na Amerika sio Uchina.

Sitisha ndege zote kutoka Ulaya, Marekani, China, India walao kwa wiki nane.
 
Wala msiogope baba mkombozi wenu CHLOROQUINE yupo na mtawashwa hasa wakati wa matibabu




Chloroquine is being tested to treat coronavirus, and to prevent people from catching it

Could a malaria pill from the 1940s treat the coronavirus? Early results for chloroquine have caught the eyes of doctors, analysts — and even Elon Musk

  • As the coronavirus pandemic rages on, some drugs are showing promising potential to treat patients with COVID-19, the disease caused by the novel coronavirus.
  • There are no approved treatments or vaccines for the coronavirus, but researchers are testing a slew of existing drugs to see if they may work.
  • One of those drugs is called chloroquine. It’s a widely used anti-malaria pill that was first approved in the US in 1949.
  • Countries including China, South Korea, and Belgium, have added it to treatment guidelines for COVID-19 as anecdotal reports have come in suggesting it may work.
  • There is no peer-reviewed clinical data showing chloroquine works against COVID-19. But that hasn’t stopped doctors from using it, US prescriptions from spiking, and even Elon Musk from tweeting about it as a potential treatment.
  • Visit Business Insider’s homepage for more stories.
In the scramble to find drugs to treat the coronavirus pandemic, one potential treatment has been flying relatively under the radar, despite promising early results.

The drug is chloroquine, a widely prescribed anti-malaria pill that was first approved in the US in 1949. Early laboratory research and anecdotal reports from using the drug in patients with COVID-19 have shown encouraging signs that it may work to fight this virus.
As dozens of drug companies have rushed into research projects to develop antibodies and other next-generation therapeutics, chloroquine stands out as a potentially simple, cheap, and scalable treatment, though we haven’t yet seen data from any randomized clinical trials, the gold standard of medical research.

“If clinical data confirm the biological results, the novel coronavirus-associated disease will have become one of the simplest and cheapest to treat and prevent among infectious respiratory diseases,” a group of French researchers wrote on February 15 in the International Journal of Antimicrobial Agents.


One of the three authors of that article was Didier Raoult, a prominent infectious disease expert who’s running a clinical trial in France to test a version of the drug called hydroxychloroquine on a few dozen patients with COVID-19. It’s one of many clinical studies going on around the world in testing chloroquine or hydroxychloroquine.
Early reports of Raoult’s trial in the French press were positive, with Raoult saying chloroquine appeared to shorten the time that COVID-19 patients are infectious.
When combined with the antibiotic azithromycin, it also reduced the viral load in these patients, he added. Azithromycin helps fight lung infections that can come along with COVID-19, and also may play a role in fighting the virus, Medscape reported.
The French government plans to expand testing of chloroquine on a larger scale.
Chloroquine has ‘been underappreciated’
Steven Seedhouse, a biotech analyst at Raymond James, sees chloroquine as just as promising as any treatment option for COVID-19. That includes remdesivir, an antiviral drug being developed by the giant biotech company Gilead Sciences. World Health Organization officials have called remdesivir “the most promising candidate” against the coronavirus.

He recently analyzed the early evidence for three top drugs being tested against COVID-19: remdesivir, chloroquine, and Kaletra, an HIV drug sold by AbbVie. He concluded that chloroquine was the most promising candidate.
“If we had to pick one of the three at this point that actually seems most likely to have the biggest impact on treating COVID-19 in the coming months/years, it would be chloroquine,” he wrote
Early reports of chloroquine working have also caught the attention of Elon Musk. The Tesla CEO tweeted on March 16 that it might be worth considering chloroquine for COVID-19. He said the drug saved his life when he faced a serious case of malaria.

Maybe worth considering chloroquine for C19 An Effective Treatment for Coronavirus (COVID-19)_
— Elon Musk (@elonmusk) March 16, 2020

Repurposed antiviral drugs aren’t likely to be cure-alls for the virus, but they are the only near-term treatment options. It will take months, if not years, to determine if a new drug or vaccine is safe and effective.
Vaccines, in particular, are seen as the gold standard for infectious diseases – protecting people from infections in the first place.
But if drugs like chloroquine and remdesivir work, they could bring major relief to healthcare systems around the world that are feeling the weight of a pandemic.
In the US, there are widespread concerns about the likelihood that hospitals will run out of beds and ventilators as the virus spreads, forcing doctors into difficult rationing decisions. That’s already happening in Italy.
Remdesivir, given as a 10-day intravenous infusion, could shorten hospital stays and lower ventilator use if it can help patients with serious COVID-19 cases recover faster.

Chloroquine, as a simple pill, could prevent some COVID-19 patients from worsening to the point of needing hospitalization in the first place.
Researchers also plan to test chloroquine in healthcare workers to see if it can help prevent them from getting the virus in the first place.
The drug can have serious side effects, such as causing damage to an individual’s eyes. It can also cause headaches, dizziness, and stomach problems ranging from discomfort to vomiting and diarrhea.
For both remdesivir and chloroquine, there is no peer-reviewed clinical data about whether they work to halt the coronavirus. Raymond James’ Seedhouse said that even in the face of a pandemic, it is essential to stick to evidence-based approaches.
“All we have is some preclinical rationale and some mechanistic rationale, but no hard randomized clinical data yet,” Seedhouse said. “I think it’s appropriate to be cautious on chloroquine and anything else.”
 
Kati ya kitu serikali hawataki kusikia ni huu ushauri!
Atafunga tu ngoja cases ziongezeke. Wamarekani na wajerumani walikaidi hivyo hivyo. Wako wapi sasa?

Alafu kitu ambacho mimi kina niudhi sana ni kwa nini huyu waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu, kila mara anasisitiza msemo wake huu; "it is imported cases".
Sielewi kwa msemo huu dhamira yake ni nini? Na ana maanisha nini? Ina maana yeye anafikiri sisi watanzania ni majuha?

Off course sisi tunajua kuwa ni "imported cases" na ndiyo maana watanzania wenye kuona mbali waliiomba na kuililia sana serikali yetu kuchukua hatua za haraka za kufunga mipaka ili kuzuia kutiririka kwa wageni ambao wanatoka kwenye nchi ambazo zimekwisha dhurika na janga hili, wakatuletea sisi na dugu zetu matatizo.

Haya sasa kiko wapi? Mda wote anazunguka mara huku au kule kutoa Statements mbali mbali ambazo hazieleweki. Yeye akubali tu kuwa amesha "mess up" na aombe radhi kwa wananchi kwa kutowasikiliza. Asiwe anahangaika kutoa Statements za kutaka kupata Sympathy ya watanzania. Hiyo hata ipata, kwa sababu ametutesa sana sisi. Tumepata machungu makubwa mno tulipo ona vilio vyetu kwa serikali ni vya bure.

Alafu leo anakuja anatulaum sisi kwa kuirudia rudia clip ambayo yeye mwenyewe aliitoa, namshangaa sana. Yeye wakati ana toa Statements zake bila kujipanga vizuri na kufikiri kwa kina anacho pasuka alitegemea nini?

Waziri Ummy Mwalimu na watendaji wake katika wizara anayo iongoza ana mamlaka makubwa ya kumshauri Rais kitu cha kufanya au hatua ya kuchukua ili kukabiliana au kuepuka majanga kama haya.
Swali langu lina kuja kwake, je, alifanya hivyo? Na je, baada ya kufanya hivyo Rais alimpa ushauri gani? Kama Rais alimkatalia ushauri wake kwa nini asituambie! Yeye Rais si anataka mtu anaye sema ukweli? Na msema kweli ni mpenzi wa mungu kama anavyo dai basi utuambie response ya Rais.

Inakuwaje yeye peke yake ahangaike kuwahabarisha watanzania juu ya kujikinga na kuepuka kupata hivi virusi vya Corona na kufanya makosa baada ya mengine wakati wahusika wakuu wako?
Yuko wapi mganga mkuu wa virology na wataalam wenfine wa maabara kuu ya utafiti na watu kutoka taasisi ya microbiology na mkuu wa nchi Dr JPM?

Taasisi ya Robert Koch ya ujerumani kila siku ya mungu kuanzia juma tatu mpaka ijumaa inatoa taarifa kwa umma juu maendeleo ya kusambaa kwa virusi vya corona na kuorodhesha idadi ya watu walio athirika na ugonjwa huo iwe kifo.na mengineyo nchini Ujerumani na ulimwenguni kwa ujumla.

Zaidi ya hapo taasisi pia hutoa tahadhari ambazo zinapaswa zifuatwe ili watu wasipate madhara ya virusi hivyo na wakati huo huo kutoa mapendekezo kwa viongozi wa serikali, ikiwemo waziri wa afya na mkuu wa serikali Chancellor Merkel juu ya hatua za kuchukua ili kuzuia wananchi wengi wasipate madhara kwa wakati mmoja, hali ambayo inaweza ikaiathiri ufanisi wa matibabu kwenye hospitali zao.Hapa kwetu mbona taasisi kama hiyo sijaisikia?

Rais Magufuli si unataka nchi yetu iwe nchi ya viwanda na ya uchumi wa kati? Anza na hili basi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII KITU IMECHAPA WACHINA IKAWATIA ADABU. SASA INACHAPA WAZUNGU KICHAPO KIKALI.

HUKU AFRICA INALETWA NA HAO WAGENI HAIJACHANGANYA LAKN MAZINGIRA YANAONYESHA SIKU IKILIPUKA VZR NA KUCHANGANYA KIKWELI KWELII, HUENDA TUKAZIKANA MPAKA ITAFIKA WAKATI WALIOPO HAI KWA UCHACHE WAO WATASHINDWA KUZIKA WENZAO.

HATA UWEZO WA KUWEKA STOCK NDANI ILI TUJITULIZE MAKWETU HATUNA...

TUNAOMBA KWA ALIETUUMBA ATUSAMEH MAKOSA YETU NA ATUEPUSHIE JANGA HILI KTK NCHI YETU. AAMIN.
 
Atafunga tu ngoja cases ziongezeke. Wamarekani na wajerumani walikaidi hivyo hivyo. Wako wapi sasa?

Alafu kitu ambacho mimi kina niudhi sana ni kwa nini huyu waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu, kila mara anasisitiza msemo wake huu; "it is imported cases".
Sielewi kwa msemo huu dhamira yake ni nini? Na ana maanisha nini? Ina maana yeye anafikiri sisi watanzania ni majuha?
Nchi yetu hii ni maskini sana, tuliaminishwa tu kupitia media kwamba tumejiandaa kumbe hakuna lolote, matokeo yake sampuli zote ni Dar na bado wako wengi wanaoshukiwa ila kuwachek ni mtihani!

Hayo mataifa makubwa kuuthibiti imekua mitihani sembuse sisi?

Tangu mwanzo serikali ilifikiri itatumia bahati kujikinga na kuingia kwa virus hiv nchini, matokeo yake hawakua na tahadhari za hawali kuhusu hii ishu..anyway ishatokea!

Labda tusubir msaada wa Jack Ma ufikie ethiopia hlf upitishwe mgao wa items zote!

Ummy tatizo lake anasimamia hili jambo kwa uoga ili hali ni maisha ya watu haya, anaongea ili kuisafisha serikali ilihali anaelewa kabsa madhara yatakua makubwa..hawa ndy viongoz ambao hawatakiwi.

Mungu asimamie tu hili taifa kulinusuru maambukizi yasiwe mengi na waliopo wapone.
 
Isabela
Dereva wa tax aliyopanda Isabela
Mmarekani wa Dsm
Mjerumani wa Z’bar
Halafu mnasema watatu(3) Please come back to your senses
Leo ndio nkawa nashangaa wamefikaje sita??
Kumbe dereva teksi hakujumuishwa.
 
Kuendelea kututangazia ongezeko wa wagonjwa bila kuzuia wageni kuingia nchini humu nchini, kwangu hii ni sabotage kwa uchumi wa nchi na sio ku-save uchumi wa nchi mbali na kuhatarisha afya na uhai wa watanzania wote kama Taifa.
 
Back
Top Bottom