Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Hapana, inapaswa kuwa hivyo. Open government ni muhimu sana kwa sasa.
Information and data muhimu kila siku tuzipate, ili watu wawe more vigilant na wengine wasaidiwe.
Japan na South Korea ni mifano halisi ya ninachoongea. Serikali zilikuwa wazi, maambukizi sasa yanashuka.
 
Hiv Kwa nini hawataki kuzuia ndege?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa kina yakhe Wana wazimu bula Shaka...!
Kama PM Majaliwa katangaza kuwa Kuna mgonjwa wa Corona Zanzibar kwann wait wanakanusha? Wanataka kuingiza siasa ZA CORINA VIRUS kwenye Mambo ya MUUNGANO...!
Lugha zilezile za Mafisi wa Lumumba: Kwetu Ni kwao, lakini kwao SIYO Kwetu KWANINI?
If The Zanzibaris plays with Corona Virus the Island will be vanished completely! CHEZEA CORONA...!
 
Serikali mdo imeleta corona, tulitoa maoni mapema sana serikal kupitia wizara ya afya tukaambiwa na waziri Ummy kuwa watu wanapimwa automatic wakipita vwanja vya ndege, nakumbuka kuna wananchi walilalamika kupita bila kupimwa akatokea tena huyo mama akasema ukiona hujaitwa upitapo vwanja vya ndege ujue kuwa upo salama na ushukuru Mungu, leo wanatuambia kuwa watu wote hao wametokea nje ya nchi, kuthibitisha uongo wao hakuna hata mmoja kati yao aliyethibitika akiwa kiwanja cha ndege, wote wamejipeleka hosipital wenyewe baada ya kujihis vibaya, juzi alipopatikana yule wa arusha tukaambiwa tena vipimo mpaka vitumwe Dar wakat mwanzo walisema vwanja vyote vina vipimo na kila wilaya, yote hayo yalisema na Huyu mama UMMY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hakimu Mfawidhi tunashukuru kwa update unazotupatia. Kwa taarifa tulizokuwa nazo hadi jana, Tanzania ilikuwa na wagonjwa 3 wa Corona ambao walishathibitishwa ambapo baada ya leo kuongezeka wagonjwa 2 nilitarajia Idadai iwe wagonjwa 5 na sio 6. Mkuu Hakimu Mfawidhi unaweza kutoa maelezo kidogo kuhusu huyu mgonjwa mmoja ambaye taarifa zake hatukupewa?


Ahsante

Na Mimi nimjiuliza khs hiyo idadi.... WHO wamesema nchi za Africa zina walakini ktk takwimu.
 
Hivi wagonjwa ni 5 au 6 ninachanganya hesabu, au wamechangaya hesabu.

Yule wa kwanza Arusha.

Na jana wale (2) wa zanzibar germany na 1 dsm mmarekani.1

Na Leo 2. DSM

Jumla 1+2+2 =5?
 
Mpaka dakika hii bado vipimo ni Daslamu tu!serikali yenye mapato makubwa hii.. 😂 😂 😂 😂

Hizo sampuli zinapanda ndege au gari za magazeti?
 
Naomba tupewe taarifa kwa usahihi

3 + 2 = 5

Hiyo 6 imetoka wapi?

Tuwe serious jamani na haya mambo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hao Sita wametoka wapi wakati mpaka jana tuliambiwa wako watatu? Ukijumlisha watatu wa jana Na wa leo wawili inakuwa Sita? Au kuna mgonjwa hajawekwa wazi?
 
Back
Top Bottom