funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.