Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Huwa zinatolewa mara moja kwa mwaka.. Sio daily update!Na za ukimwi,malaria nazo zisitolewe? Hakuna tofauti kati ya korona na UTI ,relax mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa zinatolewa mara moja kwa mwaka.. Sio daily update!Na za ukimwi,malaria nazo zisitolewe? Hakuna tofauti kati ya korona na UTI ,relax mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa zinatolewa mara moja kwa mwaka.. Sio daily update!
In the end of the day, watakapokufa watu 100 kwa Corona, watakuwa wameshakufa wengine 100,000 kwa njaa kutokana na shughuli zao za kiuchumi kusinyaa/ kusimama.jinga kabisa wewe.
Mkuu Hakimu Mfawidhi tunashukuru kwa update unazotupatia. Kwa taarifa tulizokuwa nazo hadi jana, Tanzania ilikuwa na wagonjwa 3 wa Corona ambao walishathibitishwa ambapo baada ya leo kuongezeka wagonjwa 2 nilitarajia Idadai iwe wagonjwa 5 na sio 6. Mkuu Hakimu Mfawidhi unaweza kutoa maelezo kidogo kuhusu huyu mgonjwa mmoja ambaye taarifa zake hatukupewa?
Ahsante
Na Mimi nimjiuliza khs hiyo idadi.... WHO wamesema nchi za Africa zina walakini ktk takwimu.
Mpaka dakika hii bado vipimo ni Daslamu tu!serikali yenye mapato makubwa hii.. 😂 😂 😂 😂
Hizo sampuli zinapanda ndege au gari za magazeti?
OK, mie Arusha nilijua ni Isabella tu.